Manchester United (Red Devils) | Special Thread

wale wana mbinu mkuu, huyu OGS hana mbinu ana hamasa tu. Tatizo la michezo ya hamasa huwa kuna muda inakata mnaanza kutafuta mchawi. OGS na zinade hakuna kitu, bora ata claud puel
Hamasa ashinde mechi zote hizo?

Mwenye mbinu ni nani? Klopp? Pochetino? Sari? Unai?

OGS atachukua Kombe msimu ujao, Klopp ataishia kukumbatia wachezaji tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wanaongea ili waonekane nao wanaongea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah kajitahidi sana kuibadili man United ..saiv pogba yuko huru anateleza tu ..timu imekuwa na hari ya ushindani sana. Japo ni mapema kusema apewe timu, pengine ni upepo tu unamwendea vizuri..

Sent using Jamii Forums mobile app
Na kombe umekosa tena.

Kajadili timu yako ambayo kipa anamgomea kocha.

OGS has done a very good job so far.

Apewe timu mapema aanze kusuka kikosi cha msimu ujao.

Kumleta kocha mwingine nje ya OGS ni gamble kama tulioifanya kwa Moyes, LVG na Jose.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Matokeo ya leo ni mazuri kwetu kutokana na situation (Majeruhi) na uzito wa mechi yenyewe hasa kwa liverpool wanaofukuzia ubingwa, leo tumechezesha watoto dhidi ya wapinzani wetu wakubwa na wenye kikosi kizuri lakin bado tumefanikiwa kuwa out-perform, coz kama nafasi sisi tumetengeneza nyingi zaidi yao na tulifanikiwa kuwazuia wameishia kupiga shuti moja tu on target mechi nzima!

Yaani De gea leo tungemuacha apumzike home tu..ningekuwa mshabiki wa Liverpool ningekuwa disappointed sana aisee, maana ni kama dharau,Salah na Mane hawajafanya chochote cha maana..sema kuna vitu vya kujifunza kwenye mechi hii.


1.Tunahitaji kufanya usajili wa maana coz tuko nyuma sana interms of player quality hasa kiungo hawa madogo pamoja na kujitahidi leo bado sio top quality inayohitajika pale OT kushindana na Top teams za Ulaya.

2.Tuna beki nzuri tu sema labda tuongeze jembe moja la maana (Koulibaly) na namba 3 mwingine kama Shaw akiumia.

3.Liverpool hana ubavu wa kubeba PL akichukua ni labda CITY afanye uzembe tu ila liverfools hawana chao pale.

4. Shaw leo kacheza vizuri sana mpka mwarabu ameonekana mchezaji wakawaida kabsa, kwa ufupi Shaw ndo man of the match.

5. Ole leo kadhihirisha kwamba uwezo wa kuimudu hii timu anao coz mechi ya leo ndo ilikuwa na changamoto kubwa kuliko hizo nyingine zote alizo ongoza timu,hvyo nahisi mpka sahiv tuanze kuamini kuwa atapewa timu mazima!
 
wale wana mbinu mkuu, huyu OGS hana mbinu ana hamasa tu. Tatizo la michezo ya hamasa huwa kuna muda inakata mnaanza kutafuta mchawi. OGS na zinade hakuna kitu, bora ata claud puel
Kama hana mbinu, game ya jana vijana wangeingia kati si chini ya mara 5! Sometimes tumia common sense na kuweka ushabiki maandazi pembeni. Ole so far kajitahidi sana kuirebuild united regardless ya ufinyu wa kikosi alionao! Sasa wewe unakuja kupigia version nyingine ya moyes hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wale wana mbinu mkuu, huyu OGS hana mbinu ana hamasa tu. Tatizo la michezo ya hamasa huwa kuna muda inakata mnaanza kutafuta mchawi. OGS na zinade hakuna kitu, bora ata claud puel

Hana mbinu? De gea alidaka mipira ya hatar mingap na kiungo chetu cha academy? ukiacha kocha wa arsenal wengine wote waoga kutoa nafasi kwa madogo aneo la kiungo tena ktk mech kubwa huwezi kumuacha fred bench ukampa nafasi pereira halafu useme kocha hana mbinu
 

mbuminu ni kumtumia fred na kupata matokeo, sio kutumia madogo kupata draw.
 

ni kwli OGS kaweka motisha kubwa, kimbinu hamna kitu pale. Tatizo motisha huwa nayo inaishaga
 
Wabongo sisi tatizo ujuaji mwingi, angekuwa hana mbinu leo Liverpool wangeondoka na magoli sio chini ya matatu.

Angekuwa hana mbinu tusingembomoa Chelsea.
Halafu kocha hayupo peke yake, ni bench zima ndio linafanya kazi.

liva wepesi wale, Tony pulis angewalamba hata 4 wale...... Ole ni mhamasishaji tu, yani pake man u ye ni kama MC wa shughuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…