OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
Unatakiwa ufute haya mawazo kwenye medula yako.
Umenena vyema Newcastle huwa wakikutana na Man U, wanakuwa kama wako final.Anything can happen japo siyo rahisi kuwashusha wanne waliotangulia.
Mtihani ngumu wa kwamza kwa OLG ni Benitezi then Pochetino. Akipata point 3 mechi hizo, imani itaongezeka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenena vyema Newcastle huwa wakikutana na Man U, wanakuwa kama wako final.
Hofu yangu nyingine ni fatigue hasahasa backline .
Good thing, MOU hayupo
Sent using Jamii Forums mobile app
Gemu ya kesho inabidi vijana wapambane tuchukue three points..Mkuu wale wana ST wao anaitwa Rondon,nasikitika sana Bailly alipata red,bila beki kichaa yule jamaa atatutesa sana.
Lindelof sio mbabe,atapata shida sana.
Nimeona wanamuwania Marko AnautovicNdo hivyo, ngoja tuone nini watakachofanya hii window, ila kweli kuna uwezekano wa kupata striker mzuri kwa kipindi hiki ili aweze kuwabeba?
Safari hiyo bado ndefu mliweka gap kubwa na kwa sasa arsenal vitimu vingi vilivyo mbele yake ni vile anavyojipigia sana.Mmenifurahisha jamaa zangu.
Natamani mmtoe Arsenal kwenye namba 5.
Wao wenyewe tunawasubiri Emirates pamoja na Chelsea tuwape kichapo tujihakikishie top 4,man kwa sasa si timu nzuri kabisa. Ile timu inahitaji kufanyia maamzi magumu imebeba wachezaji inaowalipa pesa nyingi zisizoendana na matokeo yao uwanjani.Hahaha kama nawaona vile..
Mlitegemea leo Arsenal apoteze ili mupunguze gape la point hahaha
Dua zenu zimefeli ..nyie apo mlipo ndipo mnapostahili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wao wenyewe tunawasubiri Emirates pamoja na Chelsea tuwape kichapo tujihakikishie top 4,man kwa sasa si timu nzuri kabisa. Ile timu inahitaji kufanyia maamzi magumu imebeba wachezaji inaowalipa pesa nyingi zisizoendana na matokeo yao uwanjani.
Ikiwa watafanya maamzi magumu wataumia msimu mmoja tu au miwili lakn watarudi na kutesa ligi kwa muda mrefu kama awali.
Timu ikiyumba huwezi kuiinarisha shortly na ukabeba kombe ni ngumu sana. Timu hii aliondoka feg ikiwa ilishaharibika iliegeshwa tu kishikaji.
Ukiona unakereka na kauli yangu kakojoe ulale ila ukweli utabakia hivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kukariri, Kwani ulijua kama ki Southampton kingejipigia Arsenal?Safari hiyo bado ndefu mliweka gap kubwa na kwa sasa arsenal vitimu vingi vilivyo mbele yake ni vile anavyojipigia sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo lipo kubwa tu ubovu unefichwa na idadi nyingi ya goli mipira iliyokufa kila tukupigia tunafungwa au de gea afanyw kaz ya ziada toka 0-0 ya crystal palace had leo hamna clean sheet maana yake ukuta wetu unaruhusu magoli tatizo lipo mkuu tunamhitaj sana koulibarywala sijapinga hilo, nilichosema mimi katika hizi mechi 3 sijaona tatizo kwa centre backs
Brighton na sutton sio?Safari hiyo bado ndefu mliweka gap kubwa na kwa sasa arsenal vitimu vingi vilivyo mbele yake ni vile anavyojipigia sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu dogo nae atakuwa mvuta bangi wakina chong wanafanya poa kule kwenye academyMshambuliaji wa Man United Anthony Martial amezifuta akaunti zake zote mitandao ya kijamii huku sababu iliyomfanya afanye hivyo bado haijaelezwa.
of course anahitajika CB lakini kwa hizi mechi 3 alizopewa OLE sijaona tatizo la Jone, Lindelof na Bailly wote wamefanya kazi zao 100%.Tatizo lipo kubwa tu ubovu unefichwa na idadi nyingi ya goli mipira iliyokufa kila tukupigia tunafungwa au de gea afanyw kaz ya ziada toka 0-0 ya crystal palace had leo hamna clean sheet maana yake ukuta wetu unaruhusu magoli tatizo lipo mkuu tunamhitaj sana koulibary
of course anahitajika CB lakini kwa hizi mechi 3 alizopewa OLE sijaona tatizo la Jone, Lindelof na Bailly wote wamefanya kazi zao 100%.
tumefungwa goli 3 moja la penati amesababisha Rashford against Cardiff.... Pogba na Matic walizembea katika kukaba tukaconcede na Bournemouth na Huddersfield.