D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,646
- 121,057
fundi wangu naomba nikuulize swali kidogo japiokuwa si sehemu yake :Huu msimu Liverpool hamwachii City, cha kufanya City aanze kuweka mipango ya msimu ujao.
Kuna majeruhi kadhaa wakirudi huku timu ikiwa bado inaongoza hata kwa point 1 tu, City asahau.
Gomez, TAA, Lovren; hawa ni defense.
Wijnaldum (huyu majeruhi yake siyo makubwa), then uje OX Chamberlain.
Hao wakirudi tunafunga mahesabu.
Para yako ya mwisho nimeona mantiki lakini mimi nitafurahi zaidi ubingwa akichukua city kuliko hasimu mwenzetu wa makombe pamoja na wachezaji.fundi wangu naomba nikuulize swali kidogo japiokuwa si sehemu yake :
hivi yuko wapi naby keita niliyemuona mechi ya mwanzo dhidi ya west ham?
japokuwa naichukia sana liverpool FC lakini bado nitafurahi endapo mutakapofanikiwa kubeba ubingwa msimu huu, kiupande wangu nadhani itakuwa ni kitendo cha ujinga kama nitawaombea manchester city wabebe tena ubingwa kwa mara ya pili mfululizo japokuwa matumaini yapo.
sote ni mashahidi msimu huu kelvin de bruyne amecheza mechi nane za ligi kuu na david silva hayupo vizuri sana ukilingansiha na msimu uliopita na tayari ana miaka 32 bila ya kusahau performance ya fernandinho msimu huu imekuwa ikiathiriwa na majeruhi madogo madogo
- kwa nini niichukie liverpool kwa sababu dhaifu ya kihistoria wakati kiuhalisia nguvu yao ya matumizi sokoni haina tofauti kubwa na ya kwetu sisi na tunawazidi kimatumizi ya mishahara?
- kwa nini niichukie liverpool isibebe ubingwa wakati nusu ya wachezaji wao wana viwango vya kawaida, fikiria aina ya wachezaji kama milner, henderson, matip, lovren, origi, lalllana, arnold alexander, sturidge, moreno, gomez na wengineo. Kivyovyote timu kama hii haiwezi kusimama miaka mitatu mfululizo, jamani ni rahisi sana kumvua ubingwa liverpool kuliko manchester city.
kivyovyote endapo manchester city atafanikiwa au asifanikiwe kubeba ubingwa kwa ninavyomfahamu guardiola lazima ataingia sokoni kuziba nafasi za wachezaji wawili hao ambao wameonyesha uchovu msimu huu.
kwenye ishu ya matumizi majirani zetu wanaendelea kutuacha mbali sana na hata aina ya wachezaji wanaowasajili chini ya guardiola ni wachezaji wa uhakika isitoshe jamaa ana ushawishi mkubwa sana kwenye soko la usajili.
usishangae kesho asubuhi unakutana na habari za isco au christian eriksen kuhamia manchester city ili awe mbadala wa david silva msimu ujao.
nimeota thiago alcantara, koke na ndombele wanakuja etihad.
hivi tuna uhakika gani kama sheikh ed woodward atamwaga kitita kikubwa msimu ujao?
jurgen klopp hana uhakika kama atamwagiwa kitita kikubwa kwa ajili ya usajili.
josep guardiola ana uhakika atamwagiwa hela kwa ajili ya usajili msimu ujao.
nitakuwa mjinga kuiombea dua mbaya liverpool ya henderson isibebe ubingwa kwa sababu ya historia yetu, siwezi kufurahia kumvua ubingwa manchester city msimu ujao bali nitafurahi kumvua ubingwa liverpool.
kwa wale tunaoamini uwepo wa Mungu kama ndio muweza wa vyote acha tuendelee kumshukuru na kumshangaa kwa uwezo wake mkubwa alionao, jaribu kufikiria ni yeye peke yake ndio aliyetuumba halafu ametujaalia tuwe na uwezo tofauti wa kufikiri na ukienda mbali zaidi unaweza kusema huyu Mungu amejawa na ubaguzi kwenye maamuzi yake.
