Eric Banks
Senior Member
- Jun 4, 2015
- 179
- 249
Clean sheet hazina maana kijana cha muhimu ni timu kushinda tu. Mfano tu assume zimebaki game kumi liver na man city wanalingana points, in those 10 games liverpool adraw games zote 0-0 then man city ashinde game 4 bila cleen sheet.Nasisitiza clean sheets ni muhimu sana kwa timu inayocheza ili kupata mafanikio.
Clean sheets ina maanisha ulinzi imara
Ulinzi imara ina maanisha kufungwa kwa nadra
Na kufungwa kwa nadra inamaanisha chance kubwa ya kushinda
Mfano wa ku draw na kushinda havina mahusiano. Naongelea wote washinde, mmoja ashinde kwa clean sheetClean sheet hazina maana kijana cha muhimu ni timu kushinda tu. Mfano tu assume zimebaki game kumi liver na man city wanalingana points, in those 10 games liverpool adraw games zote 0-0 then man city ashinde game 4 bila cleen sheet.
Game sita zilizobaki afungwe zote, apo clean sheet za liverpool zitasaidia nini?
5-3 zitamsaidia vipi LiverMfano wa ku draw na kushinda havina mahusiano. Naongelea wote washinde, mmoja ashinde kwa clean sheet
Vipi Man City akishinda 3-0, halafu
Liver ashinde 5-3 ?
Suala la clean and dirty sheet unaweza kuona direct benefit kwa context husika na kila kimoja kina umuhimu wake kwa wakati fulani na sio kwa wakati wote.Mfano wa ku draw na kushinda havina mahusiano. Naongelea wote washinde, mmoja ashinde kwa clean sheet
Vipi Man City akishinda 3-0, halafu
Liver ashinde 5-3 ?
Upo sahihiSuala la clean and dirty sheet unaweza kuona direct benefit kwa context husika na kila kimoja kina umuhimu wake kwa wakati fulani na sio kwa wakati wote.
OGS on Liverpool allegianceMimi Ni mmoja ambaye Nimeumia Sana Kufukuzwa Mourinho! Musinishangae ila Kumbukeni kuwa "Adui Muombee Njaa"..
Na Njaa kubwa niliyokuwa nikiwaombea nikuwa Mourinho aogezewe Mkataba ili muzidi kupata Maumivu 😀😀😀
Kwa Upande Wa Wa Pili Nimefurahi Sana Kuteuliwa Mshabiki Nguli, Mshabiki lialia, Mshabiki Kindakindaki, Mshabiki Mkereketwa, Mshabiki Halisi Wa LIVERPOOL FC kamanda Ole Gunnar Solskjaer Kuwa Manager Wa Man United.
OGS Ni Boyhood Fan Wa Liverpool
Sina Cha Kuongeza wala Kupunguza lakini hicho Chanzo Cha hiyo Habari umekiona lakini???
Mbona Kinasomeaka kuwa Ni Manchester Evening News?
Sasa hapo Pana tofauti gani na TBC kumuonesha Magufuli akisema Ndege zetu Zimeshaingiza Faida ya Bilioni 28?
Hebu Google kwenye Vyanzo angalao vinavyotambulika uone kama habari hii utaikutia.
Kwa ufupi clean sheet haina ishu, ishu ni timu kushinda kwa gharama yoyote ile5-3 zitamsaidia vipi Liver
Mkuu kati vyanzo vya uhakika kuhusu United ni Manchester Evening News (Sio la kipropaganda)
By the way hapo wame m quotes mwandishi (ambaye ni Liverpool fan) akisimulia yale yaliyomkuta 2013, wakati OGS akiwa Molde
Na hiyo nyingine ni alipokuwa Cardiff, hawawezi ku fabricate
Clean sheet ina ishu kubwa sana, kuliko kuvuja nyumaKwa ufupi clean sheet haina ishu, ishu ni timu kushinda kwa gharama yoyote ile
Kwa kifupiClean sheet ina ishu kubwa sana, kuliko kuvuja nyuma
Chanzo cha GivemesportSina Cha Kuongeza wala Kupunguza lakini hicho Chanzo Cha hiyo Habari umekiona lakini???
Mbona Kinasomeaka kuwa Ni Manchester Evening News?
Sasa hapo Pana tofauti gani na TBC kumuonesha Magufuli akisema Ndege zetu Zimeshaingiza Faida ya Bilioni 28?
Hebu Google kwenye Vyanzo angalao vinavyotambulika uone kama habari hii utaikutia.
Sasa kwani akiwa ni livepool fan sisi inatuhusu nini!?? Kinachopaswa atatue matatizo yetu na kuifanya timu iwe nzuri..period..
Kwa hiyo mkuu huamini hata habari ya kweli ili mradi tu imetoka article ya mrengo flani? Isitoshe ime m quote mtu. Halafu wenzetu wapo professional sio kama bongoNgoja nikufahamishe kitu!
Unajua Kwanini Pochetino kila anapokwenda kuzungumza au Kufanya Press Conference anaulizwa Kuhusu kutakiwa na Man United?
Na unajua Kwanini Media zimeacha habari ya Man City kufungwa na Palace badala Yake Wakaipromote habari ya Man United kushinda goli 5?
Sasa kama unafahamu kazi ya Media katika Soccer basi utajua Kwanini Kuwa Hiyo habari imeandikwa Katika huo Mtandao Man Ev Newz.
Hiyo sio ishu. Hapa tunajadili tu na kuweka kumbukumbu sawaSasa kwani akiwa ni livepool fan sisi inatuhusu nini!?? Kinachopaswa atatue matatizo yetu na kuifanya timu iwe nzuri..period..
Mbona morinho hadi ana membership card ya Chelsea lakini tulimpa ukocha!?? Hizi habari hazinisumbui kichwa.
Kwa hiyo mkuu huamini hata habari ya kweli ili mradi tu imetoka article ya mrengo flani? Isitoshe ime m quote mtu. Halafu wenzetu wapo professional sio kama bongo
Chanzo cha Givemesport View attachment 977033View attachment 977034
Hivi mkuu ikitokea msimu huu liver na man city walingane points, but liver awe na clean sheets nyingi , nani atakuwa bingwa hapo?Clean sheet ina ishu kubwa sana, kuliko kuvuja nyuma
Mkuu kwani hapo tatizo ni media za Ulaya au akina Samata na AmunikeYani Amini usiamini Kwenye Suala la Soccer bora Media za Bongo Zinaaminika kwasababu Hawana Shule Za uhakika Kuliko Media za Ulaya.
Ondosha Mapenzi pembeni ya Mchezaji Fulani Bali angalia Wachezaji Hawa Wawili.
1) Rinaldo
2) Modric
Anza kuvuta Picha Jinsi Ronaldo Kwa Real Madrid Kwenye CL tokea hatua ya Makundi alivyoibeba mgongoni mwake Kwa Jitihada zake Binafsi hususan Katika Mechi maarufu za PSG, JUVENTUS na BAYERN.
Kisha Vuta Picha Alichokifanya Modric Ni Nini?
Mtazame Ronaldo kwenye Wedi Kap alivyoibeba Ureno akiwa Ni Jeshi la Mtu Mmoja ila tu Timu Yake ya Taifa Ni Kama Taifa Stars haibebeki.
Sasa angalia Kwenye Tunzo kila Tunzo Kapewa Modric!! Hivi Ni Kweli Ronaldo hakustahiki Hata Tunzo moja?
Hivi Ni kweli Modric anavyopaishwa ndiyo ubora wake kwwli?
Sasa hizo ndiyo Media za Ulaya