Nini maoni yako hapo kwenye kikosi hicho.
Kuna uwezekano Matic naye akarudi
Maboresho kwa mtazamo wangu [emoji116]
Pereira kwa Fredy, Matic (kama amepona completely) kwa Tominay na Dalot kwa Young View attachment 1040761
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukweli mchungu huu ila hilo jina ulowabatiza utani wa ngumi huuNina hamu sana na hii game yetu dhidi ya hawa shamba darasa ( arsenal )
Bad news kwa GunnersInjury Concern kuelekea game ya Arsenal
Bailly is okay/fit to play
Herrera and Matic one/both of them can play on sunday
Martial is back/fit to play
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes kule mbele ni ogs mwenyew kati na nyuma babu phelanKwenye upande wa ulinzi na viungo namuona huyo jamaa
Lingz mwenye dance floor yake pale EmiratesNatamani lingard angekuwepo maana yeye ndo huwa anawatesa sana arsenal
Injury Concern kuelekea game ya Arsenal
Bailly is okay/fit to play
Herrera and Matic one/both of them can play on sunday
Martial is back/fit to play
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo herera ndo amtoe fred ila scot acheze tu aka kama matic karudi dogo yupo fresh mno aisee. Anakaba anazurura uwanja nzima na anatoa succesifull passes karibia 100%. Hio namba sioni matic akiichukua tena labda awe kwenye form mno ila sio now katoka tu from injury. Rashford acheze kati lukaku atokee pembeni ashley young aendelee kuanza yupo good defensively dalot hawez kumueka nje ashley young bado dogo bado hawezi kukaba kumbuka uo upande anacheza iwobi na hatakuwa hapandi sana kuonesha his offensive skills.
Hii game ni ya pogba kushine coz he is the freshiest midfield on the pitch.
GGMU
Sent from my iPhone using JamiiForums
Phelan ana mchango mkubwa sana kwenye mabadiliko yanayoendelea pale United
Pia Michael, na Mc Kena na Dempsey
Angalia game zinapokuwa zinaendelea utaona Ole mara kwa mara anaongea na wote au mmoja wao
Lakini kama timu ikifanya vibaya huwa hatuwataji saaaana hao wengine (japo inabidi tuwape sifa zao) huwa tunamponda sana meneja
Hivyo sio zambi hata kwenye mafanikio tukimsifia zaidi meneja
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa leo ukipangwa nae ujue umetoka..Ajax juzi juzi tu alitupatia kombe la Europa League bila hata ushindani
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukimfunga Arsenal nitatembea na boksa tu kuanzia njiro hadi kijenge juu..Arsenal wanakutana na United Jumapili
Arsenal akitoka kufungwa goli 3-1 na timu inayoshika nafasi ya 10 kwenye Ligi ya Wakulima, na ikizidiwa points 37 na anayeongoza ligi (Rennes)
United akitoka kuifunga PSG goli 1-3,timu inayoongoza Ligi ya Wakulima na ikiwa imemzidi mbabe wa Arsenal points 37 kwenye ligi hiyo
Halafu bado kuna washabiki wa Arsenane wanaota ndoto
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi umeona mpira wa Ajax ..Labda tucheze chini ya kiwango kwa heshima ya daley blind
Neymar ameiona lakiniUfafanuzi wa UEFA kuhusu uamuzi wa penati iliyoipeleka United Robo Fainali View attachment 1041070View attachment 1041071
Sent using Jamii Forums mobile app