Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkuu hapa mimi ni mmoja wapo, tena wala si kitu cha kuchekesha..!!

Tena hapa nikiri ni mmoja wa tuliomtaka kwa udi na uvumba Mr Mourinho, ila si kama kocha wa kudumu bali wa muda mfupi kwaajili ya kurejesha heshima ya timu baada ya kuflop kwa miaka minne mfululizo kipindi cha Mr Macho na LVG. Sote tunajua Mou ni mtu anayetengezeza timu ya mafanikio kwa muda mfupi na kamwe si kwa muda mrefu.. ni bahati mbaya kwamba Bodi ilimuongezea mkataba baada ya mafanikio kwenye Europa.

Nikija kwa Poch,
Poch ni mjenzi wa timu haswa... ni mkufunzi wa mpira wa kushambulia falsafa ambayo Man u ndio mpira wetu. Ni Meneja ambae mafanikio yake yameonekana wazi tangu akiwa huko Southampton mpk hii leo hapo Tot.. tumeona kwa miaka minne namna ambavyo Tot wamekuwa washindani wa kweli kwenye league na hata Ucl tena kwa bajeti ndogo na ya kawaida tu, ni bahati mbaya wamekosa vikombe kipindi chote hicho nadhani ni uzoefu tu ndio unawasumbua na hili tunaliona hata kwa kocks kwenye league.

Kwa OGS (naheshimu sana kazi yake)
Lakini simuoni kama ni kocha wa kudumu wa Man u, Ogs amechukua timu kipindi ambacho kila mchezaji alishamchoka kama si kugombana na Mou, Morali ya timu ilikuwa chini kupita maelezo... ilifikia kipindi hata Man u ikicheza na Crystal palace mtu unaangalia mpira kwa kutetema kwa hofu ya kufungwa muda wowote.. Hili Ogs amelitumia kama fulsa ya kuinyanyua timu.. So ni kama Ogs amewaruhusu tu wachezaji kufanya wanachokita uwanjani.. lakini kwahakika mpaka leo bado hajapandikiza zile mbinu za kocha ambazo kila mtu ataona hapa bila kocha flan pengine tusingeshinda.. ama tungefungwa.

Ukitaka kuliona hili kwa uwazi hebu angalia pale man inapocheza na timu za top 5 kwenye league na mechi mbili za psg. Utaona wazi kwamba licha ya kwamba timu inashinda lakini inapata shida sana kuupata ushindi huo kitu ambacho hakikuzoeleka kipindi cha babu feggie.. unajua kama tunataka timu ifanye vizuri tusimpimie Ogs na hawa kina Macho,Lvg na Mchonga.. kipimo sahihi kwa Ogs kiwe kwa Feggie. Ogs mpaka sasa bado hajafanya usajiri wowote licha ya hapo January kuwepo kwa dirisha la usajili na namna timu ilivyokuwa sote tunafahamu. So kwa namna nyingine namuona ni muoga anaogopa lawama.

Nikisema haya si kwamba simuheshimu OGS wala kwamba nampinga ila nabaki palepale kwenye point yangu kwamba ninaona si kocha sahihi kulinganisha na Poch haya ni maoni yangu mkuu nadhani hata wewe unamtazamo wako... tusilewe sana na huu upepo wa muda mfupi... tukumbuke kunakipindi matokeo ya upepo hupita zinabaki hali ngumu.... sioni shabiki wa kusimama na Ogs pindi tutapopata labda sare tatu mfululizo na vichapo kadhaa... (nyakati hizi zipo) ni kweli tutaendelea kumuunga mkono? Au tunaangalia hapa..... bila kuona kuleeee....

UNITED WE STAND

Sent using Jamii Forums mobile app
Unachokizungumza ni sahii mkuu ila napingana na wewe kwenye swala la kusema OGS ni muoga Imagine alikua na week 3 tu toka ateuliwe akaingia kwenye transfer window
Unahis kama ni kocha sahihi ni bora ukanunue mchezaji wakat team yako bado hujaisoma vizur au mapungufu yao ni yap na wap kwa kuongeza
Before OGS kila mtu alikua anasema Linderlof sio beki mzur ila baada ya kuja Linde ameonyesha kwamba anaweza kufanya kazi vzur tu akiamniwa
For my end naona maamuz ya kutosajili yalikua sahihi kwanza atengeneze team yale plus kurudsha confidence ya wachezaj iliypotea
Just imagine game na PSG kwa crisis ile ya.majeruh ingekua enzi za Jose tungesemaje sidhan kama kuna mtu angejisumbua kwenda hata kuangalia.
So OGS ametengeza team yake Inshallah akipewa contract July atakua ameshajua mapungufu ni yap na wap kwa kusajili
 
Makocha wengi kwa asilimia kubwa waliofanikiwa kubeba mataji mengi ni wale wanaojua utamaduni husika wa klabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hapa mimi ni mmoja wapo, tena wala si kitu cha kuchekesha..!!

