Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,786
- 35,747
Naona umezindukaTunawasubiri pale tuwashikishe adabu maana leo mmezidhalilisha sana jezi za fly emirates so nawahakikishia mtalipa tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha aise umekuwa mnyonge sana ..unaogopa nini?? Msiba?? Unakuja sasa apo Emirates haahhaha... mwambie Aaron ajiandae kuomboleza maana sioni mnapakutokea wikiend hii ...hahaha
Chelsea alipigwa tatu na Napoli akaja kushinda nne gemu ya pili..
Hizi mambo zipogo tu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Na bado Mwaka huuMi sina tatizo buana ..lengo ilikuwa man united ashinde nipige mpunga ..
Suala la kufuzu iyo ilikuwa juu yenu ninyi mashabiki..
Sent using Jamii Forums mobile app
We mchawi unaendeleaje??
😂😂😂😂😂Mgeukie jirani yako, kisha mwangalie usoni mwambie “WEWE NI KIMPEMBE”
Sent from my iPhone using JamiiForums
Jamani hili suala teyari... Ni jambo la muda tu.Mkuu nitaona uongozi wa MU ni wapumbavu kama hawatampa team Gunnar.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu achana na Dalot ni mpira mmoja tu uliosababisha penalt kapiga wa maana dakika zote 55 alizocheza. Man of the Match ukiachana na Lukaku ni yule yule Tominay amewavuruga sana pale kati.We are in the fu.cking quorter final
√Fred was superb today
√Dalot ananikosha sana
√Lukaku muda mwingine tumpeni sifa zake wajameni..tusiwe wanafki sana
Conclusion:Mpeni Ole timu
If you cant beat em join emSiku hizi umekuwa mmungana Sana mkuu, hata tukishinda unakuja kupongeza...........
Sent using Jamii Forums mobile app