Na top namba 10 pia young umr umeenda labda wakina fosuh mensah tuwaangalie wakirud
Labda washinde njaa
Kwani unateseka sana usipoandika bila ya matusi?its like mtu anajitia kidole halafu ananusa akitegemea atahisi halafu ya vanila
ni upuuzi tu unaongea hapo, kwani unateseka?
Beno KakolanyaSio kqa saves zile. He is the top aisee. Kama kuna kipa amewahi ku pull saves kama zile in one match ajitokeze..
Sent using Jamii Forums mobile app
hebu ireport ile post yangu halafu uone kama nitapigwa banKwani unateseka sana usipoandika bila ya matusi?
Afu mbona matusi yenyewe hakuna hata mapya hapo?
Jibu hoja kwa hoja siyo matusi yasiyo na tija, na kwa taarifa yako usidhani hakuna asiyejua kutukana hapa bali watu tunajitambua tu kiakili.
Jiheshimu ili uheshimiwe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani hivi yule wifi yetu yupo bado Spain au yuko jijini Manchester? Siyo kwa saving za leo!!! Leo itakuwa wifi yetu alifanya kazi nzuri,wanawake oyeeee!!!!! Hahahahahah!!!
Ndio yupo MkuuSio kqa saves zile. He is the top aisee. Kama kuna kipa amewahi ku pull saves kama zile in one match ajitokeze..
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wamenuna ujio wa OGS mna bahati mbaya sana tunaye pia mtaalamu mwelekezi Sir AF mtakoma wenye kombe wamerudi kuchukua chao mlizoea. Tunamsubiri jirani mpiga kelele.Tujifunze kumpa mtu credit anapostahili. Hata Kama hana Mbinu za uwanjani, lakini ana Mbinu za ku-win mioyo ya wachezaji kiasi kwamba wanajitoa kwa ajili yake na timu. Hiyo ndiyo mbinu kubwa na ya kwanza kabla hujaingia kwenye tactical sphere.
Mourinho alishindwa hapa na kuna msemo unasema, if you fail to plan, you plan to fail . Hope umenielewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mashambulizi mengi yametokea kati na upande wa kushoto Shaw hakuwa vizuri na Pogba& Martial hawakuwa wanamsaidia kukaba while upande wa Young haukuwa na shida Sana na Herrera alikuwa anamsaidia Young kukaba.Na top namba 10 pia young umr umeenda labda wakina fosuh mensah tuwaangalie wakirud
Ole anazo mbinu za uwanjani. Sikiliza post-match interview ya Pogback akiongelea jinsi walivyopanga mbinu juu ya udhaifu wa Spuds!Tujifunze kumpa mtu credit anapostahili. Hata Kama hana Mbinu za uwanjani, lakini ana Mbinu za ku-win mioyo ya wachezaji kiasi kwamba wanajitoa kwa ajili yake na timu. Hiyo ndiyo mbinu kubwa na ya kwanza kabla hujaingia kwenye tactical sphere.
Mourinho alishindwa hapa na kuna msemo unasema, if you fail to plan, you plan to fail . Hope umenielewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ww ni mchambuzi mzuri wa mpira maana unaangalia mapungufu yaliyojitokeza licha ya kuwa timu imepata matokeo mazuri ya ushindi.Kocha anatakiwa achek marudio ya game ajiulize kwann tumeshambuliwa sana vile je kulikua na tatizo sehem gani na namna ya kusolve maaana ni hatari sana kukoswa koswa vile ni dalili mbaya kua kuna shida mahali na siku ukukutana na wamaliziaji wazuri utapigwa nyingi
Mkuu Nilikuwa namjibu huyo jamaa ambaye anang'ang'ania kuwa OGS Hana mbinu za uwanjaniOle anazo mbinu za uwanjani. Sikiliza post-match interview ya Pogback akiongelea jinsi walivyopanga mbinu juu ya udhaifu wa Spuds!
Thank you my dear, hahaha style mpya ya mwaka huu,hapana dear basi tu sijui kwanini najikuta mpka mechi iishe.