Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Niliangalia ile mechi jana kipind arsenal wanatafuta goli kusawazsha na wakamuingza Ozil na Matheo,
Nkajikuta tu akil za ki mourinho zinnijia sasa na sie tuingze beki
Kuja kuchek kumbe zama za OGS, Mwendo wa toa kitu weka kitu....
 
Mkuu, hii habari ya Young achana nayo kabisa, huu ndio mzizi pale united. Siku akiachwa nje ndio utajua umuhimu wake. Tackle zake ni za kiutu uzima sana. Huyu anatakiwa azeekee hapa kama kina Pirlo walicheza mpaka over 40. Young ana akili kubwa sana ya kuzuia mashambulizi, utaona wakati ule aliudaka mpira akapigwa yellow. Anajua ule mpira ungempita nini kingetokea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikionaga maandishi yako huwa namkubuka yule aliyepigilia msumari wa watatu against asernal,sijui kwanini hahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Tunaitaji mbadala wake kipindi cha kiangazi, beki atakaeweza kupanda na kushuka kwa speed kama Shaw. Dalot ni mzito sana jambo linalomfanya anateseka wakati wakurudi kukaba.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa nimekuelewa sana ila nasema lindelof atafutiwe mtu wake sahihi anapiga hadi chenga anapanda anapiga mipira mirefu
 
Swadakta maneno yako young bado sana kuwepo hapo amsha amsha na uhamasishaji ulotukuka bado aendelee kutoa huduma yake hapo.
 
Hapa nimekuelewa sana ila nasema lindelof atafutiwe mtu wake sahihi anapiga hadi chenga anapanda anapiga mipira mirefu
Lindelof ni MTU sana, anjua sana soka.
Moja ya mabeki bora kabisa pale united kwa sasa, tatizo lilikuwa muda tu, na sumu za Jose.
Tutarajie mengi kutoka kwake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu watu wanataka timu icheze mechi 38 bila ya kuruhusu goli, sijui wameiona wapi timu hiyo, mchezaji kutokua fiti gemu moja au kufanya kosa ambalo lilisababisha tufungwe goli hiyo si kipimo cha mchezaji huyo kuisha
Mwambieni huyo anampuuza Ashley Young anamkosea heshima mchezaji mwanadamizi.


Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliangalia ile mechi jana kipind arsenal wanatafuta goli kusawazsha na wakamuingza Ozil na Matheo,
Nkajikuta tu akil za ki mourinho zinnijia sasa na sie tuingze beki
Kuja kuchek kumbe zama za OGS, Mwendo wa toa kitu weka kitu....
Mamaaeee ule motooooo,,, pale ukumbini tulipiga yoweeeeee hahahah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha utani wewe..jamaa ana poor marking sana

Magoli mengi tuliyofungwa build up zinaanzia upande wake..bora hata Fosu Mensah arudi acheze hiyo nafasi kuliko Young..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…