Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 53,246
- 50,468
Tunawatundika nyingi tuHakuna watu wanaonifurahishaga kama hawa Manure. Yan wanaonaga wao ndio wana world class players. Wakiwa uwanja ni kama vile ni heaven kumbe kama banda la kuku tu wanajipigia watakavyo.
Watajifariji wapo FA na wanakuja darajani. Mi nawasubiri
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunakuja malizia hasira kwako......Hakuna watu wanaonifurahishaga kama hawa Manure. Yan wanaonaga wao ndio wana world class players. Wakiwa uwanja ni kama vile ni heaven kumbe kama banda la kuku tu wanajipigia watakavyo.
Watajifariji wapo FA na wanakuja darajani. Mi nawasubiri
Sent using Jamii Forums mobile app
Hauwezi ku-analyse mpira namna hiyo. Mpira anatathiminiwa kwa mechi iliyochezwaNdio ujuwe ubora wa Liver dhidi ya Man u, wale tuliwapiga 3 full squad na tuliwakimbiza katika moja ya mechi bora CL mwaka huu, poleni watani ila ni ukweli tu wachezaji wengi sio wazuri hata EPL tu mko nyuma sana ya top 6
Usiwasumbue wafiwa mkuu..!
Ahahaaaah...This is ucl... Ligi ya wachache View attachment 1021044
Na PSG possibly Cavani na Neymar ndaniPoleni sana majirani,ndio mpira ulivyo,sometimes tegemea matokeo usiyoyatarajia..!
Wachezaji walioiua kabisa Man Utd jana ni Marquinhos,Veratti na Mbappe..!
Sikua najua kama huyu Marquinhos anaweza kuwa kiungo mkabaji wa kutisha namna hii,amemfanya Pogba kuwa mchezaji wa kawaida kabisa usiku wa kuamkia jumatano..!
Huyu Mbappe huyu,hata sielewi niseme nini juu yake,nadhani waliokuwa Old Trafford watakua na maneno sahihi kuhusu huyu bwana mdogo,lakini nafikiri kuna "uchawi" anavaa miguuni,pace aliyokuwa nayo sio ya kawaida..!
Veratti,haka Kaitaliano ni kashenzi sana,kaliifanya Old Trafford kuwa uwanja wake wa nyumbani..!
Game ya marudiano mtakuwa bila Pogba uwanjani,mmmmh wish you all the best majirani..!
Ooh,nimesahau kumuongelea Sanchez, lakini haina haja..!
Labda wanaweza kupindua matokeo,sometimes mpira una matokeo ya kushangaza sana..!Na PSG possibly Cavani na Neymar ndani
Ahahaaaah..!
Mkuu mbona unajisahaulisha makusudi!!Ndio ujuwe ubora wa Liver dhidi ya Man u, wale tuliwapiga 3 full squad na tuliwakimbiza katika moja ya mechi bora CL mwaka huu, poleni watani ila ni ukweli tu wachezaji wengi sio wazuri hata EPL tu mko nyuma sana ya top 6