Manchester United (Red Devils) | Special Thread

kwa mechi hizi tatu sijaona matatizo katika back line tho tunahitaji CB mmoja
Sijakuelewa ndugu,hatuna tatizo ktk back line ila atafutwe CB Wa ziada ama!? Mi naona tatizo lipo hasa kwenye beki za kati ktk kucheza mipira ya krosi,kona, na faulo. Tuna mabeki wenye vimo vizuri tu ila sijui ni timing wanakosea au nini sijui.

Sent from my Infinix NOTE 3 Pro using JamiiForums mobile app
 
kama hujaelewa tulia halafu soma vzr, mbona kipo wazi nilichosema
 

Unazungumzia gape la point 19, maana yake kati ya michezo 18 iliyobaki Liverpool apoteze 7 na Man Utd ashinde yote 18.

Ukumbuke hapo unazungumzia timu ambayo haijapoteza mchezo hata mmoja vs timu iliyopoteza michezo 5.
 

Kumbe matic alikuwa anaharibiwa na mbinu za José, amekuwa moto sana.
NEMANJA MATIC " THE TOWER"
Kila nikijaribu kufumba macho naona utamu wa magoli ya pogba na nakshi nakshi kwa pass zake murua achana na ile shangilia yake
ubora wa man utd unachangiwa kwa kiasi kikubwa sana na role kubwa inayofanywa na nemanja matic eneo la kati mi binafsi namwita the tower au mnara kwa kiswahili Jamaa ndio connector wa mipango ya man utd kuanzia eneo la ulinzi kuja juu kwenye final third kwa haraka haraka na macho mawili huwezi kuona Kazi kubwa inayofanywa na matic ila kwa jicho la tatu utaona nachokimaanisha achana na ule mpasi kwenda kwa martial then martial kwa rashford mpira kambani uwezo na utulivu wa matic kwa kushirikiana na Herrera unamfanya pogba acheze in a free role nadiriki kusema pogba ni miongoni mwa wachezaji watatu hatari zaidi ndani ya EPL endapo utamwacha acheze free waswahili wanasema chumvi haina sifa kwenye chakula hadi izidi au ipungue kwang Mimi matic ni chumvi iliyokolea kabisa kwenye kiungo cha man utd maybe siku ikipungua wengi mtagundua ni kwa kiasi gani Jamaa anachangia tabasamu usoni mwetu all over the world



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mourinho mpuuzi sana

Linasajili lenyewe then lianza kuwatukana tena wachezaji wake..

Poor Manager..


Sent using Jamii Forums mobile app
 
This is the famous manchestee united babez...i feel back the spirit. Moyes and that twat van gaal walinikimbizaaa
sina hamu nao. And the soo called mourinho. Huyu baba anapenda sana gawa wachezaji. Pogboon gotta teach this mshua what talents means. Zama za chuoni IFM siti za mbele kabisa ndo zetu. Hopefully tunarudi kaa siti za mbele tena kwenye venues.

GGMU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Idimi kuna attachment ya picha ya Mourinho kwenye uzi was mwanzo kabisa wa thread hi, huwa naiona kila nikifungua uzi huu.
 
"Something the best Defensive option is Offensive"
Japo defense line yetu, tukikutana na timu ambayo Ina attacking Kali Kama city, liver na Spurs zinafunga magoli mengi (hazitegemei mfungaji mmoja) itakuwa hatari Sana...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mou alikuwa anataka anunua beki wa £75 mil ili akadefend asifungwe na westham, na apate uhakika wa sare na south Hampton...
"It obvious hakuwa na mpango wa kuwafunga liver,Spurs,city wala Chelsea"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…