Hahahahahahah lol! Mkibebwa nyinyi unafuta!!! magoli ya halali haya....lakini tukipewa penalty sisi basi kosa!!!! Hongera Mkuu 3-3...Rooney au Giggs atafunga la ushindi 🙂🙂
Hapo Ndio timu za London napokuwa sizipendi zinakuwa na Plastic Fan wengi sasa wanaondokea nini wakati wanataka timu yao ishinde na wapo home? wenyewe Fan ndio wanaikatisha timu tamaa nakuzidi kuwapa sasa hivi United nguvu.