Nakumbushia hii kauliMkuu unajidanganya big time
Mechi ya leo kati ya Chelsea na City tunaenda kuangalia tu utafungwa magoli mangapi na kuona hayo magoli yataingiaje lakini lazima kichapo kiwahusu
Na wakati Chelsea anajipanga kurudi top 4, United watakuwa wanamtafuta Spurs top 3
Sent using Jamii Forums mobile app
Amka kumekucha hukuKwa hiyo kuna maneno maalumu kwa ajili ya watu fulani ambapo wakiongea wengine tayari itakua nongwa. Hayo maneno aliyaanzisha EVRA siyo.?
Mashabiki wa mwanitesa utd bwana[emoji4][emoji4][emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tayariiiiiiiiiii 4GTumia muda wako vizuri coz jioni utapotea hapa manake nawahakikishia leo munaliwa 4G
Tayari nimeshakodi Viti 400 kwa akili ya Matanga
Sasahivi natafuta mtu wa Kukodi Matents tu na Maturubali, Kula kila mtu kwao.
Ahahaaaah...
Wikiend ijayo tunacheza na Chelsea kwenye F.A cup so kaenda kuwatizama kujua mbinu za mchezo