GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 7,676
- 17,995
Unachokisema kinawezekana, lakini Mara nyingi nimeona mchezaji asipooneka wakati wanaingia hotelini, huwa hayupo kwenye mechi husika.Iv kutoonekana ni lazima hatokuwepo au inawezekana pia akawepo licha ya kutoonekana hotelini
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo tunawapiga nyie nyumbu had mnakufa, tunapiga kipigo cha mbwa koko kile ambacho hamtaweza kutembea tena.
Tutawauwa leo manure, Usichekeze kabisa na Moto wa Firmino, Mane, Salah.
Game ya leo naivyoisubiria utadhani nipo Angaza nakula ushauri nasaha nikisubiria majibu ya ngoma. Damn it.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukumbuke kurudi katika huu uzi baada ya mechiLeo tunawapiga nyie nyumbu had mnakufa, tunapiga kipigo cha mbwa koko kile ambacho hamtaweza kutembea tena.
Tutawauwa leo manure, Usichekeze kabisa na Moto wa Firmino, Mane, Salah.
Game ya leo nina pressure kishenz sijui tunakufa dah
Nenda kabet mkuu usijipe stress zisizo na msingi mkuu jogoo leo analiwa mzima mzima hatuna haja ya kumchinja leo tunamla kama alivyo
IM A UNITED FAN..GGMU
Nenda kabet mkuu usijipe stress zisizo na msingi mkuu jogoo leo analiwa mzima mzima hatuna haja ya kumchinja leo tunamla kama alivyo
Jogoo lina liwa ot leo mkuu ww waza kubet tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaa daud unamchukia Maurinho kuliko hata ARV anavyomchukia Martial.
Kama kungekuwa na uwezo wa kufukuza kocha MAra ya pili au Mara ya tatu.Hahahaaa daud unamchukia Maurinho kuliko hata ARV anavyomchukia Martial.
Sent using Jamii Forums mobile app