Huyu jamaa kanichekesha sanahivi vyeo unavyonipa ni vikubwa kuliko cv ya vyeo aliokuwa nayo iddi amini dada, nahofia hivi vyeo vitanigeuza tabia zangu na kuwa shetani muandika upumbavu humu ndani.
kama tuna mpango wa kumpa ajira ya moja kwa moja OGS basi si vibaya kuchelewesha upatikanaji wa DOF kwa sababu OGS na benchi lake la ufundi wanaweza kuifanya kazi ipasavyo ya kufanya tathmini ya kikosi chetu huku wakimsubiri DOF achaguliwe mwanzoni mwa msimu, kama OGS ni kocha wa kupita halafu kocha ajaye ndiye mwenye mikakati yote ya usajili basi huu ni muda muafaka wa kumtangaza DOF ili apate kufanya kazi yake ya kufanya tathimini ya kina kwa timu na kuandaa mikakati ya usajili ili kocha ajaye ajuwe wapi pakuanzia.
kama tunamsubiri kocha mpya na DOF wafanye kazi kwa pamoja pindi watakapotangazwa ifikapo mwezi July basi tutakuwa tumepoteza muda wetu bure, ukiziangalia timu kama barcelona, juventus na bayern munich tayari wameshaanza kufanya maandalizi ya msimu ujao kwa kutafuta target zao muhimu wanazozihitaji kwa ajili ya kuimarisha vikosi vyao lakini kiupande wetu bado tunasukumuwa zaidi na ishu ya kocha, tetesi za DOF na tetesi nyingi za wachezaji.
ndivyo ninavyojiaminisha kiupande wangu sijui wewe una mtazamo upi.
kuhusu tetesi za DOF kila siku wagombeaji nafasi wanazidi kumiminika kwa mujibu wa magazeti ya uingereza na hii ni kwa sababu magazeti wameshaona fursa ya kupiga hela ila mwenye maamuzi ya mwisho ni ed woodward na mabosi wake.
wapo wengi lakini nimempenda Sven Mislintat kwa jicho lake kali akifanya kazi kama recruitment pale dortmund akiwa pamoja na director michael zorc na hata arsenal pia alifanya kazi nzuri kabla ya kuondoka miezi michache iliopita.
- Jordi Cruyff = ana ukaribu sana na OGS
- Tony Whelan, John Murtagh, Matt Judge : wote wamefanya kazi manchester united.
- eric cantona
- Sven Mislintat
- monchi
mara nyingi nafuatilia thread hii kwa ajili ya kufuatilia hii ishu na kupata kusoma michango ya wadau mbali mbali.
Man Utd set to appoint Director of Football | Expected before next manager hired
Manchester United Forum
View attachment 1023396
Hata Mimi nashangaa hao wachezaji niliowataja wote wanapatikana kwa reasonable price tuKwanini Man Utd tushindwe kuwanunua hawa?
Kama Juventus wameweka mpunga kumtaka Mohamed Sallah. Sisi tunashindwa vipi kuwachukua kina Mbappe nk?
Man City ataingia sokoni atawanunua na kuwatumia. Tutabaki kupiga story zilezile.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa ndio mtakubaliana na mimi kwamba OGS sio kocha, alikutana na upepo tu. Vichapo ndio vimeshaanza hivo, this is the right time to remember our José Mourinho.Wakuu mnaonaje martial na lingard hawatokuepo almost three week, nani wataziba hayo mapengo?
Sent using simu mbovu
Mkuu unazani ulichokijibu ndicho nilichouliza?Hapa ndio mtakubaliana na mimi kwamba OGS sio kocha, alikutana na upepo tu. Vichapo ndio vimeshaanza hivo, this is the right time to remember our José Mourinho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunaitaji fullbacks atleast huyo RB, +RW (Sancho),huyo diogo dalot itamchukua tena miaka miwili ndio afikie uwezo wa ashley young huyu tunayemshuhudia kila wiki, timu yetu bado haina mlinzi wa kulia anayekwenda na mdundo wa kisasa na kitendo cha ashley young kupewa mkataba mpya ni dalili iliowazi ya kwamba klabu haina mpango wa kutafuta mlinzi mwengine wa kulia ambaye uwezo wake unalingana na wachezaji kama kyle walker, thomas meunir, benjamin parvard, dani carvajal n.k
kwenye ishu ya kuzungumza ukweli ndipo nilipokuwa nikimpendea jose mourinho, sijui kama kocha ajaye atakuwa mkweli au ahsante bwana.
ngoja tuone kwa atakayekuwa hai
Very few strikers in the world better than LukakuSanchez auzwe anunuliwe Marco Reus.
Replacement ya fellain aje Marco Verrati au Rabiot
Juan Mata awe replaced na Christian Eriksen.