nimeanza kwa kujilinda ya kwamba binadamu tuna utofauti mkubwa sana wa kuelewa mambo hivyo basi ni matumaini yangu sitokutana na comment zenye kuudhi zaidi bali nitakutana na comment zitakazonifuta ujinga wangu uliojaa kwenye ubongo wangu.
nimekuwa nikifuatilia dirisha la usajili kuanzia mwezi Agosti na January kwa umakini kabisa nikiwa na mategemeo ya kuwashuhudia wachezaji bora wakisajiliwa na manchester united, si lengo langu kuwazungumzia wachezaji tuliowasajili bali dhumuni langu kuu ni kuangazia hii ishu ya usajili wa mlinzi wa kati ambayo ndio imekuwa iki trend zaidi kiupande wetu.
leo hii tetesi zetu zote zinahusu usajili wa beki wa kati kama kipaombele chetu kikubwa, kwa udhaifu wangu wa kuelewa mambo nimebaki najiuliza:
hivi ni kweli jose mourinho ameondoka manchester united au ameng'atuka tu kama marehemu bwana yule?
nikisema kilichoondoka ni kiwiliwili cha mourinho lakini fikra zake zimebaki vile vile nitakuwa nakosea?
tokea jose mourinho yupo na ameondoka, amekuja mwengine lakini bado nashangazwa kuona tunaendelea kucheza mdundo wa mourinho kuanzia mashabiki, wapiga kelele, lengends wanaoheshimika, viongozi wa ndani wa klabu na hata vyombo vya habari.
tutakapofanikiwa kusajili walinzi aina ya koulibally na van virgil ndio tutakuwa na timu yenye uwezo wa kusimama na wapinzani wetu wakubwa barani ulaya?
ed woodward amekuwa na tabia za kusajili wachezaji kwa sababu ya mdundo wa muziki, wasiwasi wangu mkubwa msimu ujao atatafuta walinzi wakati kama kawaida yake kwa gharama halafu atatia pamba masikioni, kwa nini asitie pamba masikioni wakati sote tunaimba wimbo mmoja tu aliouanzisha jose mourinho wa kutafuta mlinzi wa kati?
kuna hii ishu ya jesse lingard ambayo nayo imekuwa ikileta mjadala mkubwa kwa wafuatiliaji wa mpira wa manchester united, wapo mashabiki wanaomchukulia lingard kama ni mchezaji underrated pale klabuni lakini kazi yake anayoifanya ni kubwa sana na wapo wengine wanamchukulia ni mchezaji wa mechi maalum.
- hivi jamani tumeridhika namba 7 wetu aendelee kuwa juan mata peke yake msimu ujao?
- tuna uhakika gani kama alex sanchez atarudi kwenye ubora wake na kuleta upinzani kwa huyu mchezaji wa siku anthony martial?
- tumeridhika namba 6 wetu aendelee kuwa nemanja matic msimu ujao bila ya kuwa na mpinzani?
- wakati huu ambao fred haeleweki ina maana tumeridhika kumuona ander herrera mpinzani wake mkubwa akiwa ni scott mctominay?
pande zote naziona zipo sahihi kihoja zao kwa sababu tulishawahi kuwa na mchezaji mwenye sifa za lingard ambaye ni ji sung park hivyo basi hakuna ajabu kwa lingard kuwepo klabuni.
lakini siamini kama ji sung park aliwahi kucheza mechi tano mfululizo nyakati za SAF na hii inatokana zaidi tulikuwa na wachezaji kama vile giggs, nani, ronaldo ambao walikuwa ni bora zaidi kimfumo. Cha ajabu nyakati hizi mchezaji kama jesse lingard amekuwa ni tegemeo kwenye mechi yoyote na hakuna anayeonekana kujali, na kama yupo anayejali mbona sikutani na tetesi za usajili wa kiungo mshambuliaji?
kwa mtazamo wangu ndani ya klabu yetu tunamuhitaji namba 10 atakayetupa faida ya waziwazi zaidi ya hii anayotupa jesse lingard nyakati hizi za OGS.
