View attachment 1040008
Huyo Bwana mwenye mpira ndiye alileta kizaazaa mwaka 1999 ...na ndiye huyo jana kaleta balaa na vijana wake.Kwa waliozaliwa juu ya hapo itawachukua muda kidogo kumfahamu.Kipindi hiyo hakuna Sportpesa...wala mbet walaa mkeka bet.Ni kipindi unashangalia mpaka unakula makofi.Wajerumani enzi hizo walikuwa majitu haswaaa.Huyo Bwana alikuwa na kasura kake hakafanani na matendo yake kabisa Uwanjani.
Kimoyomoyo nlikuwa nasema kuna siku fred atapiga dk 90mimi nimeona live mwanzo mwisho ila mpaka game inaisha sikuamini nilichokiona,,
Yaani jana ile furaha ni zaidi ya kuchukua kombeSasa sisi kwenye banda umiza baada ya ile penati watu tulivua mashati tukaingia kushangilia road
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuffor alimwaga machoziView attachment 1040008
Huyo Bwana mwenye mpira ndiye alileta kizaazaa mwaka 1999 ...na ndiye huyo jana kaleta balaa na vijana wake.Kwa waliozaliwa juu ya hapo itawachukua muda kidogo kumfahamu.Kipindi hiyo hakuna Sportpesa...wala mbet walaa mkeka bet.Ni kipindi unashangalia mpaka unakula makofi.Wajerumani enzi hizo walikuwa majitu haswaaa.Huyo Bwana alikuwa na kasura kake hakafanani na matendo yake kabisa Uwanjani.
Kumbuka Arsenal na Inter Milan.
Arsenal alikufa 4 highbury alivyoenda Italy Inter alipigwa 5 kwa 1.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nafikiri inaongelewa historia ya raundi ya mtoano. Maana hiyo ya Gooners ilikuwa kwenye hatua za awali. Na Gooners walipigwa 3-0.
Ole wampe mkataba tu.Ha ha! Nipo chifu! Mungu ni mwema sana!
Imagine Ole anafanya ka Zidane!
Imagine it was a José team yesterday
“You ask me about tonight ... in Paris .... I ask you? How many injuries? I sink seventeen. I have to play the kids against. ... er er an EXCELLENT team. But you expect me to win? 0-2 first leg? 2? When I see 2? I see TWO shampoinz league titles”
Sent using Jamii Forums mobile app
We acha tu... Mpira unamihemko sana..angekosa hiyo penati.. Dah cjui ingekuwaje hiyo mitusi..
Imagine it was a José team yesterday
“You ask me about tonight ... in Paris .... I ask you? How many injuries? I sink seventeen. I have to play the kids against. ... er er an EXCELLENT team. But you expect me to win? 0-2 first leg? 2? When I see 2? I see TWO shampoinz league titles”
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo boss, napambana na hali yangu tu! 😓😓😓Ole wampe mkataba tu.
Umepotelea wapi boss?
Jukwaa lilichangamshwa na Mbu na Nzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenzie kashambulia mwanzo mwisho huyu pimbi angeenda kuzuia mwanzo mwishoImagine it was a José team yesterday