Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Allison anabebwa na mabeki wa Liverpool.

Kama unataka kujua uwezo ALLISON basi muangalie kwa lakini DE GEA..

Sent using Jamii Forums mobile app

Kweli hii team ina vichaa wengi, Kuna kipa dunian anayedaka bila mabeki?

Unadhan Kutoa Mpunga wote kumnunua Alison ilikuwa bure?

Last: Nyie si club tajir kwann sasa msinunue beki maana Koulibally tu mmeshindwa kumnunua, Man U ni sawa na baba tajir ambaye watoto wake wanashindia michicha.
 
Nimeikuta hii some where
Angalia wanavyosema watu kuhusu De Gea, Alisson, Mou, Klopp, Kepa, Sir Alex Ferguson, na wengineo wamemsema.
  • Jose Mourinho : De Gea is not a goalkeeper.. he is the King
  • Klopp :"If you have De Gea what more do you want? Maybe bars to celebrate wins and saves."
  • Neymar : De Gea is a monster, not a human.De Gea is better than any goalkeeper by far. It will be a dream come true to play with him if I sign for #ManchesterUnited.
  • Allison:"My role model is De Gea , he is the best ever goalkeeper the world has ever seen."
  • Ronaldinho : David De Gea is the most complete goalkeeper i have ever seen. My son adores him"
  • Kepa Arrizabalaga :Who said De Gea plays like me. Its a honour to be compared with the best player in the world"
  • Drogba :"Many people know that De Gea is the best Goalkeeper in the world but they are afraid to say it."
  • Pepe :"Comparing De Gea and another goalkeeper is like comparing an Alien with a human.
  • Rafael Nadal :""The next time you compare De Gea with another goalkeeper , take a nap."
  • Thomas Mueller : De Gea is the best player in the world, i just want him to win Ballon dor."
  • Zinedine Zidane : De Gea is best goalkeeper in the world. Like it or Hate it
  • Capello :"Give me De Gea and ten players. I will lift the Uefa Champions league."
  • Sir Alex Ferguson :"De Gea is unbelievable."
  • Marcelo :In our national team we are lacking a De Gea. An Angel."
  • Iker Cassilas: One day I will tell my son, 'once upon a time there was De Gea'.
Source: #SkySports
 
Aaaaha, hii joke!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh Spurs walianza kama game ya msimu uliopita wakajua watapata goli la mapema
 
nani kakuambia United wameshindwa kwa Koulibaly??

kama unataka kujua kama United ni klabu tajiri dunia au laa waulinze wenzio mchezaji ghali au alinunuliwa kwa pesa mingi anatoka timu gani halafu rudi tumalizie mada
 
Unabishana na mashabiki wa team amabayo mara ya mwisho kunyanyua kombe lolote ni 2005
nani kakuambia United wameshindwa kwa Koulibaly??

kama unataka kujua kama United ni klabu tajiri dunia au laa waulinze wenzio mchezaji ghali au alinunuliwa kwa pesa mingi anatoka timu gani halafu rudi tumalizie mada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu muda mwingine na wewe unabwabwaja tu,hivi Lingard kwanza unamfuatilia au?

Lingard ana hadhi ya kuchezea MUFC?

Magoli kama hayo ambayo yamempitia yanawapitia sana wababaishaji kama Dele Alli,

Inatakiwa MUFC wawepo watu ambao ukiwaangalia unasema huyu sio mbahatishaji, wauwaji kama Lionel Messi (habatishi hababaishi)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…