tycoonff JF-Expert Member Joined Dec 29, 2013 Posts 928 Reaction score 1,310 Feb 3, 2019 #100,641 Mc cane said: Walete Leicester .... Come on United View attachment 1012304 Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Huwa sina imani kabisa nisipomuona martial katika lineup. Dogo huwa anawavuta beki wa upinzani nyuma wasipande kushambulia.
Mc cane said: Walete Leicester .... Come on United View attachment 1012304 Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Huwa sina imani kabisa nisipomuona martial katika lineup. Dogo huwa anawavuta beki wa upinzani nyuma wasipande kushambulia.
Mc cane JF-Expert Member Joined May 18, 2018 Posts 5,569 Reaction score 10,527 Feb 3, 2019 #100,642 Jasho La Kuku said: Have a feeling Leicester could get something against United today. Click to expand... Watu wengi mnaangalia Leiceater alivyomchapa Chelsea na City na alivyosuluhu na Liverpool Lakini mnasahau kuwa alipigwa nyumbani na Cardiff na Southampton Let wait that "something" Sent using Jamii Forums mobile app
Jasho La Kuku said: Have a feeling Leicester could get something against United today. Click to expand... Watu wengi mnaangalia Leiceater alivyomchapa Chelsea na City na alivyosuluhu na Liverpool Lakini mnasahau kuwa alipigwa nyumbani na Cardiff na Southampton Let wait that "something" Sent using Jamii Forums mobile app
Stephen M JF-Expert Member Joined Sep 18, 2016 Posts 372 Reaction score 379 Feb 3, 2019 #100,643 tycoonff said: Huwa sina imani kabisa nisipomuona martial katika lineup. Dogo huwa anawavuta beki wa upinzani nyuma wasipande kushambulia. Click to expand... Usihofu ataingizwa baadae kuwakimbiza wakiwa wamechoka Sent using Jamii Forums mobile app
tycoonff said: Huwa sina imani kabisa nisipomuona martial katika lineup. Dogo huwa anawavuta beki wa upinzani nyuma wasipande kushambulia. Click to expand... Usihofu ataingizwa baadae kuwakimbiza wakiwa wamechoka Sent using Jamii Forums mobile app
tycoonff JF-Expert Member Joined Dec 29, 2013 Posts 928 Reaction score 1,310 Feb 3, 2019 #100,644 Ni vizuri kumuona bailly akiwa ndani. Mtu kama vardy na zile mbio zake inabidi apambane na mtu kama bailly na lindelof beki wenye mbio pia kuliko jones.
Ni vizuri kumuona bailly akiwa ndani. Mtu kama vardy na zile mbio zake inabidi apambane na mtu kama bailly na lindelof beki wenye mbio pia kuliko jones.
msomi uchwara JF-Expert Member Joined Oct 17, 2017 Posts 4,696 Reaction score 8,818 Feb 3, 2019 #100,645 Yodoki II said: Tunashindana na Arsenal sawa ila roho yangu haiwapendi City for sure. Siwezi ficha. Samahani fellow fans!! Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Lakini mim naona bora akibeba ubingwa city maana bado ni underdog tu kwetu kuliko akibeba liverpool
Yodoki II said: Tunashindana na Arsenal sawa ila roho yangu haiwapendi City for sure. Siwezi ficha. Samahani fellow fans!! Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Lakini mim naona bora akibeba ubingwa city maana bado ni underdog tu kwetu kuliko akibeba liverpool
Mc cane JF-Expert Member Joined May 18, 2018 Posts 5,569 Reaction score 10,527 Feb 3, 2019 #100,646 Darmian said: Kikosi kipo on point..vijana wapambane tumalize mechi mapema.. Nanaa Click to expand... Yap Obvious OGS amejifunza kuhusu kufanya unnecessary first team changes Sent using Jamii Forums mobile app
Darmian said: Kikosi kipo on point..vijana wapambane tumalize mechi mapema.. Nanaa Click to expand... Yap Obvious OGS amejifunza kuhusu kufanya unnecessary first team changes Sent using Jamii Forums mobile app
Darmian JF-Expert Member Joined Oct 1, 2017 Posts 17,300 Reaction score 46,749 Feb 3, 2019 #100,647 Yaah..na hapo ndo tunapoona utofauti wake na Mourinho..Mourihno hata first XI yake alikuwa haijui,ni panga pangua tu everyday Mc cane said: Yap Obvious OGS amejifunza kuhusu kufanya unnecessary first team changes Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Nanaa
Yaah..na hapo ndo tunapoona utofauti wake na Mourinho..Mourihno hata first XI yake alikuwa haijui,ni panga pangua tu everyday Mc cane said: Yap Obvious OGS amejifunza kuhusu kufanya unnecessary first team changes Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Nanaa
capitalpool JF-Expert Member Joined Sep 18, 2017 Posts 22,369 Reaction score 121,267 Feb 3, 2019 #100,648 It’s a win today, no second thought!!
