Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Man u tumepwaya sana nadhani ni kwa sababu ya uchovu.
Kipindi cha pili inabidi pogba martial na rashford wabadilike ashley young atulie asije tucost na so fat naona luke shaw na herera ndo pekee wamecheza vyema

Tusipobadilika tutafungwa kipindi cha pili

Na kwa mpira huu liverpool watatufunga tu

All in all GGMU


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Game bado iko open mkuu muhimu ni wachezaji kuweka umakini ndani ya uwanja, unawaza liverpool leo mkuu?? Unatakiwa kuwa na moyo na uwezo wa kuthibiti hisia zako mkuu. Ila game plan ikifuatwa vizuri ushindi upo mkuu. GGMU
 
Tatizo kina martial na rashford wapo over hyped sana na media za epl mpaka wamerelax sana na kufanya vitu kistar mfano martial anapoteza mpira hakabi rashford kutwa kulalamika tu yaan anaacha mpira unaendelea badala acheze anaenda kulalamika.

Daah man u sisi bado wa kawaida sana media za epl zina tu hype tu sana

All in all GGMU


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wachezaji waliopwaya kwetu ni Martial na Rash. Wengine wamecheza vizuri mpaka sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
unaona PSG yenye shida na goli United haikai na mpira hata kwa secs 30

pathetic
 
ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha

cityzen chairman am here
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…