Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hapa pogba anahusika labda ajirekebishe. Kwanza huyu jamaa basi tu sema ni biashara ila naona na yeye angefunguliwa mlango tu, pamoja na upungufu wa kocha mchezaji huwezi taka kuwa juu ya kocha pumbafu sana. Hiyo ni kutaka kuwa juu ya timu nzima.

‪Pogba was so tired with Manchester United ‘s style of play that he didn’t take pleasure being part of a team with ‘such weak ambitions in the game and didn’t feel like playing for Mourinho anymore
 
‪Pogba was so tired with Manchester United ‘s style of play that he didn’t take pleasure being part of a team with ‘such weak ambitions in the game and didn’t feel like playing for Mourinho anymore
Kwani yeye ni nani hasa? Kwa hiyo yeye alikuwa juu ya Mwl akawa anajiamulia tu? Kumbuka Mwl Na yeye alikuwa anahitaji mafanikio kwa hiyo mbinu alizokuwa anatumia aliamini zikitekelezwa zingeleta matokeo mazuri. Wachezaji Wa aina hii tegemea hata kwa kocha mwingine watafanya hivyohivyo.
 
Carragher: “If Pochettino is offered the United job, he has to take it. It does not matter how great Spurs’ new stadium is and how many supporters fill it. It doesn’t even matter what they win. Spurs are not United. They’ll never be as big as United.”
 

carragher anatafuta beef na spurs mana sio kwa dongo hilo
 
Absolute reality! Huyu taahira kumbe wakati mwingine huwa anaongea point asee
 
Uko vizuri mkuu
 
Ole labda aje alete spirit ya juu kwenye timu,ila kimbinu sina imani kama ana jipya. Nadhani atategemea zaidi nguvu ya wachezaji kuliko mbinu za kiufundishaji. N way suala la msingi timu angalau icheze mpira mzuri Wa kutisha wapinzani kidogo
Sasa wewe huoni kama nguvu ya wachezaji ni muhimu kuliko kocha. Dakika 90 wanakuwa bila kocha mle uwanjani.wachezaji tayari ni wataalamu kocha kazi yake ni instructions, coordination and not teaching.
 
Solskjaer on De Gea: 'We have the best goalkeeper in the world, he's been here eight years and he is still a young keeper developing, it's fantastic for me to come in. Maybe I'll have to do some finishing training to take him down a peg a little bit.’

Mourinho na van gaal pia waliongea tunamuangusha sana ila kwa sasa tumlinde basi.
 
Sasa wewe huoni kama nguvu ya wachezaji ni muhimu kuliko kocha. Dakika 90 wanakuwa bila kocha mle uwanjani.wachezaji tayari ni wataalamu kocha kazi yake ni instructions, coordination and not teaching.
Kocha ni lazima awe na mbinu thabiti za kukabiliaana maadui tofauti,na wakati mwingine Mwl inabidi ubadili mbinu kulingana na adui unaecheza naye. Ndo hiyo ninayoongelea Mimi. Mfano Mzee ferg alikuwa ni msomaji mzuri sana Wa adui,kuna kipindi bila kutegemea unakuta umewekewa giggs namba 6 wakati ulijiandaa kwa kucheza na fletcher au scholes
 
Mfumo huu tunahitaji kuwa na Beki za uhakika, namba 4 na 5 Kama ilivyokuwa kwa Rio na Nemanja ambao watakuwa na Kazi kubwa ya kuharibu na kuzuia mashambulizi ya timu pinzani.

Sina wasiwasi na Baily Tatizo kwa Pacha wa kucheza Naye?na Baily huwa na udhaifu wa kuchoka mapema na kuwahi kupanic/kuvurugwa kimchezo. So far so good bado Man U ina kikosi kizuri na kipana.
 
Ndio mana Management imemleta pia Big Phelan.

Na matatizo kwa Man U yalianzia hapa, baada ya Fergie kuondoka timu ingeachwa kwa Big Phelan ambaye aliziishi Falsafa na Mbinu za Fergie.
 
Licha ya kuwa na matatizo kadhaa Katika timu, Kumfukuza Josse Mourihno ni Jawabu sahihi na hatua muhimu.

Kuna faida kimbinu na kifalsafa.

Tatizo la Man United halikuwa wachezaji, Tatizo lilikuwa Kocha.

Pep Gurdiola amewahi kutamani kuwa Mwalimu wa Man U kutokana na kikosi kilichopo.

Kama imewezekana kuwabadilisha Sterling na De Burnye kuwa Classic player kutoka Norma player basi kulikuwa na uwezekano wa kumfanya Martial kuwa na Dunia ya peke yake.

Mourihno ni Kocha anahetumia Mbinu ngumu Katika michezo rahisi.

Falsafa yake ya kupenda kukaba kuliko kushambulia Ndio iliyomponza.
 
Umecheki mbali sana asee, Vema sana.
 
SAF alikuwa na kikosi cha namna gani Mkuu?Kwangu Kocha mzuri ni Yule anayeweza kuwabadilisha normal player kuwa Classic player like Pep G doing now.

Una Martial, Matic, Herera na Pogba then bado una lalamika huna timu.

Matic anakuja United akitoka Chelsea kuwa kiungo aliyekimbia km nyingi uwanajani, now Matic ameshuka Kiwango, Martial, Pogba n.k

Kwangu Mou hana Sifa ya kulea vipaji.
 
Mou hana shida ya kulea vipaji, kama umeshindwa kujilea ni wewe, shida yake vikombe tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…