Tena hapa nikiri ni mmoja wa tuliomtaka kwa udi na uvumba Mr Mourinho, ila si kama kocha wa kudumu bali wa muda mfupi kwaajili ya kurejesha heshima ya timu baada ya kuflop kwa miaka minne mfululizo kipindi cha Mr Macho na LVG. Sote tunajua Mou ni mtu anayetengezeza timu ya mafanikio kwa muda mfupi na kamwe si kwa muda mrefu.. ni bahati mbaya kwamba Bodi ilimuongezea mkataba baada ya mafanikio kwenye Europa.

Nikija kwa Poch,
Poch ni mjenzi wa timu haswa... ni mkufunzi wa mpira wa kushambulia falsafa ambayo Man u ndio mpira wetu. Ni Meneja ambae mafanikio yake yameonekana wazi tangu akiwa huko Southampton mpk hii leo hapo Tot.. tumeona kwa miaka minne namna ambavyo Tot wamekuwa washindani wa kweli kwenye league na hata Ucl tena kwa bajeti ndogo na ya kawaida tu, ni bahati mbaya wamekosa vikombe kipindi chote hicho nadhani ni uzoefu tu ndio unawasumbua na hili tunaliona hata kwa kocks kwenye league.

Kwa OGS (naheshimu sana kazi yake)
Lakini simuoni kama ni kocha wa kudumu wa Man u, Ogs amechukua timu kipindi ambacho kila mchezaji alishamchoka kama si kugombana na Mou, Morali ya timu ilikuwa chini kupita maelezo... ilifikia kipindi hata Man u ikicheza na Crystal palace mtu unaangalia mpira kwa kutetema kwa hofu ya kufungwa muda wowote.. Hili Ogs amelitumia kama fulsa ya kuinyanyua timu.. So ni kama Ogs amewaruhusu tu wachezaji kufanya wanachokita uwanjani.. lakini kwahakika mpaka leo bado hajapandikiza zile mbinu za kocha ambazo kila mtu ataona hapa bila kocha flan pengine tusingeshinda.. ama tungefungwa.

Ukitaka kuliona hili kwa uwazi hebu angalia pale man inapocheza na timu za top 5 kwenye league na mechi mbili za psg. Utaona wazi kwamba licha ya kwamba timu inashinda lakini inapata shida sana kuupata ushindi huo kitu ambacho hakikuzoeleka kipindi cha babu feggie.. unajua kama tunataka timu ifanye vizuri tusimpimie Ogs na hawa kina Macho,Lvg na Mchonga.. kipimo sahihi kwa Ogs kiwe kwa Feggie. Ogs mpaka sasa bado hajafanya usajiri wowote licha ya hapo January kuwepo kwa dirisha la usajili na namna timu ilivyokuwa sote tunafahamu. So kwa namna nyingine namuona ni muoga anaogopa lawama.

Nikisema haya si kwamba simuheshimu OGS wala kwamba nampinga ila nabaki palepale kwenye point yangu kwamba ninaona si kocha sahihi kulinganisha na Poch haya ni maoni yangu mkuu nadhani hata wewe unamtazamo wako... tusilewe sana na huu upepo wa muda mfupi... tukumbuke kunakipindi matokeo ya upepo hupita zinabaki hali ngumu.... sioni shabiki wa kusimama na Ogs pindi tutapopata labda sare tatu mfululizo na vichapo kadhaa... (nyakati hizi zipo) ni kweli tutaendelea kumuunga mkono? Au tunaangalia hapa..... bila kuona kuleeee....

UNITED WE STAND

Sent using Jamii Forums mobile app
Unachokosea ni kumuangalia OGS na sio benchi nzima.

OGS anaifahamu falsafa na standard ya timu toka akiwa mchezaji. Man Utd sio level za kuwa chochoro za majaribio ya makocha.

Na zaidi ya yote Man Utd bado ina tatizo ni kweli na sio kama vile Mou alituaminisha.