Phil Jones awe replaced na Harry Maguire au Skinnar
Replacement ya Lukaku anaweza kuwa Icardi au Harry Kane tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Very few strikers in the world better than Lukaku
And u can't replace him with less than 100 million pound
The money better used in more needy position such as central defenders, left footed Wenger, CDM, right back, pace number 10,
There is the room for academy products though, Chong (left footed winger), Mason Greenwood (Striker, left footed winger, pace number 10), James Garner (he need 2 years to wear Carrick shoes), Angel Gomez (Option for number 10, can also play in 2 wing positions)
Man Utd need to sign 4 or more players than selling
If there is any players we need to sell is a section of our Central Defenders, starting with Jones and Rojo
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahahaaaaaaa na ndicho walichotufanyia PSG hapo juzi, upande wa kushoto walimkamata paul pogba tukapoteza network.Tunaitaji fullbacks atleast huyo RB, +RW (Sancho),
left flank, shaw na martial
Right flank, new RB na RW(Sancho) .
hapo atleast tutacheza modern football, Ukiziba left , unapigwa Right. Ukipaniki unapigwa kotekote,
Sio sasa hivi tukibanwa left habari yetu inakwisha.
Sent using simu mbovu
Mkuu umeongea cha maana sanaMkuu sorry, umeongea kama hao wachezaji wako academy ya man u.
Marco verrati si rahisi PSG kumuachia, muda huu ambao wanamuhitaji sana.na hata wakimuachia itakuwa ni kwa pesa ndefu sana, so sizani kitu kaa hicho kinaweza tokea. Lakini ni kweli angetufaa sana nazani kucheza eneo la matic pia.
Christian Eriksen, sawa tatizo levy, jamaa yule ni mgumu sana kudeal nae,
Harry Maguire sina neno,
Harry Kane, hii kitu ni ngumu sana, nazani ni 150+£, club yetu haiwez kuspend hivyo , wakati kuna maeneo mengine yanaitaji additions, pia kwanni tulete CF wakti kuna Rashford na Greenwood wanakuja.
Rabiot, huyu atapatikana free, lakini huyu ni more attacking, means ukimueka pamoja na pogba unahitaji DM mzuri sana(sio huyu matic aliyeanza kuchoka)
Ila naamin kocha mzuri anaweza kuwatumia vzr tuu.
Rabiot, mama yake ndiye agent wake, ni wasumbufu kiana.
Anyway cha mhimu tupate RW, Deep playmaker, CB, Na RB.
Sent using simu mbovu
Juve hana ubavu wa kumnunua Salah kwa cashKwanini Man Utd tushindwe kuwanunua hawa?
Kama Juventus wameweka mpunga kumtaka Mohamed Sallah. Sisi tunashindwa vipi kuwachukua kina Mbappe nk?
Man City ataingia sokoni atawanunua na kuwatumia. Tutabaki kupiga story zilezile.
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrani mkuu, ni kweli Suala hili la director of football ni lazima limalizwe mapema ili tuhakikishe club inaanza mipango bora kuelekea msimu ujao, tukiamini kuwa usajili bora ndiyo chanzo cha kutupeleka sehemu bora zaidi...hivi vyeo unavyonipa ni vikubwa kuliko cv ya vyeo aliokuwa nayo iddi amini dada, nahofia hivi vyeo vitanigeuza tabia zangu na kuwa shetani muandika upumbavu humu ndani.
kama tuna mpango wa kumpa ajira ya moja kwa moja OGS basi si vibaya kuchelewesha upatikanaji wa DOF kwa sababu OGS na benchi lake la ufundi wanaweza kuifanya kazi ipasavyo ya kufanya tathmini ya kikosi chetu huku wakimsubiri DOF achaguliwe mwanzoni mwa msimu, kama OGS ni kocha wa kupita halafu kocha ajaye ndiye mwenye mikakati yote ya usajili basi huu ni muda muafaka wa kumtangaza DOF ili apate kufanya kazi yake ya kufanya tathimini ya kina kwa timu na kuandaa mikakati ya usajili ili kocha ajaye ajuwe wapi pakuanzia.
kama tunamsubiri kocha mpya na DOF wafanye kazi kwa pamoja pindi watakapotangazwa ifikapo mwezi July basi tutakuwa tumepoteza muda wetu bure, ukiziangalia timu kama barcelona, juventus na bayern munich tayari wameshaanza kufanya maandalizi ya msimu ujao kwa kutafuta target zao muhimu wanazozihitaji kwa ajili ya kuimarisha vikosi vyao lakini kiupande wetu bado tunasukumuwa zaidi na ishu ya kocha, tetesi za DOF na tetesi nyingi za wachezaji.
ndivyo ninavyojiaminisha kiupande wangu sijui wewe una mtazamo upi.
kuhusu tetesi za DOF kila siku wagombeaji nafasi wanazidi kumiminika kwa mujibu wa magazeti ya uingereza na hii ni kwa sababu magazeti wameshaona fursa ya kupiga hela ila mwenye maamuzi ya mwisho ni ed woodward na mabosi wake.
wapo wengi lakini nimempenda Sven Mislintat kwa jicho lake kali akifanya kazi kama recruitment pale dortmund akiwa pamoja na director michael zorc na hata arsenal pia alifanya kazi nzuri kabla ya kuondoka miezi michache iliopita.
