OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,960
- 25,309
Hahahahaha wacha masikhara buana shekhe...Kama hawataki kumpa ela Ole Gunnar, wampe tu mkataba ela tutachanga sisi mashabiki
Sent from my iPhone using JamiiForums
Tulia wewe mlizoe VAR leo imewaumbua Porto naye kapata la VARMi sio shabiki wa United lakini nakubishia. Reff spent more than 2 minutes with VAR. Ball to hand gani mpaka mpira umefika jukwaani? Intentionally or not, but he blocked that ball by hand
Tutapiga za crystal palace
Mkuu unatafuta tu kisingizio tu baada ya kupigwa. Kilichosababisha iwe penalt ni mpira uliozuiwa ulikuwa unaelekea golini, beki asingeupangua na mkono lingeweza kuwa goli.
Subiri kesho mkacheze kitchen party hii champions league haikuhusu
VAR imewabebaa..
Hapa TU ndo huwa nakupendea buuuree,Asante Sana mkuu1st goal .LukakuView attachment 1039834View attachment 1039835
To me man of the match ni de geaMkuu achana na Dalot ni mpira mmoja tu uliosababisha penalt kapiga wa maana dakika zote 55 alizocheza. Man of the Match ukiachana na Lukaku ni yule yule Tominay amewavuruga sana pale kati.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaijua next stop (ugenini)?ManU wabaya sana ugenini kwa sasa wanapocheza ugenini lazima UKAE. Tunarudi nyumbani sasa
Mkuu wasipompa me naacha kuishabikia utdKama hawataki kumpa ela Ole Gunnar, wampe tu mkataba ela tutachanga sisi mashabiki
Sent from my iPhone using JamiiForums