1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 10,125
- 14,207
Nimecheka sanaakwa matokeo ya juzi dhidi ya psg,nimegundua united tunaweza kucheza mechi mbili mbili kila wikend na tukamaliza ligi mapema kabisa ili tuokoe muda. Tuombe timu A ipone haraka tuanze mchakato.
No..Is it Possible?View attachment 1041130
Is it Possible?View attachment 1041130
Bailly sijui kawaje..ni kama vile amesahau kuchezaMwakani ataalikwa na Baily wakati tumechukua UCL
Bailly sijui kawaje..ni kama vile amesahau kucheza
Sema Napoli wanataka mzigo mrefu sana..jamaa anatufaa sana aiseeAsipoangalia timu itamshinda msimu ujao
Mm namkubali sana yule Coulibaly tukipata jitu kama lile nxt season acheze na Lindelof nadhani De Gea atakuwa na raha sn
Sema Napoli wanataka mzigo mrefu sana..jamaa anatufaa sana aisee
Mara paaap manure anadondoka mikononi mwa barca, itakua ni kudumbukiza tu kama rede.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mara paaap manure anadondoka mikononi mwa barca, itakua ni kudumbukiza tu kama rede.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usije ukajificha. Nimesave comment yakoUkimfunga Arsenal nitatembea na boksa tu kuanzia njiro hadi kijenge juu..
Pale na uhakika labda utaambulia draw tu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo utakuwa udhaifu wako tuUkimfunga Arsenal nitatembea na boksa tu kuanzia njiro hadi kijenge juu..
Pale na uhakika labda utaambulia draw tu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani hapa Shaw tunamtoaje?Is it Possible?View attachment 1041130
Hahaa jana kuna mtu nilikua namwabia hivi hivi.Naamini kabisa namba 7 tayar tunae pale ila kaja kwa mtindo mwingine kabisa
Diogo Dalot.