Hata akija kocha yeyote yule, atahitaji fungu la kutosha kusajili wachezaji. Tena ukimchukua Pep ndo atataka kununua timu nzima.

Tumuamini OGS, tumpe Director of Football mzuri, tumpe fungu la kutosha alete wachezaji wanaofit falsafa ya United. Man Utd ina malengo tofauti na Totenham.

OGS ni kijana mwenye passion na kazi yake na anataka kufanya makubwa na timu anayoipenda.

Angalia Barca, toka Fank aondoke, wamekuwa wanawapa ajira makocha wasio na majina, wamewachukua makocha wanaoifahamu Barca na falsafa yake.

Hatuhitaji makocha wenye majina kama kina Ancelotti, Pelegrin, Jupp. Tunahitaji makocha vijana wakae na timu muda mrefu waonyeshe mafanikio yao.

Tuna bahati kupata kocha kijana ambaye ameshaonesha mwanga wa mafanikio. Tumpe sapoti.

Man City wana Pep, Tot wana Poch, Athletico nao wana kocha kijana. Huu ni wakati wa vijana kuonesha cheche. Muda wa wazee umeshapitwa na wakati.

Na zaidi ya yote, dunia ya leo, mafanikio uwanjani ni interplay ya vitu vingi including hata jinsi unavyoishi na wachezaji wako ambako Mourinho ameshindwa hadi akafeli.

LVG na Mou ni makocha wakubwa sana duniani, ila wameshindwa. Unataka nini cha zaidi?

OGS ana benchi la ufundi bora kabisa, wanajua mbinu ya ushindi ndo maana hata pamoja na kusuasua tunapata matokeo.

Chelsea, Arsenal, Madrid hawana makocha wa kueleweka na muda si mrefu watatimuliwa. Tunahitaji kuwa stable as a team. Tumepata tunachohitaji. Basi tumpe sapoti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa maelezo hayo mkuu mbinu Ole hana kabisa ?
Huoni De gea kila akipata mpira huwa anamlenga lukaku ? Lukaku naye hufanya kila namna apige kichwa kwa wenzake ?
Mou anasifika kwa mbinu lakini tulikuwa tunaelekea wapi pamoja na mbinu zake ?
Kikubwa nachoona Club yetu iweke nguvu kubwa kusajili wachezaji wanaohitajika na wenye viwango vikubwa hizo mbinu zikianza kuelekezwa nadhani zitafanya kazi
Approach na Mbinu za Mou zilikuwa zaidi kwenye kuzuia kufungwa na km goli/magoli yapatikane kwa kutumia vizuri makosa ya opponent. Sosha mbimu zake zimejikita zaidi kusaka magoli. Hata defense ipo constructed kwa namna ya kusaidia hiyo mission kwanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa maelezo hayo mkuu mbinu Ole hana kabisa ?
Huoni De gea kila akipata mpira huwa anamlenga lukaku ? Lukaku naye hufanya kila namna apige kichwa kwa wenzake ?
Mou anasifika kwa mbinu lakini tulikuwa tunaelekea wapi pamoja na mbinu zake ?
Kikubwa nachoona Club yetu iweke nguvu kubwa kusajili wachezaji wanaohitajika na wenye viwango vikubwa hizo mbinu zikianza kuelekezwa nadhani zitafanya kazi
Mou hakujua pia kwa ufasaha vipawa vya wachezaji alionao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
53309113_2119919831461866_7850824901663040064_n.jpg
 
Mkuu hapa mimi ni mmoja wapo, tena wala si kitu cha kuchekesha..!!

Tena hapa nikiri ni mmoja wa tuliomtaka kwa udi na uvumba Mr Mourinho, ila si kama kocha wa kudumu bali wa muda mfupi kwaajili ya kurejesha heshima ya timu baada ya kuflop kwa miaka minne mfululizo kipindi cha Mr Macho na LVG. Sote tunajua Mou ni mtu anayetengezeza timu ya mafanikio kwa muda mfupi na kamwe si kwa muda mrefu.. ni bahati mbaya kwamba Bodi ilimuongezea mkataba baada ya mafanikio kwenye Europa.

Nikija kwa Poch,
Poch ni mjenzi wa timu haswa... ni mkufunzi wa mpira wa kushambulia falsafa ambayo Man u ndio mpira wetu. Ni Meneja ambae mafanikio yake yameonekana wazi tangu akiwa huko Southampton mpk hii leo hapo Tot.. tumeona kwa miaka minne namna ambavyo Tot wamekuwa washindani wa kweli kwenye league na hata Ucl tena kwa bajeti ndogo na ya kawaida tu, ni bahati mbaya wamekosa vikombe kipindi chote hicho nadhani ni uzoefu tu ndio unawasumbua na hili tunaliona hata kwa kocks kwenye league.

