nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 6,478
- 11,169
Tafadhali naomba any free channel / link ku check game ONLINE!!
Subiri uone PSG anavyokalia UkuniLEO KUNA MSIBA MKUBWA SANA HAPA
Hiyo hapo mkuu,
Watch Manchester United Live Stream Online Free Today Match TV
hii ni kwa game zote za manchester united. Free ni wewe na kifurushi cahko cha data tu.
Kuandika tu hujiamini saa tana ndyo Nini?Hii mbungi inapigwa saa tana kamili usiku wa leo
Hao waliotajwa na hawa niliowataja wote walikuwa na potential ya kuwa ma superstarsMimi nazungumzia players jamaa alio waorodhesha ofcourse Man Utd inastahili pia kusajili talented players
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante Mkuu kwa kunisaidia kumuelewesha jamaa, maana inaonekana haelewi tofauti ya potential ya kuwa superstar na kuwa superstar kamili.Hao waliotajwa na hawa niliowataja wote walikuwa na potential ya kuwa ma superstars
Lakini kuna baadhi (kundi la kwanza) wameweza kuwa ma superstar lakini wengine wameishia kubaki wachezaji wa kawaida
Kimsingi nilitaka kuonesha hata hao akina CR7 kuna kazi imefanyika pale united ndio maana wakaja kuwa world class players.
Kwa hiyo united anapaswa kupewa credit, kwani vinginevyo wangeweza kuishia kuwa kama Bebe
Sent using Jamii Forums mobile app
Endelea kuota
Leo hamtaamini macho yenu.Ngoja niwatafute kamati ya misiba watuletee maturubai na masufuria ya kupikia mapema Mkuu Ollachuga waandae wale vijana wa kuokota watu watakao zimia wakati wa kuaga mwili wa marehemu.
Huna timu ya kumfunga PSG hata wakicheza 8 ndani.
Wewe Ndio acha ubishi, they became superstars under our watch, they were talented but not superstars, we made themAcha ubishi wewe angalia bei ya de gea tuliyomchukulia kutoka atletico,angalia bei ya Martial hao wote walibreak record za dunia sababu ni uwezo wao.valencia alkua na kiwango bora kabisa cha kumreplace cr7
Sent using Jamii Forums mobile app