nimeona mechi hizi OGS anajenga utatu mtakatifu pale mbele kwa kumweka martial, lingard na rashford, kwa utatu huu kama tusipotafuta namba 10 mwenye uwezo zaidi ya jesse lingard kwenye eneo la juu basi tutaendelea kuwa under dog kwa wapinzani wetu wakubwa barani ulaya, jamani kuna utofauti mkubwa sana unapoziangalia movement za robert firmino halafu ukageuza kioo ukaziangallia movement za jesse lingard pale juu.
nguvu hii tunayoitumia kwa ajili ya kumpigia kampeni ed woodward atuletee koulibally pia tuitumie kwa dhumuni la kumpigia kampeni mwanadamu mwenye sifa za christian ericksen atue manchester united.
tunamhitaji eriksen kuliko yeye anavyohitaji kuishi uwanja wa matofali, tusipokuwa makini majirani zetu watambeba ili akazibe pengo la david silva.
tusihadaliwe na kiza kifupi tukafanya haja zetu njiani tukitegemea hakuna atakayefanikiwa kukiona kinyesi chetu, ni suala la muda tu kila mpita njia atakiona kinyesi chetu tulichokiweka njiani usiku wa jana.
nasubiri comment za kukosolewa kistaarabu zaidi ili na mimi nitolewe ujinga
View attachment 1002065
kila mtu na mtazamo wake ila usisahau utakuwa ni ubingwa wa tatu kwa manchester city ndani ya miaka 6.Para yako ya mwisho nimeona mantiki lakini mimi nitafurahi zaidi ubingwa akichukua city kuliko hasimu mwenzetu wa makombe pamoja na wachezaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
fundi wangu naomba nikuulize swali kidogo japiokuwa si sehemu yake :
hivi yuko wapi naby keita niliyemuona mechi ya mwanzo dhidi ya west ham?
japokuwa naichukia sana liverpool FC lakini bado nitafurahi endapo mutakapofanikiwa kubeba ubingwa msimu huu, kiupande wangu nadhani itakuwa ni kitendo cha ujinga kama nitawaombea manchester city wabebe tena ubingwa kwa mara ya pili mfululizo japokuwa matumaini yapo.
sote ni mashahidi msimu huu kelvin de bruyne amecheza mechi nane za ligi kuu na david silva hayupo vizuri sana ukilingansiha na msimu uliopita na tayari ana miaka 32 bila ya kusahau performance ya fernandinho msimu huu imekuwa ikiathiriwa na majeruhi madogo madogo
- kwa nini niichukie liverpool kwa sababu dhaifu ya kihistoria wakati kiuhalisia nguvu yao ya matumizi sokoni haina tofauti kubwa na ya kwetu sisi na tunawazidi kimatumizi ya mishahara?
- kwa nini niichukie liverpool isibebe ubingwa wakati nusu ya wachezaji wao wana viwango vya kawaida, fikiria aina ya wachezaji kama milner, henderson, matip, lovren, origi, lalllana, arnold alexander, sturidge, moreno, gomez na wengineo. Kivyovyote timu kama hii haiwezi kusimama miaka mitatu mfululizo, jamani ni rahisi sana kumvua ubingwa liverpool kuliko manchester city.
kivyovyote endapo manchester city atafanikiwa au asifanikiwe kubeba ubingwa kwa ninavyomfahamu guardiola lazima ataingia sokoni kuziba nafasi za wachezaji wawili hao ambao wameonyesha uchovu msimu huu.
kwenye ishu ya matumizi majirani zetu wanaendelea kutuacha mbali sana na hata aina ya wachezaji wanaowasajili chini ya guardiola ni wachezaji wa uhakika isitoshe jamaa ana ushawishi mkubwa sana kwenye soko la usajili.
usishangae kesho asubuhi unakutana na habari za isco au christian eriksen kuhamia manchester city ili awe mbadala wa david silva msimu ujao.
nimeota thiago alcantara, koke na ndombele wanakuja etihad.
hivi tuna uhakika gani kama sheikh ed woodward atamwaga kitita kikubwa msimu ujao?
jurgen klopp hana uhakika kama atamwagiwa kitita kikubwa kwa ajili ya usajili.
josep guardiola ana uhakika atamwagiwa hela kwa ajili ya usajili msimu ujao.
nitakuwa mjinga kuiombea dua mbaya liverpool ya henderson isibebe ubingwa kwa sababu ya historia yetu, siwezi kufurahia kumvua ubingwa manchester city msimu ujao bali nitafurahi kumvua ubingwa liverpool.
