capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,267
Ahsante mkuu kwa kunijuzaUkipata red card FA cup unamiss pia mechi za ligi..
Nimeshaelewa mkuuNyie ndio mlioanza kushabikia mpira juzi, aliyekwambia red card ya FA haiusiki EPL ni nani?
ni kweli Martial hajitumi hakabi ila huwezi kumfananisha na Lukaku bossOff course Matial anazingua sana! Hajitumi kama wengine wanavyoonyesha kujituma uwanjani!!
Hii match imfungue akili.
Kutokutumia nguvu bali kutumia akili na kufunga golini kweli Martial hajitumi hakabi ila huwezi kumfananisha na Lukaku boss
Martial akiwa na mpira anakuwa hatari tofauti na Lukaku akiwa na mpira anampelekea adui bure kabisa
kipi bora?? kukaba kwa nguvu na kwenda kumpa mpira adui au kutotumia nguvu na kwenda kufunga magoli
ni kweli Martial hajitumi hakabi ila huwezi kumfananisha na Lukaku boss
Martial akiwa na mpira anakuwa hatari tofauti na Lukaku akiwa na mpira anampelekea adui bure kabisa
kipi bora?? kukaba kwa nguvu na kwenda kumpa mpira adui au kutotumia nguvu na kwenda kufunga magoli
Kheri lakini, maana michango yako imepungua Sana kwenye uzi huuNipo mkuu
Huwa na mshangaa sana huyu jamaa hana ponit za msingi katika kumuongelea martial. Anazimguwa sanaHalafu kajamaa kanachuki za kishamba Sana.. Sababu za kumchukia ni za hovyo Sana.. Eti lukaku anapambana Sana!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumuongelee mchezaji kwa style hiyo ila siyo yule jamaa dawa ya ukimwi anavyo muongelea tena mchezaji wa timu unayoshabikia.Off course Matial anazingua sana! Hajitumi kama wengine wanavyoonyesha kujituma uwanjani!!
Hii match imfungue akili.
Hiyo mechi nitakua naisupport Chelsea, kwa faida zangu.Chelsea hata EPL kwa Morinho walishangilia droo.. akatokea jamaa mmoja benchi la ufundi kwenda kumfanyia fujo Jozee.
Sarri pona yake ipo kwa final dhidi ya City..akishindwa kujitetea hapo basi kazi hana., anahitajika kocha wa mpito chelsea, aachwe ZOLA amalizie msimu.
I am suprised unawaza vipi kumfananisha Lukaku na Martial wakati ni wachezaji wawili tofauti kabisa.Martial siwezi kumlinganisha na Lukaku ndio,
Kwanza naamini Lukaku ni bora kuliko martial ni vile tu Lukaku hayupo kwenye form.
Wakati mwingine naona Lukaku hajapata mtu wa kumpelekea mipira/kumchezesha kwa aina ya uchezaji wake!!
Tizama mipira mingingi anayopokea kwa match tofautitofauti, ni counter ndefu na mara nyingi zinamkuta peke ake mbele.
Kwa sasa naona kelele za mashabiki zinampunguzia confidence na umakini pia.
Lukaku ni mchezaji mkubwa mno compared to Martial.
siwezi mfananisha Martial na Lukaku kila mmoja ni bora kwa nafasi yakeMartial siwezi kumlinganisha na Lukaku ndio,
Kwanza naamini Lukaku ni bora kuliko martial ni vile tu Lukaku hayupo kwenye form.
Wakati mwingine naona Lukaku hajapata mtu wa kumpelekea mipira/kumchezesha kwa aina ya uchezaji wake!!
Tizama mipira mingingi anayopokea kwa match tofautitofauti, ni counter ndefu na mara nyingi zinamkuta peke ake mbele.
Kwa sasa naona kelele za mashabiki zinampunguzia confidence na umakini pia.
Lukaku ni mchezaji mkubwa mno compared to Martial.
Off course Matial anazingua sana! Hajitumi kama wengine wanavyoonyesha kujituma uwanjani!!
Hii match imfungue akili.