Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,795
- 21,980
Yani Mkuu navuta picha kipindi kile wewe peke yako unaendesha Kampeni ya Kufukuzwa Mourinho halafu watu wanakushambulia na kukuita Hujui mpira, Unaandika pumba, Mara kama humtaki Mourinho hama timu!! [emoji23][emoji23]
Leo hii kila Mshabiki Wa Man United hapa anajifanya nayeye alishiriki katika kuendesha Kampeni za kumfukuza Mourinho kuliko Hata wewe 😀😀
Tena kuna wengine wanajifanya sasahivi kusema eti Mourinho anafaa kushtakiwa wakati walikuwa wakimtetea na kukushambulia wewe [emoji23][emoji23]
Kuna mjinga mmoja anaingia kimyakimya humu anaona haya ata kupongeza ushindi Wa OGS kutokana na misifa aliyokuwa akimpa Mourinho na Kukushambulia wewe. 😀
Inaonesha anasubiri Man United iteleze game moja tu aibuke hapa! 😀😀
Hongera Mkuu Anti-Mourinho Campaign Manager wa JF.
Asante, heri kwako pia na kwa Man utd fans wote.
To you too cute..Happy new year ndugu zangu.
[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
Happy new year ndugu zangu.
[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
Hahahahaha. Asante sana dogo[emoji23]Heri ya mwaka mpya kwako.
Hii avatar inaweza kusababisha nikahamia Man Utd.
Kushinda raha sana,kila wakati napita hapa kuona kama kuna updates za man utd. Naona kesho ni mbali bila premier league.
Mimi natamani hata tuwe tunacheza kila baada ya siku moja..Kushinda raha sana,kila wakati napita hapa kuona kama kuna updates za man utd. Naona kesho ni mbali bila premier league.
Kushinda raha sana,kila wakati napita hapa kuona kama kuna updates za man utd. Naona kesho ni mbali bila premier league.
Arsenal tutamchomoa muda sio mrefu.ishu inakuja kwa chelseaMmenifurahisha jamaa zangu.
Natamani mmtoe Arsenal kwenye namba 5.
Chelsea nahisi kama nao watapotea, maana harakati zao kwenye usajili ni mbovu.