maybe, ila kwa game ya leo sijaona tatizo la Perreira au pengo la Herrera kama nafasi zilitengenezwa kutosha ni umakini tu ndo uliyotukosesha points na ubora wa kipa wa upinzaniHatuangalii tu lile kosa,ila yeye na Mc tominay wanazidiana nini??
Ukiwa kiungo inabidi uwe mbunifu kidogo,hutakiwi ucheze vitu basic tu dakika zote 90..
Perreira lacks some midfield quality
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu leo rashford hakuwa vizuri ndio imechangia kiasi kikubwa mbele kuwa butu amepata clear chances mbili lakn ameshindwa kuzi convert kuwa magoli but all in all spirit ya team imekuwa nzuri now everything is possible midfield yetu pendwa tuombe isipate injuries tu tutamaliza vizuri msimu huuHapana mkuu
Game ilishamkataa dogo Rashford, isitoshe kwenye kufunga Lukaku ni clinical kuliko Rashford, hili hata OGS alikiri kwamba kwenye mazoezi Lukaku ndio huwa anaongoza kufunga kila siku
Halafu Rashford ni mzuri kwenye mechi tunazocheza counter attack, zile big match lakini hii leo tulikuwa tunacheza kawaida kwa kuwa tunawamiliki, hivyo Rashford hakuwa na umuhimu kwenye hii game
Lakini OGS ana mahaba makubwa mno na huyu dogo
Sent using Jamii Forums mobile app
tumemshuhudia mara ngapi Lukaku akipoteza nafasi za wazi wazi ktk game mbalimbali hiyo assurance unapata wapi mkuu.Lukaku ametoa pasi iliyomfanya Rashford abaki na kipa lakini akashindwa kuitumia (kipindi cha kwanza)
Nafasi alizozipata Rashford, Lukaku asingezichezea
Mwishoni tulitegemea mipira ya krosi ili tupate goli, Lukaku ni tishio mipira ya hewani kuliko huyo mpemba
Kiufupi Lukaku alikuwa hatari dhidi ya Burnley kuliko Rashford
Sent using Jamii Forums mobile app
Phil Jones alifanya mistake kumpa pasi Perreira na Perreira alifanya mistake kuchezea mpira kwenye eneo la hatariwatu wanamface moja kwa moja Pereira siwapingi ila hawaangalii nani aliyepiga pasi kwenda kwa Pereira na Pereira alikuwa kwenye mazingira gani ya kupigiwa pasi...mwisho niseme bahati haikuwa yetu kwa leo
Nadhan rotation haiepukiki mkuu maana midfield zetu kiukwel kama zitacheza kila game izo ata game nyepes baas game kubwa itakuja kuwa shida sana maana hatuna squad depth tuombe injuries ziwe mbaali na key players wetu tu otherwise rotation ni muhimKwa mfumo wetu wa attacking nimeona mambo yafuatyo: ander herreira ni muhim sana na pia ni engine ya timu kwani anaweza interception ya mpira na pia ni anasaidia sana ktk mfumo wa diamond kwa wa viungo akilink na matic, young na pogba. Hata hawa akina pogba wanajiposition vzr na pia kunakuwa na interchange.
Mwingine Anthony martial huyu ni muhim na anajua kujiposition ktk kufunga na hata dead balls ni hodar nazo. Na ni fundi wa kuwachosha hawa mabeki kias cha kwamba akina pogba na rashford wanajiweka vzr
Bwana lukaku bolingoli ameanza kutulia na kujielewa Nimeiona assist zake na juhudi zake.
La mwisho ole aache majaribio sababu hakuna haja ya hayo aweke full mkiki match hii ilikuwa yetu kbsa ttz Burnley walitumia advantage ya mapungufu yetu. Naamini ole atajirekebisha na hili litapelekea atetee kibarau chake akitaka majaribio ya rotation kama mou basi ajue pottechino anakwaa nafasi
Huenda huu ukawa msimu wake wa mwisho kuchezea UnitedHalafu lukaku sikuona kama amecheza vibaya..vitu vingine naona kocha ndo anajua mwenyewe..ila personally nisingemtoa lukaku.
Perreira bado wakuu,tukubaliane tu,atafutiwe timu yenye pressure ndogo apelekwe,hapa united tutakuwa tunatwanga maji kwenye kinu..
Ndo mpira wenyewe huu..GGMU
Sent using Jamii Forums mobile app
Panya ndo mboga yangu ya heshima. Ushaaibishwa nyumbani tayari yaani unashangilia sare kwa burnley kweli mmekwisha.Kale panya
Najua roho itakuwa inauma
Hukutegemea goli mbili kurudi
Sent using Jamii Forums mobile app
Timu inaonesha uhalisia wake ilivyo. Tayari bindi keshaingia tena.Hii ndiyo Man United ya 2018/19 tunayoifahamu
Ulichotaka kiwe Kimegoma... Point 1 si haba
Baada ya Ole kushinda mfululizo watu wanatamani ashinde tu , Wamesahau mpira hauko hivyo. Binafsi nampongeza Ole pia kuwapa nafasi Vijana kikubwa wajifunze kupitia mistakeWote tulikuwa tunajua kuwa kuna mechi tutapoteza na hilo ni jambo la kawaida sana tu. Sema kwa sababu tulidorora kwa muda mrefu, tunatamani tupate matokeo kila mechi. Mechi hii tumeumia lakini hatuna haja ya kmlaumu kocha au mchezaji bali ni uchambuzi km kawaida ya mashabiki wa soka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sijasema Lukaku huwa hapotezi nafasi za magoli, huwa anakosa. CR 7, Messi wenyewe sometime huwa wanakosa magoli. Swali ni kwamba je kama striker unatumia nafasi za magoli nyingi kadiri inavyowezekana?tumemshuhudia mara ngapi Lukaku akipoteza nafasi za wazi wazi ktk game mbalimbali hiyo assurance unapata wapi mkuu.
kwa game ya leo sina lawama kwa kocha wala mchezaji yeyote...kama kuongoza kila kitu tumeongoza sisi isipokuwa magoli ubora wa kipa wa Burnley ndio uliyotunyima ushindi
Mata, Rashford, Lukaku na Pogba hawa wote walinyimwa magoli na kipa wa upinzani
GGMU