Kwa OGS (naheshimu sana kazi yake)
Lakini simuoni kama ni kocha wa kudumu wa Man u, Ogs amechukua timu kipindi ambacho kila mchezaji alishamchoka kama si kugombana na Mou, Morali ya timu ilikuwa chini kupita maelezo... ilifikia kipindi hata Man u ikicheza na Crystal palace mtu unaangalia mpira kwa kutetema kwa hofu ya kufungwa muda wowote.. Hili Ogs amelitumia kama fulsa ya kuinyanyua timu.. So ni kama Ogs amewaruhusu tu wachezaji kufanya wanachokita uwanjani.. lakini kwahakika mpaka leo bado hajapandikiza zile mbinu za kocha ambazo kila mtu ataona hapa bila kocha flan pengine tusingeshinda.. ama tungefungwa.

Ukitaka kuliona hili kwa uwazi hebu angalia pale man inapocheza na timu za top 5 kwenye league na mechi mbili za psg. Utaona wazi kwamba licha ya kwamba timu inashinda lakini inapata shida sana kuupata ushindi huo kitu ambacho hakikuzoeleka kipindi cha babu feggie.. unajua kama tunataka timu ifanye vizuri tusimpimie Ogs na hawa kina Macho,Lvg na Mchonga.. kipimo sahihi kwa Ogs kiwe kwa Feggie. Ogs mpaka sasa bado hajafanya usajiri wowote licha ya hapo January kuwepo kwa dirisha la usajili na namna timu ilivyokuwa sote tunafahamu. So kwa namna nyingine namuona ni muoga anaogopa lawama.

Nikisema haya si kwamba simuheshimu OGS wala kwamba nampinga ila nabaki palepale kwenye point yangu kwamba ninaona si kocha sahihi kulinganisha na Poch haya ni maoni yangu mkuu nadhani hata wewe unamtazamo wako... tusilewe sana na huu upepo wa muda mfupi... tukumbuke kunakipindi matokeo ya upepo hupita zinabaki hali ngumu.... sioni shabiki wa kusimama na Ogs pindi tutapopata labda sare tatu mfululizo na vichapo kadhaa... (nyakati hizi zipo) ni kweli tutaendelea kumuunga mkono? Au tunaangalia hapa..... bila kuona kuleeee....

UNITED WE STAND

Sent using Jamii Forums mobile app

Liverpool
Chelsea
Arsenal
Totenham
PSG

Mechi zote hizo ni upepo?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Liverpool
Chelsea
Arsenal
Totenham
PSG

Mechi zote hizo ni upepo?

Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu,

Nilichokiandika nadhani kinaeleweka, ukitembea na kaneno kamojamoja huwezi kuipata pointi yangu ... tatizo mashabiki tuliowengi wa mpira tunapenda mafanikio ya papo kwa papo bila kusahau kunanyakati ngumu.. nadhani hizo zipo... ndiomaana utaona wote hapa wanamshadidia Ogs ila subiri sasa tutoe sare mfululizo na vipigo kadhaa... ndio ninachozungumza hapa je tuko tayari kushikamana na Ogs ktk nyakati hizo au ndo tutaanza out out out...

Kwa jicho langu (Mimi) sioni kama tutakuwa na uvumilivu huo kwa Ogs it's just a matter of time..!! Sifingii na wala simuombei mabaya Ogs...BIG NO naomba nieleweke hivyo.

Kwahiyo tupe mbadala wa OGS. Nani achukue nafasi ya OGS?

Mkuu Bavaria,

Mbona nimeandika kwenye post uliyo ni-quote awali niliyokuwa nikimjibu mkuu xyz07.

Hii yote ni mtazamo wangu, mtazamo wako nimeusoma na nimeuelewa, wala si kwa kuendeleza marumbano... tusomane ktkt ya mistari.

UNITED WE STAND

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu,

Nilichokiandika nadhani kinaeleweka, ukitembea na kaneno kamojamoja huwezi kuipata pointi yangu ... tatizo mashabiki tuliowengi wa mpira tunapenda mafanikio ya papo kwa papo bila kusahau kunanyakati ngumu.. nadhani hizo zipo... ndiomaana utaona wote hapa wanamshadidia Ogs ila subiri sasa tutoe sare mfululizo na vipigo kadhaa... ndio ninachozungumza hapa je tuko tayari kushikamana na Ogs ktk nyakati hizo au ndo tutaanza out out out...

