Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Reading wapo nyumbani kwa dakika hizi hovyo sana
 
Kwa hiyo una maanisha mmebahatisha tu kufunga hizo Goli ukweli ni kwamba mmezidiwa si ndio unachosema
Hakuna ushindi wa bahati hapo ni umiliki wa mpira na upigaji pasi sahihi kwenda kwa walengwa
 
Ushindi mzuri ila mechi haikuwa nzuri. Kuna wachezaji wanapaswa kutambua kuwa wanavaa Uzi wa Man utd.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…