Hahahahaha !! Nikumbushe wema wako nisije laumuuu,nikumbushe fadhili zako wakati Wa magumu,niimbe wimbo wa sifa katikati ya majonzii.
Japo sijaangalia game lote kwa dakika nilizoona nadhani mechi ya leo ina mengi ya kujifunza sana,kuna comb zinakataa kabisa hawatakiwi kukaa pamoja .
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekiona hiki pia... Na fred asiwepo uwanjan akiwepo fredTumefanya uzembe wenyewe .halafu matic inabid apumzike sasa acheze scott
Leo tupo na kibonde wetu wa kudumu, siku hizi sio mechi kubwa tena...
Sad as chill souce in eyesHongera zao Arsenal, nafasi ya Tatu inazidi kuwa ngumu kwetu. Chelsea wakishinda kiporo chao tunarudi 6 yetu. So sad. Nimeumia aisee.
Let's all be honest..... Arsenal won this match because Lingard wasn't available in his dance floor.
Arsenal wataingia wanataka goli la 2 ndani ya dk 15. Tukiwamudu wasilipate, wanakufa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili game Arsenal anapigwa vizuri tu. Kipindi cha pili mambo yatakuwa vizuri.
Alitufungia penat yenye pressure kubwa bila matatizo yeyote ila leo so awafulNa hata sijui kwa nini kocha anaendelea kumpanga
Sent from my iPhone using Tapatalk
Naona Lukaku amepata suluhisho la tatizo lake la control.
Arsenal ni wepesi mnoo.
Hongera zao Arsenal, nafasi ya Tatu inazidi kuwa ngumu kwetu. Chelsea wakishinda kiporo chao tunarudi 6 yetu. So sad. Nimeumia aisee.
Clean sheet ndio imeniuma zaidiDaaa navoumia hapa ni Siri yangu.Kweli tunafungwa na hawa asenane
Sent using Jamii Forums mobile app