Manchester United (Red Devils) | Special Thread

PSG wametuzidi uwezo kabisa,tena tusisahau wachezaji Wao muhimu hawakucheza leo.

Tujenge team baki wa kati na pembeni,kiungo Matic umri umemkamata lazima tusajili wachezaji wasiopungua 5 wa kiwango cha juu.
 
Man united bado sana hakuna kitu psg wametuzidi kila mahali humu ndan tunachwza upuuzi tu media ya epl sio ya kuiamini kabisa.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
PSG wametuzidi uwezo kabisa,tena tusisahau wachezaji Wao muhimu hawakucheza leo.

Tujenge team baki wa kati na pembeni,kiungo Matic umri umemkamata lazima tusajili wachezaji wasiopungua 5 wa kiwango cha juu.
Tuchel katumia tactics sana.
"Mwakinyo" kucheza katikati na Alvez kucheza mbele.
Mata hakabi kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…