Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Matic na herrera hawajasafiri na kikosi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana, walikuwa talented tu tukawachukua. We made them super stars. Wamefahika sana walipokuja United.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ubishi wewe angalia bei ya de gea tuliyomchukulia kutoka atletico,angalia bei ya Martial hao wote walibreak record za dunia sababu ni uwezo wao.valencia alkua na kiwango bora kabisa cha kumreplace cr7

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau wa united,wengi miongoni mwetu tulikuwa na maoni mbalimbali kuhusu udhaifu wa timu yetu kwenye upande wa mbele kulia hadi ikadhaniwa perisic kuja kufanya kazi hiyo. Hilo dili liliingia luba kutokana na gharama hasa ikizingatiwa umri wa mchezaji husika. Wengi wetu tulimsapoti mwalimu wa wakati huo kuwa apewe mahitaji yake ili akose sababu ya kwanini timu haipati matokeo tarajiwa,lakini jana nimeona game ya real madrid na ajax sikuwahi kuona mtu akizungumzia uwezekano wa kumsajili huyu dogo zayech mmorocco. Binafsi amenivutia kukaa upande ule endapo ole ataona kuna ulazima wa kusajili namba hiyo msimu ujao. Kwa wajuvi zaidi toeni maoni yenu kwanini dogo hajaonekana kuvutia macho ya watu.
 
Acha ubishi wewe angalia bei ya de gea tuliyomchukulia kutoka atletico,angalia bei ya Martial hao wote walibreak record za dunia sababu ni uwezo wao.valencia alkua na kiwango bora kabisa cha kumreplace cr7

Sent using Jamii Forums mobile app
Angalia hiyo orodha, kisha angalia na hii orodha hapa chini

Depay,

Bebe,

Oberten,

Zaha,

Kisha muamue kuhusu ubishi unaoendelea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…