Ana kesi ya kujibu huyo mtu
Hao watu kamani foward inakubidi uwe nao makini sasa hawakawii kukuweka mguu wa shingo
Kwa form waliyokuwa nayo arsenal,huwezi amini leo ni majirani zetu na +12 gd wakati sisi +9!
Mkuu sio kila sub ni kutokana na kucheza vibaya, sub nyingine ni kumlinda mchezaji au kumpumzisha kwa ajili ya mechi zijazoKuna vitu vinakeraaaaq, kwa kujituma huku kwa Rashford unamtoa unamuacha martial kasimama tu kule kushoto
Sent using Jamii Forums mobile app
hivi kwanini ile timu ya Mourinho ilikuwa aiwezi kupiga pasi Kama hivi sasa na wachezaji walikuwa wazito ile mbaya
Maana yake ni nini hiyo
I hope Benchi la Ufundi litafanyia Kazi mapungufu yao.
Tarehe 2 mwezi wa kwanza 2019.Ile red tungepata kipindi cha Mou nawaambia tungechoka kukaba kuanzia wachezaji mpaka mashabiki, ila sasa hivi wachezaji wamerelax wanaposess mpira kama hatupo pungufu. Mechi nyingine lini jamani sipendi kukaa mda mrefu bila kuangalia hii timu ikicheza.
Hizi goli tulizisahau zilikua mara moja kwa msimu ndo mnafunga goli tatu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli Martial anapaswa kukaza.I hope Benchi la Ufundi litafanyia Kazi mapungufu yao.
Naomba Shaw awe timamu till game na PSG.
Martial anatakiwa kuongeza juhudi ili awe mchezaji atayeamua Match uwanjani.
Sent using Jamii Forums mobile app