Wadau mbona mechi yetu dhidi ya fulham tunainyima coverage tunaongelea mechi dhidi ya psg?
One steo at a time maana hata burnley tulimbeza akatunyima point 2 muhimu.
Nakumbuka kipindi cha SAF,hawa fulham ya akina murphy,dembele,na mmarekani mmoja hivi chini ya Dod al fayed walikuwa wakitupa tabu sana. Kama historia inabeba timu,tusiwapuuze hawa jamaa maana hata big match wamekuwa wakikaza sio mchezo.
GGMU
Anyway wafanye wanavyofanya ila summer walete CB Wa maana.
Nimesikia rumors za Varane unamuonaje?
Naam [emoji15][emoji15]Phil Jones nasikia kaongezewa mkataba wa 4yrs(+1)..
Huu utakuwa ni zaidi ya utani
Nanaa
Muingereza huyo.
Man Utd ni timu ya kingereza.
Kuwanyima mikataba mipya waingereza sio kitu rahisi ukichangia kwamba asilimia kubwa ya wachezaji wazuri wa Uingereza wanatoka United.
Ashley Young, Smalling, nk.
Wadau mbona mechi yetu dhidi ya fulham tunainyima coverage tunaongelea mechi dhidi ya psg?
One steo at a time maana hata burnley tulimbeza akatunyima point 2 muhimu.
Nakumbuka kipindi cha SAF,hawa fulham ya akina murphy,dembele,na mmarekani mmoja hivi chini ya Dod al fayed walikuwa wakitupa tabu sana. Kama historia inabeba timu,tusiwapuuze hawa jamaa maana hata big match wamekuwa wakikaza sio mchezo.
GGMU
Talking about this match,fulham recently kama wamejilift up
Inabidi kesho kufanye rotation ila sehemu ya kiungo ni either matic au herrera mmoja wao acheze na perreira na Fred,huku tukimpuzisha pogba..
Mbele kule Lukaku,Mata,Sanchez itakuwa sawa tu
Nyuma pale Jones Darmian,Valencia na Smalling kama wako poa itakuwa poa pia
Clint DempseyWadau mbona mechi yetu dhidi ya fulham tunainyima coverage tunaongelea mechi dhidi ya psg?
One steo at a time maana hata burnley tulimbeza akatunyima point 2 muhimu.
Nakumbuka kipindi cha SAF,hawa fulham ya akina murphy,dembele,na mmarekani mmoja hivi chini ya Dod al fayed walikuwa wakitupa tabu sana. Kama historia inabeba timu,tusiwapuuze hawa jamaa maana hata big match wamekuwa wakikaza sio mchezo.
GGMU
Fred bado hajapata nafasi ya kutoshaHeheh...Na fred je yeye anacheza vizuri na nani?
Darmian n majeruhiHii mechi ya Fulham sidhani kama itakuwa rahisi kama wengi wanavyodhani kwa mtizamo wangu,sema pia Rotation lazima tufanye coz kuna siku mbili tu za recovery kabla ya kukutana na PSG tarehe 12, Fulham sio timu ya kufunga sana magoli na defence yao ni mbovu na ndo maana wapo chini, sema sahv wanapambana wasishuke daraja hvyo haitakuwa rahisi, watu wao tishio ni Mitrov na Andre Schurrle.
naona inafaa Smalling kuanza coz yupo vizuri hewani amkabe Mitrovic,Linderlof apumzike,Young apumzike acheze Dalot,Shaw apumzike acheze Darmian,Matic apumzike acheze Fred, Rashford apumzike acheze Lukaku,Martial apumzike acheze Sanchez. Pogba,Lingard na Herrera waanze ila watoke sub mapema.
Kikosi kikae hivi;
De gea
Dalot Bailly Smalling Darmian
Fred Herrera Pogba
Lingard Lukaku Sanchez
Darmian n majeruhi
Wote uliowataja hapo wakijitahidi wanapata sare au kufungwa wana option mbili tuNaiona United dhidi ya Fulham, ROTATION ikichukua mkondo wake tena
Romero, Valencia, Dalot, Smalling, Jones, Fred, Mc Tominay, Mata, Lukaku, Sanchez, Kinda 1 au 2 wakipata nafasi
Niliowataja wanaweza wasipate namba wote lakini, for sure baadhi watacheza hiyo mechi
Mechi hiyo ni February 9, February 12 tupo na PSG, siku 2 tu za mapumziko.
Huu ndio mwezi wa Roho Mbaya. Next fixtures ni Chelsea, Liverpool, Cristal Palace......
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa mkuu... I can see the future is bright ahead.... Either 1 title or be in a better position at epl table.