Hii ni kweliKocha ni lazima awe na mbinu thabiti za kukabiliaana maadui tofauti,na wakati mwingine Mwl inabidi ubadili mbinu kulingana na adui unaecheza naye. Ndo hiyo ninayoongelea Mimi. Mfano Mzee ferg alikuwa ni msomaji mzuri sana Wa adui,kuna kipindi bila kutegemea unakuta umewekewa giggs namba 6 wakati ulijiandaa kwa kucheza na fletcher au scholes
Sory, Arsenal alilala 2Hii ni kweli
Kuna siku SAF alipanga mabeki 7 uwanjani dhidi ya Arsenal, Arsenal walilala 3 siku hiyo
Duuu hii ni hatari asee ha ha ha haSory, Arsenal alilala 2View attachment 974309
1. Degea golikipa namba 1 Spain, Karius hata National team ya ujerumani hajawahi kunusaKwani De Gea na Kurius wana tofauti gani mkuu?
Lukaku hayupo mkuuMie kwa mata naweka Rashford,kwa Rashford naweka Martial,kwa Martial naweka lukaku namrudishia confidence tu...kwa young naweka Shaw kwa dalot tupo pamoja ila Valencia mapafu yake bado tunayaitaji hapo.
Mkuu Hamna, hata wachambuzi wengi duniani wanamuweka Smalling kikosini badala ya Bailly.We mou bado upo tuu?
Joke
Ni kweliOle labda aje alete spirit ya juu kwenye timu,ila kimbinu sina imani kama ana jipya. Nadhani atategemea zaidi nguvu ya wachezaji kuliko mbinu za kiufundishaji. N way suala la msingi timu angalau icheze mpira mzuri Wa kutisha wapinzani kidogo
And that is what we call unprofessionalism contrary to United waysPogba was so tired with Manchester United ‘s style of play that he didn’t take pleasure being part of a team with ‘such weak ambitions in the game and didn’t feel like playing for Mourinho anymore
Ila smalling amefanikiwa kucheza na moja ya mabeki bora kabisa vidic na evra lakini bado hajiamini kabisa.Sory, Arsenal alilala 2View attachment 974309
Huyu jamaa mechi ya Southampton amepoteza mpira mara 14, wenzake 10 waliobaki wamepoteza mara 16, halafu hapo unalaumu mbinu za Jose.Hujanielewa vema,nnachomaanisha mchezaji alipaswa kumsikiliza kocha acheze ajitumetu kisha matokeo ndio yangeleta tu Picha ya mbinu mbovu za Mwl kama ilivyotokea. Hakupaswa kusumbua hadi sisi huku tuone pogba anamletea kiburi Mwl,hajitumi,anakaa na mpira muda mrefu ananyang'anywa halafu wenzie walioutafuta wakampa wanaanza tena kuukimbiza yeye hataki kuukimbiza,Mara aseme mimi namba ninayopangwa siyo,wakati France anacheza hiyohiyo. Kwa ufupi hakuonyesha passion toka mwanzo kabisa na wachezaji Wa aina hii haya aliyofanya Leo kesho atafanya kwa Mwl mwingine. Hii huwa inapooza sana morali ya wachezaji wengine sababu nao wanaanza kujiuliza yeye ni nani hadi afanye hivyo!
We mbona muoga psg anakipi cha kututisha? Labda chelseaHahaha kwaiyo na wewe una uhakika ya kwamba utamtoa PSG!! Hivi unajua ulichokiandika kweli.!! Usije Sema Mou ndo alikuwa tatizo Man united..
Nyie mkubali tu msimu huu mpambane ili mpate nafasi ya kucheza Europa msimu ujao.
Watu huwa wanatanguliza chuki pogba anapoteza sana mipira hawalioni hilo.Huyu jamaa mechi ya Southampton amepoteza mpira mara 14, wenzake 10 waliobaki wamepoteza mara 16, halafu hapo unalaumu mbinu za Jose.
Ndio maana humu kuna watu hata sisomi comments zaoView attachment 974340
Ngoja tuone labda mnaweza fanikiwa.We mbona muoga psg anakipi cha kututisha? Labda chelsea
Kila mechi na mipango yakeView attachment 974342
Kwani Fa tumetolewa mkuu?Ngoja tuone labda mnaweza fanikiwa.
Maana saivi uku mtaani mnasema eufa ndo option mlobakiza.
Rojo---anacheza so agressive,bila kutumia akili kwenye situation mbalimbali,,majeruhi pia.inhemua wewe ni kocha umepewa fursa ya kuodoa wachezaji watatu pale man u ungewaondoa kina nani na kwa sababu zipi
That's it bro!And that is what we call unprofessionalism contrary to United ways
Eti hayo anayoyafanya atayafanya kwa Mwalimu mwingine ??? Geraaaa auuuu hiaaaaaaaaHujanielewa vema,nnachomaanisha mchezaji alipaswa kumsikiliza kocha acheze ajitumetu kisha matokeo ndio yangeleta tu Picha ya mbinu mbovu za Mwl kama ilivyotokea. Hakupaswa kusumbua hadi sisi huku tuone pogba anamletea kiburi Mwl,hajitumi,anakaa na mpira muda mrefu ananyang'anywa halafu wenzie walioutafuta wakampa wanaanza tena kuukimbiza yeye hataki kuukimbiza,Mara aseme mimi namba ninayopangwa siyo,wakati France anacheza hiyohiyo. Kwa ufupi hakuonyesha passion toka mwanzo kabisa na wachezaji Wa aina hii haya aliyofanya Leo kesho atafanya kwa Mwl mwingine. Hii huwa inapooza sana morali ya wachezaji wengine sababu nao wanaanza kujiuliza yeye ni nani hadi afanye hivyo!
Antonio Conte sacked: Eden Hazard 'paramount' to Chelsea decision to axe Italian coachEti hayo anayoyafanya atayafanya kwa Mwalimu mwingine ??? Geraaaa auuuu hiaaaaaaaa
Mbona Hakuwa hivyo juventus ??? , mbona hawi hivyo akiwa national team ??? ...
Halafu mbona team ikiwa na matokeo na mazuri huwa hakuna chokochoko ??? Kwanini team inakuwa na chokochoko kipindi cha matokeo mabaya ??
Nikwambie Kitu Mourinho hana Team management skills hususani team inapokuwa inapitia vipindi vigumu, NI LAZIMA LAWAMA AWATUPIE WACHEZAJI.
Unakumbuka kipindi anapata matokeo mabaya akiwa Chelsea??? Unajua wachezaji aliowataja kuwa ni wachawi wake kwa jina lake aliwaita THREE BIG RATS. Mmoja wa hao wachezaji alikuwa Edin Hazard. Hebu kaa chini uiangalie chelsea na ufikiri kuwa team ingekuwaje kama ingekuwa imemuuza Hazard kwa sababu ya upuuzi wa kocha mmoja Mwenye roho ya kiswahili.
Huo ujinga wake ndio aliuendeleza katika team yetu. KWANZA AMEFANIKIWA KUWAGAWA MASHABIKI MBWA HUYU.
Ngoja niishie hapa
Kwa smalling sina tatizo, kwa matic ninataka kuona tu, timu ikicheza bila matic inakuwaje,Mkuu Hamna, hata wachambuzi wengi duniani wanamuweka Smalling kikosini badala ya Bailly.
Lakini Matic hawataki hata kumsikia (japo mimi bado ninamuamini, lakini naunga mkono kupumzishwa, sio kupigwa benchi)
Tupo pamoja mkuu