Unadhani Liverpool wakichukua ubingwa ndio timu yao itakuwa weak ?kila mtu na mtazamo wake ila usisahau utakuwa ni ubingwa wa tatu kwa manchester city ndani ya miaka 6.
sas tujiulize manchester city hii inyoonekana kupwaya baadhi ya maeneo msimu huu tuna uwezo wa kusimama nayo kimpira?
msimu uliopita liverpool tuliwapita kwa alama 6 kama sikosei, msimu huu tatizo kubwa lilianzia kwa jose mourinho alikubali kupoteza pambano kabla hajaingia uwanjani kwa kisingizio cha defence wakati msimu uliopita david de gea alikuwa na clean sheet zinazokaribia 20.
ndani ya dirisha hili tuna uwezo wa kutafuta wachezaji watakaowazidi wachezaji wa liverpool kwenye ishu ya viwango lakini hatuna uwezo wa kutafuta wachezaji wote watakaoendana na manchester city kiviwango, na hii ndio tofauti kubwa ninayoiona.
naichukulia liverpool kama ni manchester united ile ya mwishoni chini ya sir alex ferguson iliojaza average player chini ya mwalimu bora.
bado mkuu hujaona utofauti?
- david silva, bernardo silva, mahrez, aguero, sane leroy, raheem sterling, gabriel jesus, fernandinho, walker, mendy, laporte, stones, kompany, delph,
- salah, mane, firmino, shaqiri, fabinho, keita, henderson, widjnaldum, virgil, lallana, sturridge, milner, robertson, alexander arnold.
kuna siku nililala nikaota guardiola ameondoka manchester city nikafurahi sana, kumbe asubuhi yake naamka naambiwa kamsukuma mpinzani wake magoli 9.
😛😛😛😛
kwa wale tunaoamini uwepo wa Mungu kama ndio muweza wa vyote acha tuendelee kumshukuru na kumshangaa kwa uwezo wake mkubwa alionao, jaribu kufikiria ni yeye peke yake ndio aliyetuumba halafu ametujaalia tuwe na uwezo tofauti wa kufikiri na ukienda mbali zaidi unaweza kusema huyu Mungu amejawa na ubaguzi kwenye maamuzi yake.
nimeanza kwa kujilinda ya kwamba binadamu tuna utofauti mkubwa sana wa kuelewa mambo hivyo basi ni matumaini yangu sitokutana na comment zenye kuudhi zaidi bali nitakutana na comment zitakazonifuta ujinga wangu uliojaa kwenye ubongo wangu.
nimekuwa nikifuatilia dirisha la usajili kuanzia mwezi Agosti na January kwa umakini kabisa nikiwa na mategemeo ya kuwashuhudia wachezaji bora wakisajiliwa na manchester united, si lengo langu kuwazungumzia wachezaji tuliowasajili bali dhumuni langu kuu ni kuangazia hii ishu ya usajili wa mlinzi wa kati ambayo ndio imekuwa iki trend zaidi kiupande wetu.
leo hii tetesi zetu zote zinahusu usajili wa beki wa kati kama kipaombele chetu kikubwa, kwa udhaifu wangu wa kuelewa mambo nimebaki najiuliza:
hivi ni kweli jose mourinho ameondoka manchester united au ameng'atuka tu kama marehemu bwana yule?
nikisema kilichoondoka ni kiwiliwili cha mourinho lakini fikra zake zimebaki vile vile nitakuwa nakosea?
