Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Man U 5 na 2 Dortmund under Mourinho's coaching, download afu ole wako usijitekenye afu nisikukute hapa Jamii Forum kumbe umebadili tu ID ya kale na kutumia nyingine mpya.

Download kwenye youtube afu uje na majibu na kuhama jumla jumla Man U
Naona matokeo ya united vs Cardiff yanakufanya kuweweseka mpaka Leo ... Mkuu tulia hapo moto ndio kwanza umeanza ...

Ukute ulikuwa unamaanisha hiyo mechi kwenye attachment
 
Attachments

  • IMG_20181224_005306.jpg
    23.1 KB · Views: 31
Naona matokeo ya united vs Cardiff yanakufanya kuweweseka mpaka Leo ... Mkuu tulia hapo moto ndio kwanza umeanza ...

Ukute ulikuwa unamaanisha hiyo mechi kwenye attachmentView attachment 975767
Shukrani mkuu kwa kunisaidia kusaka source... Huyu jamaa aliposema Man u ilimfunga Dortmund 5 - 2 mpaka nikahisi labda sifuatilii soka kisawasawa..... Pia alisema Mangala ni beki yetu hahahahahah
 
Shukrani mkuu kwa kunisaidia kusaka source... Huyu jamaa aliposema Man u ilimfunga Dortmund 5 - 2 mpaka nikahisi labda sifuatilii soka kisawasawa..... Pia alisema Mangala ni beki yetu hahahahahah
Mkuu acha tu, halafu serikali wanajigamba wamefanikiwa kutokomeza viroba. (Joking)

GGMU
 
Uchambuzi murua! Lakini, Martial akicheza 10 kwenye kikosi chenye Matic na Herera, ni ipi itakuwa position ya Pogba? Mimi nadhani Martial awe PURE left winger na atafutwe natural right winger ama Rash awe oriented kucheza hiyo position.

Binafsi naamini tatizo la central defensive dual tunaweza kulifix, shida kubwa naiona kwenye fullbacks . Lindolf, Baily na Malling wanaweza kutengeneza na kuaminika kucheza centre backs. Aren't bad at all.
 
Man U 5 na 2 Dortmund under Mourinho's coaching, download afu ole wako usijitekenye afu nisikukute hapa Jamii Forum kumbe umebadili tu ID ya kale na kutumia nyingine mpya.

Download kwenye youtube afu uje na majibu na kuhama jumla jumla Man U
Tunaongelea epl mkuu acha ubishi, halafu matokeo yalikuwa 1 4....
 
Si tu kuifyekelea mbali Bali pia popote utakapomuona Toa taarifa kituo chochote cha police kilicho karibu na wewe.

Mou anakila sababu ya kufunguliwa mashitaja.

Lakini kuna kamshabiki Fulani Wa Man Unite ambaye Ni Pro-Mourinho anajifanya yeye Ni Mshabiki Kindakindaki Wa Man United kuliko Hata David Beckam amesema hapa kuwa Mourinho atakapokwenda atapata mafanikio mwanzo kuliko Man United.
 
Lukaku wa Leo siwezi kumwamini!!
Jamaa anaongezeka uzito kila siku
 
Lakini kuna kamshabiki Fulani Wa Man Unite ambaye Ni Pro-Mourinho anajifanya yeye Ni Mshabiki Kindakindaki Wa Man United kuliko Hata David Beckam amesema hapa kuwa Mourinho atakapokwenda atapata mafanikio mwanzo kuliko Man United.
Okay hilo linawezekana ila halituhusu,timu ilikufa hii
 
Lakini kuna kamshabiki Fulani Wa Man Unite ambaye Ni Pro-Mourinho anajifanya yeye Ni Mshabiki Kindakindaki Wa Man United kuliko Hata David Beckam amesema hapa kuwa Mourinho atakapokwenda atapata mafanikio mwanzo kuliko Man United.
Tunza hii Comment yangu.

MOURINHO HAWEZI TUSUA KOKOTE. HIS FOOTBALL CAREER IS OVER. LABDA AENDE KOZI ZA MBINU MPYA ZA SOKA.

LAKINI AKIENDA LIGI YOYOTE YENYE WALIMU WENYE HAIBA ZA KAMA GUARDIOLA AU KLOPP AU POCHETINO, HATAAMBULIA KITU.

