Mawazo ya mtu hayapingwi....ila ww unaonekana kama Mamluki hivi..man u yetu bado sana. tukipata kocha kama warnoc yule jamaa aliyefukuzwa huddlesfield atatufaa sana. Tukimkosa bora tumchukue yule Tony Pulis alikuwaga anainoa Stoke city na west brom.
Bila ivo man u itazidi kupotea. Sanchez tumpe muda.
GGMU
Sent from my iPhone using JamiiForums
Dogo ninachompendea anajua strengths na weakness zakeScott McTominay covered more distance (11.79km) than any other Man Utd player vs. Liverpool.
Huge effort.
View attachment 1032149
Mawazo ya mtu hayapingwi....ila ww unaonekana kama Mamluki hivi..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hyu dogo ni hazina kubwa,hana mbwembweScott McTominay covered more distance (11.79km) than any other Man Utd player vs. Liverpool.
Huge effort.
View attachment 1032149
Yenye mashabiki wengi ndo kipaumbele.Kesho vibanda umiza wanakazi timu nne zipo uwanjani muda mmoja zote zina mashabik
Ujinga tuDid you know; Ole Gunnar Solskjaer has got more points from his first 10 games than any manager in Premier League History
Fred sijui anakwama wapi,tatizo lake anataka kufanya mambo mengi kwa wakati mmoja.Kesho naiona 4-4-2 formation..
Sanchez na Lukaku mbele.
Namuona Fred,Pereira,Scot mctominay na Pogba kwny midfield..
Nyuma hapanipi wasiwasi cuz wote ni wazima.
Pia naona changes ya formation Ktk kipindi ambapo tahiti na gomes wanaweza kuingia kucheza kwny wings..
GGMU GGMU
Sent using Jamii Forums mobile app
Fred sijui anakwama wapi,tatizo lake anataka kufanya mambo mengi kwa wakati mmoja.
Vibanda vingi mwisho ni tv tatu ....najua wengi wataonesha gem ya chels vs spurs....palace vs utd....kati ya aseno na liver itabidi mashabiki wenye influence kubwa kweny hiko kibanda ndo gem yao ioneshweKesho vibanda umiza wanakazi timu nne zipo uwanjani muda mmoja zote zina mashabik
very true bro dogo gomes namuelewa balaaa,, nahisi huu ndio muda wao kukutana na changamoto kubwa ili wakue na waiveKila jambo lina faida yake na hasara yake
Balaa la majeruhi ni BALAA, japo linaweza kuwa fursa kwa kwa chama letu pendwa, MANCHESTER UNITED.
Kumbukumbu inaonesha Rashford alipata nafasi baada ya Martial kuumia muda mfupi kabla ya mechi ya Midjland katika mashindano ya Europa League.
Huwezi jua. Pengine huu ni muda Garner, Chong na Gomes kuingia katika ulimwengu wa ma superstar na sio prospects/talents tena
Huwezi jua, pengine huu ndio wakati wa kumuibua Sanchez aliyejificha ndani tangu ahamie United.
Let's wait and see
This is what we call positivity
Sent using Jamii Forums mobile app