Kwa jicho langu (Mimi) sioni kama tutakuwa na uvumilivu huo kwa Ogs it's just a matter of time..!! Sifingii na wala simuombei mabaya Ogs...BIG NO naomba nieleweke hivyo.

UNITED WE STAND

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu makocha wote wana high na low peaks. Kwa wakati Ole is good. Sometimes uzuri wa kocha inategemea factor nyingi na timu aliyonayo. Peps ni mzuri lakini anaangalia timu za kufundisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hapa mimi ni mmoja wapo, tena wala si kitu cha kuchekesha..!!

Tena hapa nikiri ni mmoja wa tuliomtaka kwa udi na uvumba Mr Mourinho, ila si kama kocha wa kudumu bali wa muda mfupi kwaajili ya kurejesha heshima ya timu baada ya kuflop kwa miaka minne mfululizo kipindi cha Mr Macho na LVG. Sote tunajua Mou ni mtu anayetengezeza timu ya mafanikio kwa muda mfupi na kamwe si kwa muda mrefu.. ni bahati mbaya kwamba Bodi ilimuongezea mkataba baada ya mafanikio kwenye Europa.

Nikija kwa Poch,
Poch ni mjenzi wa timu haswa... ni mkufunzi wa mpira wa kushambulia falsafa ambayo Man u ndio mpira wetu. Ni Meneja ambae mafanikio yake yameonekana wazi tangu akiwa huko Southampton mpk hii leo hapo Tot.. tumeona kwa miaka minne namna ambavyo Tot wamekuwa washindani wa kweli kwenye league na hata Ucl tena kwa bajeti ndogo na ya kawaida tu, ni bahati mbaya wamekosa vikombe kipindi chote hicho nadhani ni uzoefu tu ndio unawasumbua na hili tunaliona hata kwa kocks kwenye league.

Kwa OGS (naheshimu sana kazi yake)
Lakini simuoni kama ni kocha wa kudumu wa Man u, Ogs amechukua timu kipindi ambacho kila mchezaji alishamchoka kama si kugombana na Mou, Morali ya timu ilikuwa chini kupita maelezo... ilifikia kipindi hata Man u ikicheza na Crystal palace mtu unaangalia mpira kwa kutetema kwa hofu ya kufungwa muda wowote.. Hili Ogs amelitumia kama fulsa ya kuinyanyua timu.. So ni kama Ogs amewaruhusu tu wachezaji kufanya wanachokita uwanjani.. lakini kwahakika mpaka leo bado hajapandikiza zile mbinu za kocha ambazo kila mtu ataona hapa bila kocha flan pengine tusingeshinda.. ama tungefungwa.

Ukitaka kuliona hili kwa uwazi hebu angalia pale man inapocheza na timu za top 5 kwenye league na mechi mbili za psg. Utaona wazi kwamba licha ya kwamba timu inashinda lakini inapata shida sana kuupata ushindi huo kitu ambacho hakikuzoeleka kipindi cha babu feggie.. unajua kama tunataka timu ifanye vizuri tusimpimie Ogs na hawa kina Macho,Lvg na Mchonga.. kipimo sahihi kwa Ogs kiwe kwa Feggie. Ogs mpaka sasa bado hajafanya usajiri wowote licha ya hapo January kuwepo kwa dirisha la usajili na namna timu ilivyokuwa sote tunafahamu. So kwa namna nyingine namuona ni muoga anaogopa lawama.

Nikisema haya si kwamba simuheshimu OGS wala kwamba nampinga ila nabaki palepale kwenye point yangu kwamba ninaona si kocha sahihi kulinganisha na Poch haya ni maoni yangu mkuu nadhani hata wewe unamtazamo wako... tusilewe sana na huu upepo wa muda mfupi... tukumbuke kunakipindi matokeo ya upepo hupita zinabaki hali ngumu.... sioni shabiki wa kusimama na Ogs pindi tutapopata labda sare tatu mfululizo na vichapo kadhaa... (nyakati hizi zipo) ni kweli tutaendelea kumuunga mkono? Au tunaangalia hapa..... bila kuona kuleeee....