Y Yodoki II JF-Expert Member Joined Oct 17, 2014 Posts 5,517 Reaction score 4,008 Feb 3, 2019 #100,649 Mc cane said: Yap Obvious OGS amejifunza kuhusu kufanya unnecessary first team changes Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Kwa wachezaji waliopo kipo sawa labda mipango igome mana hilo katika soka lipo. Leicester so wa kubeza hata kiduchu Sent using Jamii Forums mobile app
Mc cane said: Yap Obvious OGS amejifunza kuhusu kufanya unnecessary first team changes Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Kwa wachezaji waliopo kipo sawa labda mipango igome mana hilo katika soka lipo. Leicester so wa kubeza hata kiduchu Sent using Jamii Forums mobile app
Mc cane JF-Expert Member Joined May 18, 2018 Posts 5,569 Reaction score 10,527 Feb 3, 2019 #100,650 Darmian said: Yaah..na hapo ndo tunapoona utofauti wake na Mourinho..Mourihno hata first XI yake alikuwa haijui,ni panga pangua tu everyday Nanaa Click to expand... Anaijua first eleven yake lakini pia anasikiliza watu wanaomzunguka Jose lakini anafanya anachokiamini tu Sent using Jamii Forums mobile app
Darmian said: Yaah..na hapo ndo tunapoona utofauti wake na Mourinho..Mourihno hata first XI yake alikuwa haijui,ni panga pangua tu everyday Nanaa Click to expand... Anaijua first eleven yake lakini pia anasikiliza watu wanaomzunguka Jose lakini anafanya anachokiamini tu Sent using Jamii Forums mobile app
Darmian JF-Expert Member Joined Oct 1, 2017 Posts 17,300 Reaction score 46,749 Feb 3, 2019 #100,651 Halafu kitu kingine anapanga kikosi then benchi kuna kuwa kuna silaa nzuri..anabalance timu kwa ufupi Mc cane said: Anaijua first eleven yake lakini pia anasikiliza watu wanaomzunguka Jose lakini anafanya anachokiamini tu Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Nanaa
Halafu kitu kingine anapanga kikosi then benchi kuna kuwa kuna silaa nzuri..anabalance timu kwa ufupi Mc cane said: Anaijua first eleven yake lakini pia anasikiliza watu wanaomzunguka Jose lakini anafanya anachokiamini tu Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Nanaa
Nemesis JF-Expert Member Joined Feb 13, 2008 Posts 5,536 Reaction score 4,532 Feb 3, 2019 #100,652 Leo tupate matokeo mazuri ni muhimu sana, naitakia ushindi mnono Man U.
Mbimbinho JF-Expert Member Joined Aug 1, 2009 Posts 8,328 Reaction score 7,804 Feb 3, 2019 #100,653 Rashford 1 Sent using Jamii Forums mobile app
mtzmweusi JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 8,698 Reaction score 9,051 Feb 3, 2019 #100,654 Tumerelax mno tunapaswa tupate walau bao 3 ndo tucheze hivi haka kamoja haka dhamana kabisa Sent using Jamii Forums mobile app
Tumerelax mno tunapaswa tupate walau bao 3 ndo tucheze hivi haka kamoja haka dhamana kabisa Sent using Jamii Forums mobile app
Wild sniper JF-Expert Member Joined Apr 3, 2015 Posts 4,426 Reaction score 8,726 Feb 3, 2019 #100,655 Jamaa wanatupush sana inabidi tubadilike sec half. Sent using Jamii Forums mobile app
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,226 Reaction score 68,242 Feb 3, 2019 #100,656 mtzmweusi said: Tumerelax mno tunapaswa tupate walau bao 3 ndo tucheze hivi haka kamoja haka dhamana kabisa Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Uko sahihi mkuu
mtzmweusi said: Tumerelax mno tunapaswa tupate walau bao 3 ndo tucheze hivi haka kamoja haka dhamana kabisa Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Uko sahihi mkuu
Belo JF-Expert Member Joined Jun 11, 2007 Posts 12,913 Reaction score 10,263 Feb 3, 2019 #100,657 Last season Harry Maguire alisawazisha dakika za mwisho, kushinda hii game inabidi kuimaliza mapema Sent using Jamii Forums mobile app
Last season Harry Maguire alisawazisha dakika za mwisho, kushinda hii game inabidi kuimaliza mapema Sent using Jamii Forums mobile app
lukesam JF-Expert Member Joined Feb 23, 2015 Posts 13,199 Reaction score 28,080 Feb 3, 2019 #100,658 Alexis na lingard wanatakiwa watoke haraka.
K Konaball JF-Expert Member Joined Mar 11, 2009 Posts 2,949 Reaction score 1,940 Feb 3, 2019 #100,659 Duh hii save ya De Gea mhh
K Konaball JF-Expert Member Joined Mar 11, 2009 Posts 2,949 Reaction score 1,940 Feb 3, 2019 #100,660 Huyu refa nae mhh