Manchester United (Red Devils) | Special Thread

wachezaji wengi wa utd hawako comfortable na mpira,pass zinapotea hovyo na muunganiko kati ya viungo na washambuliaji hauonekani. Kwa muono wangu plan A imeshindikana maana hata kutengeneza nafasi za maana kipindi chote cha kwanza imekuwa shughuli. PSG wanacheza kama vile wao ndio wenyeji wetu.
GGMU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…