tokea jose mourinho yupo na ameondoka, amekuja mwengine lakini bado nashangazwa kuona tunaendelea kucheza mdundo wa mourinho kuanzia mashabiki, wapiga kelele, lengends wanaoheshimika, viongozi wa ndani wa klabu na hata vyombo vya habari.
tutakapofanikiwa kusajili walinzi aina ya koulibally na van virgil ndio tutakuwa na timu yenye uwezo wa kusimama na wapinzani wetu wakubwa barani ulaya?
ed woodward amekuwa na tabia za kusajili wachezaji kwa sababu ya mdundo wa muziki, wasiwasi wangu mkubwa msimu ujao atatafuta walinzi wakati kama kawaida yake kwa gharama halafu atatia pamba masikioni, kwa nini asitie pamba masikioni wakati sote tunaimba wimbo mmoja tu aliouanzisha jose mourinho wa kutafuta mlinzi wa kati?
kuna hii ishu ya jesse lingard ambayo nayo imekuwa ikileta mjadala mkubwa kwa wafuatiliaji wa mpira wa manchester united, wapo mashabiki wanaomchukulia lingard kama ni mchezaji underrated pale klabuni lakini kazi yake anayoifanya ni kubwa sana na wapo wengine wanamchukulia ni mchezaji wa mechi maalum.
- hivi jamani tumeridhika namba 7 wetu aendelee kuwa juan mata peke yake msimu ujao?
- tuna uhakika gani kama alex sanchez atarudi kwenye ubora wake na kuleta upinzani kwa huyu mchezaji wa siku anthony martial?
- tumeridhika namba 6 wetu aendelee kuwa nemanja matic msimu ujao bila ya kuwa na mpinzani?
- wakati huu ambao fred haeleweki ina maana tumeridhika kumuona ander herrera mpinzani wake mkubwa akiwa ni scott mctominay?
pande zote naziona zipo sahihi kihoja zao kwa sababu tulishawahi kuwa na mchezaji mwenye sifa za lingard ambaye ni ji sung park hivyo basi hakuna ajabu kwa lingard kuwepo klabuni.
lakini siamini kama ji sung park aliwahi kucheza mechi tano mfululizo nyakati za SAF na hii inatokana zaidi tulikuwa na wachezaji kama vile giggs, nani, ronaldo ambao walikuwa ni bora zaidi kimfumo. Cha ajabu nyakati hizi mchezaji kama jesse lingard amekuwa ni tegemeo kwenye mechi yoyote na hakuna anayeonekana kujali, na kama yupo anayejali mbona sikutani na tetesi za usajili wa kiungo mshambuliaji?
kwa mtazamo wangu ndani ya klabu yetu tunamuhitaji namba 10 atakayetupa faida ya waziwazi zaidi ya hii anayotupa jesse lingard nyakati hizi za OGS.
nimeona mechi hizi OGS anajenga utatu mtakatifu pale mbele kwa kumweka martial, lingard na rashford, kwa utatu huu kama tusipotafuta namba 10 mwenye uwezo zaidi ya jesse lingard kwenye eneo la juu basi tutaendelea kuwa under dog kwa wapinzani wetu wakubwa barani ulaya, jamani kuna utofauti mkubwa sana unapoziangalia movement za robert firmino halafu ukageuza kioo ukaziangallia movement za jesse lingard pale juu.
nguvu hii tunayoitumia kwa ajili ya kumpigia kampeni ed woodward atuletee koulibally pia tuitumie kwa dhumuni la kumpigia kampeni mwanadamu mwenye sifa za christian ericksen atue manchester united.
tunamhitaji eriksen kuliko yeye anavyohitaji kuishi uwanja wa matofali, tusipokuwa makini majirani zetu watambeba ili akazibe pengo la david silva.
tusihadaliwe na kiza kifupi tukafanya haja zetu njiani tukitegemea hakuna atakayefanikiwa kukiona kinyesi chetu, ni suala la muda tu kila mpita njia atakiona kinyesi chetu tulichokiweka njiani usiku wa jana.
nasubiri comment za kukosolewa kistaarabu zaidi ili na mimi nitolewe ujinga
View attachment 1002065
kuna siku nililala nikaota guardiola ameondoka manchester city nikafurahi sana, kumbe asubuhi yake naamka naambiwa kamsukuma mpinzani wake magoli 9.