UNITED WE STAND

Sent using Jamii Forums mobile app

Timu inapata shida kufuatana na quality tuliyonayo ya wachezaji kwanza wenzetu timu zao zimekaa muda mrefu wamezoeana wachezaj sisi hatukuwa hata na kikosi cha kwanza tangu aondoke sir alex

Kwa sasa hata unaona shaw anajua wapi anacheza

Angalia viungo wa timu za top 5 walivyozeana kila mmoja anajua anacheza na nani sisi ukiangalia mech labda ya psg kiungo ni scott na pereira kwamba unataka wamshinde verrati kumiliki mpira?

Kocha kafanya kazi kubwa sana tunaendelea kuchuja wachezaj wa maana tupate quality ya timu nzur

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Mkuu,

Nilichokiandika nadhani kinaeleweka, ukitembea na kaneno kamojamoja huwezi kuipata pointi yangu ... tatizo mashabiki tuliowengi wa mpira tunapenda mafanikio ya papo kwa papo bila kusahau kunanyakati ngumu.. nadhani hizo zipo... ndiomaana utaona wote hapa wanamshadidia Ogs ila subiri sasa tutoe sare mfululizo na vipigo kadhaa... ndio ninachozungumza hapa je tuko tayari kushikamana na Ogs ktk nyakati hizo au ndo tutaanza out out out...

Kwa jicho langu (Mimi) sioni kama tutakuwa na uvumilivu huo kwa Ogs it's just a matter of time..!! Sifingii na wala simuombei mabaya Ogs...BIG NO naomba nieleweke hivyo.

UNITED WE STAND

Sent using Jamii Forums mobile app

Nyakati ngumu kila kocha anapitia, Sir Alex alikua nusu afukuzwe kabla ya kushinda kombe lake la kwanza. Lakini walimvumilia kwasababu waliamini anaweza kuleta utofauti.
OGS kajitahidi sana kwa kipindi kifupi na ndio maana watu wanampa nafasi ya kuwa kocha mkuu mwisho wa msimu.
Tukiendelea kuongelea kupitia kipindi kigumu, hivi Epl kuna kocha aliepitia kipindi kigumu kama Pochetino na Klopp kwa top 6? Juzi mwezi wa pili Totenham walikua kwenye mbio za ubingwa, sasa hivi anapigania top 4. Ajashinda mechi 4 mfululizo.
Hivyo ni vipindi vigumu ambavyo shabiki na timu wanatakiwa kuvumilia endapo kocha atakua anaonesha matumaini. Kama kocha mwenyewe haeleweki kama ilivyokua kwa Moyes, LVG na Mourinho ndipo wanapofukuzwa.

Hapa mkuu matatizo ya hii timu yanafahamika sana hata kama solskjaer atadundwa mourinho alishawaambia nini cha kufanya sikatai morali ya wachezaj ipo juu lakin sio morali tu bila mbinu za kocha na benchi zima la ufundi kufungwa kupo lakin je ktk mazingira yapi? Akifungwa mazingira ya kizembe atasemwa tu hamna namna

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Nyakati ngumu kila kocha anapitia, Sir Alex alikua nusu afukuzwe kabla ya kushinda kombe lake la kwanza. Lakini walimvumilia kwasababu waliamini anaweza kuleta utofauti.
OGS kajitahidi sana kwa kipindi kifupi na ndio maana watu wanampa nafasi ya kuwa kocha mkuu mwisho wa msimu.
Tukiendelea kuongelea kupitia kipindi kigumu, hivi Epl kuna kocha aliepitia kipindi kigumu kama Pochetino na Klopp kwa top 6? Juzi mwezi wa pili Totenham walikua kwenye mbio za ubingwa, sasa hivi anapigania top 4. Ajashinda mechi 4 mfululizo.
Hivyo ni vipindi vigumu ambavyo shabiki na timu wanatakiwa kuvumilia endapo kocha atakua anaonesha matumaini. Kama kocha mwenyewe haeleweki kama ilivyokua kwa Moyes, LVG na Mourinho ndipo wanapofukuzwa.

Sent from my iPhone using JamiiForums

Hata pep msimu wa kwanza kadundwa sana kabla ya kwend sokoni cha msimgi ni uvumilivu tu na badi itambue mahitaj ya kocha basi

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Gary Neville: "Ole's doing an incredible job, but he needs to set the foundations and the rules with the guy he's speaking to for his job now. He needs £200m-£250m. They still need three defenders, they still need a midfielder, they still need a striker." #mulive [mail]

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Back
Top Bottom