Mkuu mtu anaweza kuwa boyhood fan, lakini baadae akabadilika baada ya kucheza timu flani kwa muda mrefu
Mfano hata OGS juzi ame declare he is United fan
Tofautisha Kati ya
Boyhood Fan na
Plastic Fan
Boyhood Fan hawezi kuhama timu, Bali plastic Fan anaweza kuhama timu muda wowote hule kwa njia yoyote ile.
Au wewe unaweza kuhama Man United?
• Rio na OGS Ni boyhood Fans Wa Liverpool mpaka watakufa... Ila wanaheshimu Ulegend wao kwa Man United.
Kuchezea Man United hakuondoshi mapenzi ya timu nyingine.
• Ni sawa na Carragher aliwakamia Everton kwenye game lakini Ni Shabiki Lialia kindakindaki Wa Everton.
• Au De Bruyne anacheza Man City na anatukamia kwelikweli lakini Ni Shabiki lialia Wa Liverpool.
• John Terry Ni Legend Wa Chelsea lakini Ni Shabiki lialia Wa Man United.
• Henderson Ni Captain Wa Liverpool lakini Ni Shabiki lialia Wa Man United.
• Theo Walcot alipokuwa Arsenal alikuwa Akitufunga lakini Ni Shabiki lialia Wa Liverpool.
• Thiery Henry Ni Legend Wa Arsenal lakini Ni Shabiki lialia Wa Liverpool.
• Paul Merson Ni Legend Wa Arsenal lakini Ni Shabiki lialia Wa Chelsea.
• Luke Shaw Ni mchezaji Wa Man United lakini Ni Shabiki lialia Wa Chelsea.
• Lallana yupo Liverpool lakini Ni Shabiki lialia Wa Everton
• Milner yupo Liverpool lakini Shabiki lialia Wa Man United.
Kwahiyo Kupenda timu usiyoichezea kupo Mkuu wala hakubadiliki.