Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tukipaki basi tutapigwa nyingi!! Bora kufunguka!!
Si mmeona mlipotangulia GOLI moja mkarudi nyuma, nini kilichofuata?

Mkakaribisha mashambulizi, na PSG wakabahatika kupata GOLI la kusawazisha.

Na mlipoanza kucheza mpira wa wazi na kushambulia, mkapata tena GOLI, na kuanza kushambuliana zamu kwa zamu
 
Hahaaaa Mungu wa Lukaku!!!
Ama kweli jiwe walilolikataa waashi.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pereyra apumzike nae kama nduguye bailly hii game imemkataa anacheza upupu tuu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Reactions: ARV
Hii reply inafurahisha sana.

Sent using simu mbovu
 

Sure Bro, nimeona ndo maana nasema bora kufunguka lakini kwa tahadhari!!
 
Fredy dakika 10 za mwisho amecheza vizuri, anahitaji muda

Lukaku anazidi kuwa prove haters kwamba they are wrong

Rashy apunguze ubinafsi, amtazame Lukaku, tutapata magoli zaidi

Dalot ataongeza nguvu upande wa kulia, defensively na offensively

OGS amedhihirisha kwamba na yeye ni pragmatist. Ameangalia timu yake ilivyo, ameamua ku pack na kucheza counter attack

Kipindi cha pili a pack na acheze counter, dakika 20 za mwisho ashambulie kama hana akili nzuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ARV sasa ivi hazina soko tena dawa kamili imepatikana, badili id mkuu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alisikika mlevi mmoja akisali
 
Mpira wa Miguu ni Mchezo wa ajabu sana.

Sikutegemea MAN UTD mpaka mapumziko kwa matokeo haya ya kuongoza.

Nilitegemea mpaka kufikia mapumziko MAN UTD ameshachezea japo Tatu fulani hivi kwa Sifuri
United haitabiriwagi matokeo!!

United si ubora wa timu ni spirit ya team.
 
Hii reply inafurahisha sana.

Sent using simu mbovu
Si umeona mkuu, alikuwa kule kwenye kibendera kulia badala amimine krosi Lukaku aruke nayo, akatoa pasi ndeeeeefu kurudi nyuma kwa kipa wake, Mbape akaidaka katikati ilikuwa ilete balaa. Commentators wameshangaa sana aina ile ya pasi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…