Kirikou Wa Kwanza
JF-Expert Member
- May 24, 2013
- 3,564
- 1,992
+ HammersOle gunna solskjaer kaibakisha cystal palace tu awe amezifunga timu zote za london
Vipi na wewe ni Chelsea fan au?? Mbona povu???
Wakapambane hivyo hivyo wakienda Ufaransa kama walivyo pambana juzi kati.Game ilikuwa nzuri sana, wachezaji wote wamecheza vizuri, kazi kazi kila mchezaji alibeba msalaba wake... Wachezaji wamepewa uhuru wa kufanya wanachotaka, lakini mpira ukipotea kwenye himaya yetu, wote wanakaba mpaka kivuli. Nimekuwa nikiwaza ilikuaje PSG wakatufunga kwa mpira ule, anyways hii ndio Man United. Wachezaji wako radhi kufia uwanjani kweli wanajituma sana halafu sijui kwa nini Herrara hapewi mkataba mpya, huyu jamaa ananikosha sana ni mpambanaji asiyechoka.
Iwe hivi hivi kwa Liverpool piaReaction imekua nzuri sana kwa kocha na wachezaji baada ya psg...
We jamaa una chuki na martial naangaliaga sana comment zako kila tunapocheza lazima utamdiss martialNa huyo Martial aangalie mpira hapa, kila mchezaji anapambana kivyake, Lukaku anasumbuka kule Mata anazunguka kote Rashford yuko moto...Yeye alizoea kukaa pale mbele kushoto anasubiria mipira!!!! na asipone kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lengo lenu ilikuwa mpate draw kumbe na si ushindi
London is second home of Man utdOle gunna solskjaer kaibakisha cystal palace tu awe amezifunga timu zote za london
We jamaa una chuki na martial naangaliaga sana comment zako kila tunapocheza lazima utamdiss martial
.
Nadhani alikuwa anaogopa sana Matic kupigwa umemeMATIC nilimuona leo na kocha kwa kujua jukumu alilokua anatekelezea akaamua kuvumilia kutokumtoa akiamin hatapewa red....alipewa onyo 2 za mwisho. Matic impacted too the match
Mkuu watoto si kwao na akina Gigs? Wales?Ole gunna solskjaer kaibakisha cystal palace tu awe amezifunga timu zote za london