😛😛😛😛
Naelewa unachokisema ila hiyo unayotaka ipate ubingwa au kuilinganisha na utd ya fergie naona ni makosa makubwa sana.kila mtu na mtazamo wake ila usisahau utakuwa ni ubingwa wa tatu kwa manchester city ndani ya miaka 6.
sas tujiulize manchester city hii inyoonekana kupwaya baadhi ya maeneo msimu huu tuna uwezo wa kusimama nayo kimpira?
msimu uliopita liverpool tuliwapita kwa alama 6 kama sikosei, msimu huu tatizo kubwa lilianzia kwa jose mourinho alikubali kupoteza pambano kabla hajaingia uwanjani kwa kisingizio cha defence wakati msimu uliopita david de gea alikuwa na clean sheet zinazokaribia 20.
ndani ya dirisha hili tuna uwezo wa kutafuta wachezaji watakaowazidi wachezaji wa liverpool kwenye ishu ya viwango lakini hatuna uwezo wa kutafuta wachezaji wote watakaoendana na manchester city kiviwango, na hii ndio tofauti kubwa ninayoiona.
naichukulia liverpool kama ni manchester united ile ya mwishoni chini ya sir alex ferguson iliojaza average player chini ya mwalimu bora.
bado mkuu hujaona utofauti?
- david silva, bernardo silva, mahrez, aguero, sane leroy, raheem sterling, gabriel jesus, fernandinho, walker, mendy, laporte, stones, kompany, delph,
- salah, mane, firmino, shaqiri, fabinho, keita, henderson, widjnaldum, virgil, lallana, sturridge, milner, robertson, alexander arnold.
kuna siku nililala nikaota guardiola ameondoka manchester city nikafurahi sana, kumbe asubuhi yake naamka naambiwa kamsukuma mpinzani wake magoli 9.
😛😛😛😛
Umesahau kichwa cha KING DROGBA pale Alliànz Arena pamoja na penalty yake!Moja mliwahi kuchukua?
Sasa utahesabu vipi yangekuwa mawili wakat mlipigwa?Umesahau kichwa cha KING DROGBA pale Alliànz Arena pamoja na penalty yake!
Hata hivyo final ya 2008 ndo ili fanya nichukie zaid Man United.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe huelewi nini? Kama tungechukua 2008 na lile la 2011 yangekuwa mangap?Sasa utahesabu vipi yangekuwa mawili wakat mlipigwa?
Kwa hiyo na sisi tungekuwa nayo matano maana tumeingia fainali 3 so nnachoweza kukuambia sikuona point yakoWewe huelewi nini? Kama tungechukua 2008 na lile la 2011 yangekuwa mangap?
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi kaa kimya..Kwa hiyo na sisi tungekuwa nayo matano maana tumeingia fainali 3 so nnachoweza kukuambia sikuona point yako
Unawaza hadi fainali mlizopigwa kweli sariball kawavuruga hahahahaha
hahahahahahahaha. bora city achukuePaul Scholes and G Neville on Who he prefer between City and Liverpool to win the tittle
Scholes: City over Liverpool
G Neville: Choosing one among them is like choosing one man between the two to sleep with your wife
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu nimeikusudia manchester united ile iliobeba ubingwa msimu wa 2012/ 2013 ambayo ndio ya mwisho kwenye utawala wa fergie, ilijaza wachezaji wengi wenye viwango vya wastani ambao hawana tofauti kubwa na wachezaji wanaounda kikosi cha liverpool kwa misimu miwili hii tunayokwenda nayo.Naelewa unachokisema ila hiyo unayotaka ipate ubingwa au kuilinganisha na utd ya fergie naona ni makosa makubwa sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha acha mkuu ..arsenal wewe kesho kutwa anakuweka za kutosha..Unawaza hadi fainali mlizopigwa kweli sariball kawavuruga hahahahaha