- Jordi Cruyff = ana ukaribu sana na OGS
- Tony Whelan, John Murtagh, Matt Judge : wote wamefanya kazi manchester united.
- eric cantona
- Sven Mislintat
- monchi
mara nyingi nafuatilia thread hii kwa ajili ya kufuatilia hii ishu na kupata kusoma michango ya wadau mbali mbali.
Man Utd set to appoint Director of Football | Expected before next manager hired
Manchester United Forum
View attachment 1023396
Mkuu kwa wachezaji cash sio every thingRonaldo aliondoka Utd baada ya kufika dau.
Hao wachezaji ukifika dau unamchukua tu labda yeye binafsi akatae.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye Avatar yako umemuweka Keane je Keane alifanikiwa kama kocha wewe Lofa... Pia zungumzia nafsi yako, huyo Mourinho utamkumbuka peke ako, hakuna hata mmoja aliesema Ole afukuzwe ila wewe usiejua soka unakurupuka....nadhani kilichobora kwako ni kumfuata Mourinho huko urusi anajifanya job kama pundit kwa mda... Hpa OT hana nafasiHapa ndio mtakubaliana na mimi kwamba OGS sio kocha, alikutana na upepo tu. Vichapo ndio vimeshaanza hivo, this is the right time to remember our José Mourinho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakubaliana na wewe mkuulakini kumbuka unahitaji experienced players pia kuwa back up ya hao watoto uliowataja
Sent using Jamii Forums mobile app
Pia namba 10 hatuna na ndiyo inayoleta shida... Naimani lingard sio fit sana kucheza kama namba 10 na Mata hana speed so ni lazima tusajili huyo namba 10 .... Kuna tetesi kuwa tunamfuatilia Joao Felix toka benfica ni Miaka 19 anaweza akatufaaTunaitaji fullbacks atleast huyo RB, +RW (Sancho),
left flank, shaw na martial
Right flank, new RB na RW(Sancho) .
hapo atleast tutacheza modern football, Ukiziba left , unapigwa Right. Ukipaniki unapigwa kotekote,
Sio sasa hivi tukibanwa left habari yetu inakwisha.
Sent using simu mbovu
haya mambo ukiyaweka akilini sana yanaweza kukupotezea usingizi wako, ndio maana siku hizi nimeacha kufuatilia stori za usajili kwa kuhofia kujipa ugonjwa wa kujitakia, unaweza kukuta klabu yetu wala haina habari na koulibally ila sisi ndio tunajitia kiherere here.Mkuu umeongea cha maana sana
Man na sisi huwa tunazingua sana (tunarudi kule kule, tunahitaji director of football), tunaachaje mchezaji kama De jong anaenda barca bila fight kutoka kwetu
Naona nimepata mtu aliekuwa anawaza kama mim, nadhani tukipata 3 kati ya hao uliowataja na kuongeza right wing tutakuwa mbali sanaMkuu umeongea cha maana sana
Man na sisi huwa tunazingua sana (tunarudi kule kule, tunahitaji director of football), tunaachaje mchezaji kama De jong anaenda barca bila fight kutoka kwetu
Bado sokoni tukiangaza mibadala tunaweza kupata, mfano inatajwa kuwa United wanaongoza kuwa na network kubwa ya scouts duniani lakini wanakula mshahara wa bure tu
Bado ninaamini Koulibally anapaswa kuwa chagua la kwanza, chaguo la pili Skriniar na chaguo la tatu ni De Legit wa Ajax kwenye nafasi ya beki wa kati. Magure tatizo ninaloliona kwake hana pace japo ni best kwenye mipira ya juu
Sanchez auzwe hata kesho mteja akipatikana, either Man Utd imemshindwa au ameishindwa Man Utd
Rabiot ni mzuri lakini, kwa level za Spurs, kama tunataka Man Utd tofauti tunapaswa kuangalia better option than him.
Erickson kwenye bodi ya Utd tungekuwa na mtu wa mpira (wote wanawaza biashara) alikuwa ni mtu wa kumpambania dirisha la summer kwa maana spurs hawana nguvu sana kwenye negotiation kwani mkataba wake unaisha 2020. Huyu anapaswa kuwa mbadala wa Mata, I love Juan but he has very heavy legs.
Kuna watu wapo sokoni kama akina Ndombele, hivi hawa hatuwaoni? Hivi tumeshindwa kumuina Neves wa Wolves midfielder fundi wa Wolves. Vipi kuhusu beki kitasa wa Wolves Willy Boly?
Halafu bado tunashangaa tunafeli wapi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Msimu ujao huyo atatua OThaya mambo ukiyaweka akilini sana yanaweza kukupotezea usingizi wako, ndio maana siku hizi nimeacha kufuatilia stori za usajili kwa kuhofia kujipa ugonjwa wa kujitakia, unaweza kukuta klabu yetu wala haina habari na koulibally ila sisi ndio tunajitia kiherere here.
teh teh teh