ukiangalia rekodi yetu ya away, nashawishika kukubaliana na wewe.
mimi napenda tushinde ila tusiende quarter final. Hofu yangu tusije kosa top 4.
Sent using simu mbovu
Duh hii habari kuwa Degea anataka mshahara kama wa Sanchez ndio amwage wino inawangisha kichwa sana
Kila mchezaji tegemeo akija na style hiyo kuna baadhi ya mastaa tutawashindwa
Inaendelea kujidhihirisha kwamba usajili Sanchez ulikuwa one of the big mistake pale United
Sent using Jamii Forums mobile app
De Gea sio muuza jezi ndio maana Woodward anasita kumpa hiyo hela.De Gea anastahili kulipwa mshahara mkubwa kuliko wachezaji wote wangempa na Ukapteni kabisaDuh hii habari kuwa Degea anataka mshahara kama wa Sanchez ndio amwage wino inawangisha kichwa sana
Kila mchezaji tegemeo akija na style hiyo kuna baadhi ya mastaa tutawashindwa
Inaendelea kujidhihirisha kwamba usajili Sanchez ulikuwa one of the big mistake pale United
Sent using Jamii Forums mobile app
A very big mistake..Duh hii habari kuwa Degea anataka mshahara kama wa Sanchez ndio amwage wino inawangisha kichwa sana
Kila mchezaji tegemeo akija na style hiyo kuna baadhi ya mastaa tutawashindwa
Inaendelea kujidhihirisha kwamba usajili Sanchez ulikuwa one of the big mistake pale United
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh hii habari kuwa Degea anataka mshahara kama wa Sanchez ndio amwage wino inawangisha kichwa sana
Kila mchezaji tegemeo akija na style hiyo kuna baadhi ya mastaa tutawashindwa
Inaendelea kujidhihirisha kwamba usajili Sanchez ulikuwa one of the big mistake pale United
Yaani ni majangaHili ni tatizo kubwa aisee mambo kama haya kipindi cha babu yalikuwa hayapo kabisa, ishu ni kwamba tulivunja wage
structure ya pale UTD tulivyomuongeza mkataba Rooney na Baada ya apo Pogs na baadae ndo Sanchez sasa kila top player
tutakae msajili atataka avute mpunga sawa na hao jamaa mpka mwisho wa siku ilitakuwa tatizo kubwa hata ukitaka kuwauza
hawa wachezaji,mfano sahv tukitaka kumuuza Sanchez club chache sana zitakuwa zipo tayari kumlipa huo mpunga tunaompa
ss labda aende china hko,itakuwa yale yale kama ya Rooney tunamuuza everton lakn bado tunaendelea kumlipa nusu ya
mshahara wake!
Nyie mnaweza mkabaki hapo hapo nafasi ya tano..Angalia points zinasemaje. Ni karib sana. Tot ameshaaza kuyumba.
Ni suala la muda tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Chelsea hafungwi Mara mbili na timu moja hata ..narudia tena hafungwi Mara mbili..Kama man u walivyofanya pale darajani. Ukija ot unakula zingine. Mpaka ifikiemechi ya chelsea. Majeruhi karibia wote watakuwa wamerudi
Sent using Jamii Forums mobile app
De Gea sio muuza jezi ndio maana Woodward anasita kumpa hiyo hela.De Gea anastahili kulipwa mshahara mkubwa kuliko wachezaji wote wangempa na Ukapteni kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Spurs atampiga Arsenal kesho ..wewe utapigwa zitabaki zile zile point tisa..Kasahau kuwa ijumaa TU tot walikuwa 9points mbele Leo zimebaki 5..................
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sasa hatuna cha kupoteza..Yaani we jamaa kila nikisoma comments zako naishia kucheka tu, maana unavyojuaga kujipiga BAN mambo yakienda tofauti, ni shida
Sent using Jamii Forums mobile app