NA HATA KAMA AKIENDA KWENYE LIGI YOYOTE AKABEBA NDOO, KWENYE MASHINDANO YA KIMATAIFA AKIKUTANA NA HAO WALIMU IWE UEFA AU WORLD CLUB CUP LAZIMA APIGWE KIPIGO CHA MBWA KOKO.

Namshauri atafute kazi nyingine.
 
huu ni msimu wa tatu kipa wa tiko tiko ndo anakuwa kipa mwenye klin shit nyingi kuanzia la liga mpaka ulaya nzima kwa msimu anaondok na klin shit 23+ lakini makombe wanachukua Barca

nadhani wewe ndo umekariri
Uwe unaelewa, ninachomaanisha hapa ni implication ya clean ya sheets ni kwamba timu ina ruhusu kufungwa mara chache hivyo, ni rahisi kukusanya points hata inapofunga goli moja, au magoli machache

Imagine mechi ya Southampton, Newcastle, Brighton, Wolves United angepata clean sheet angekuwa wapi kwenye ligi?

Hata hao unaotoa mfano wasingekuwa na hizo clean sheets may be wangekuwa wanamaliza ligi kwenye nafasi za 6 au 7

Ukweli ni kwamba, timu with the most clean sheets ina nafasi kubwa ya kuwa kwenye nafasi nzuri ya ligi na kuchukua makombe, Italia ipo hivyo, Ujerumani ipo hivyo, Ufaransa ipo hata Tanzania ipo hivyo.

Wewe umeangalia kamfano kako kamoja ka La Liga, ambapo hata huyo bingwa alikuwa wa 2 kwenye kuwa na clean sheets nyingi. KWA HIYO CLEAN SHEETS (SOLID DEFENCE) DO MATTER.

Na timu with the least clean sheets ina nafasi kubwa ya kushuka daraja au kuwa pabaya kwenye msimamo wa ligi hata ukiangalia kwenye ligi mbalimbali ipo hivyo

Kama hujali clean sheets cheza ovyo ovyo bila kuzingatia defense kama Evertoon upigwe 6 kwa 2 tuone kama utafurahi.

NARUDIA TENA, ACHENI KUKARIRI. MPIRA SIO KUSHAMBULIA PEKEE, LAZIMA UTAFUTE BALANCE KATI KUSHAMBULIA NA KULINDA.

Sasa hivi Uingereza, Liverpool na City ndio wanaoongoza clean sheets na ndio wapo top 2, Chelsea na Spurs wanafuata kwa clean sheets na wapo top 4.

ACHA KUKARIRI MKUU
 
Nafasi Pekee aliyobakisha Ni PSG na Bayern.
 
Football its all about three points acha mimi nikariri hivyo

De gea alikuwa na most clean sheets katika PL last season lakini ndoo alichukua City

nawe kariri unavyokariri ova
 
Nafasi Pekee aliyobakisha Ni PSG na Bayern.
Na hizo ndio LIGI nyanya kwa maana ya Local competition , anaweza kubeba makombe ya LIGI na PSG lakini akija UEFA kwa kupaki basi kule lazima achezeeeeeeee tena nyingi. Tu

Lakini pia kuchukua vikombe huko PSG na Bayern itategemea kama kuna uwepo wa WALIMU wenye kariba ya hao niliowataja. Kama hao WALIMU watakuwepo Mou hatafanikiwa kuchukua hata kikombe kimoja.

Tunza hayo maneno yangu
 
Football its all about three points acha mimi nikariri hivyo

De gea alikuwa na most clean sheets katika PL last season lakini ndoo alichukua City

nawe kariri unavyokariri ova
Alikuwa na most clean sheet na timu yake ilikuwa ya pili, mwaka huu ana clean chache na timu yake ipo namba ngapi

Uwe unaelewa na si kukariri
 
Alikuwa na most clean sheet na timu yake ilikuwa ya pili, mwaka huu ana clean chache na timu yake ipo namba ngapi

Uwe unaelewa na si kukariri
unazungumzia kuhusu position??

Schmeichel Leicester
Ben Foster Watford
Begovic Bournemouth
Hennessey C. Palace
McCarthy Soton
Dubravka Newcastle
Rui Patricio Wolves
Jordan Pickford Everton

hao makipa hapo wanaklin shits nyingi kuliko De Gea lakini kwenye msimamo wa ligi wote wapo chini ya De Gea that is why nikakuambia acha nikariri nnayokariri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…