Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,585
You have a point
Ila tukubaliane, tukimchapa Spurs hamtaibua hoja nyingine kum underrate OGS na United ya Msimu huu
Lakini pia, Wembley never felt at home to Spurs when they play against the big guns
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa MkuuLife is full of tests, hii ikiisha haikosi ya kuibuka tena, imagine watu wanaweza kumpa mkataba kocha wa miaka 3 na wakamwambia akipata kombe hata moja inatosha, msimu wa kwanza anadeliver, msimu unaofata akichemsha anawekwa kando
Huwezi kimbia kivuli chako,vipi alkua anazungumzia context ipi?OGS nae He need to stand and Be himself. every time he speaks there is too much reference to Feggie. He is not Feggie....
Kuwa top 4 tangu wakati huo si guarantee ya kumfunga United.Unatambua toka 2013 spurs wao ni uhakika kumaliza top 4? Ukipata jibu utaangalia huo ulinganifu wako umetumia kigezo kipi.
Tots alitokaje na Chelsea?Kwa mtazamo wangu: kuiita Tottenham kama mtihani wa Man Utd ni kwa sababu chache zifuatazo:-
- Man Utd hajifunga timu yoyote iliyo juu yake kwenye msimamo,
- Man Utd alifungwa na Tottenham (OT), hii game mtakuwa ugenini,
- Tottenham ni moja ya timu ambazo ziko vizuri offensive, na Man Utd haina defense nzuri, so kila mshabiki anasubiri kuona mnatokaje,
- Timu mlizozifunga ni timu ambazo Tottenham kazifunga pia, hatuoni kama hayo ni maajabu, na
- Pochettino as a proved EPL Top 3 best coach vs unproven interim coach.
Ana shida sana huyu, tusilogwe tukampanga kwenye mechi ya timu ya PL..anapoteza mipira kijinga sana, hana control.Huyu Fred nampa benefit of the doubt kwa msimu huu nitajaji kuanzia msimu ujao
Fred ni mzito kufanya maamuzi anapokuwa na mpiraAna shida sana huyu, tusilogwe tukampanga kwenye mechi ya timu ya PL..anapoteza mipira kijinga sana, hana control.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa dogo anapoteza mipira kiajabu ajabu sanaAna shida sana huyu, tusilogwe tukampanga kwenye mechi ya timu ya PL..anapoteza mipira kijinga sana, hana control.
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo tunacheza kama kipindi cha morinyo, kuvizia counter attack. Possession sijui 36%
Huyu Fred nampa benefit of the doubt kwa msimu huu nitajaji kuanzia msimu ujao
Martial aingie kwa SanchezLeo tunacheza kama kipindi cha morinyo, kuvizia counter attack. Possession sijui 36%
hell yeahAna shida sana huyu, tusilogwe tukampanga kwenye mechi ya timu ya PL..anapoteza mipira kijinga sana, hana control.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pale kati mipira inapotea sana. Forward nao vile vile hawana ushirikiano