Kilichomuondoa Mourinho MUFC siyo performance ya kushinda. Kilichomuondoa kwanza kabisa ni kwenda kinyume cha culture ya MUFC attacking football siyo kupaki basi. Pili morali ya wachezaji haipo hivyo ameshindwa kucontrol timu. Tatu form ya uchezaji ni ya ovyo kupindukia na hakuna dalili za mabadiliko.Jose Mourinho at Man Utd:
- Win percentage: 58.3%
Mauricio Pochettino at Spurs:
- Win percentage: 56.4%
Jurgen Klopp at Liverpool:
- Win percentage: 54.7%
Bonge la point.Nimeona alichoandika Fletcher ni sawasawa na nilichokuwa nafikiria.
Analalamika kwamba Man Utd wanatakiwa kutafuta kocha permanent sasa hivi, kwa sababu kutafuta kocha leo wa kumaliza msimu, halafu utafute kocha mwingine ni sawa na kupoteza miaka miwili kwa kufanya rebuilding.
Bora aje kocha sasa hivi, akae na hii timu, ikifika mwishoni mwa msimu anakuwa ameshaijua vizuri na ni rahisi kufanya transfers kiangazi kwa sababu tayari kakaa na timu na anaijua.
Nimeona ni bonge la fact.
Hata klopp aliichukua liverpool mwez wa 12 nakumbuka sanaNimeona alichoandika Fletcher ni sawasawa na nilichokuwa nafikiria.
Analalamika kwamba Man Utd wanatakiwa kutafuta kocha permanent sasa hivi, kwa sababu kutafuta kocha leo wa kumaliza msimu, halafu utafute kocha mwingine ni sawa na kupoteza miaka miwili kwa kufanya rebuilding.
Bora aje kocha sasa hivi, akae na hii timu, ikifika mwishoni mwa msimu anakuwa ameshaijua vizuri na ni rahisi kufanya transfers kiangazi kwa sababu tayari kakaa na timu na anaijua.
Nimeona ni bonge la fact.
Hata klopp aliichukua liverpool mwez wa 12 nakumbuka sana
Na ndio vizur kuisoma timu yani ni point kabisa hata kama unaenda kufanya usajili unajua maeneo yapi ni korofi.Kipindi kilichobaki ni kirefu mno, kinatosha kwa kocha ku-mesh na timu na kujua mapungufu ni yepi kwa mfumo wake, hivyo summer transfers anakuwa siyo mgeni.
Sahihi Mkuu,ndio mana nikasema hakuwa focused ktk alichokuwa anakifanya. Yaani yeye alikuwe kimwili tu,kiakili na hisia hakuwa vizuriAngekuwa mjanja angejiangusha apate faulo
Na ndio vizur kuisoma timu yani ni point kabisa hata kama unaenda kufanya usajili unajua maeneo yapi ni korofi.
Sasa ndio ana suggest aje Bruce au Hughes?Nimeona alichoandika Fletcher ni sawasawa na nilichokuwa nafikiria.
Analalamika kwamba Man Utd wanatakiwa kutafuta kocha permanent sasa hivi, kwa sababu kutafuta kocha leo wa kumaliza msimu, halafu utafute kocha mwingine ni sawa na kupoteza miaka miwili kwa kufanya rebuilding.
Bora aje kocha sasa hivi, akae na hii timu, ikifika mwishoni mwa msimu anakuwa ameshaijua vizuri na ni rahisi kufanya transfers kiangazi kwa sababu tayari kakaa na timu na anaijua.
Nimeona ni bonge la fact.
Sasa ndio ana suggest aje Bruce au Hughes?
Is he serious? Na wewe mkuu upo serious kweli
Na kwa sasa hivi, katikati ya msimu utampata wapi kocha wa kuipeleka United mbele? Usimtaje Zidane, maana alikuwepo at a right place, at a right time, with right players. Na isitoshe Zidane naye ni wale makocha ambao mechi ngumu wanazi approach kama Mourinho (defensive)
Kitu ulichokisema na alicho kiandika yeye nimebakia nacheka tuAm I serious?
Are you serious?
Umesoma nilichoandika?
Hao kina Hughes umeona nimewataja wapi?
Ninaungana na yeye kwa kile tu nilichoandika.
Kitu ulichokisema na alicho kiandika yeye nimebakia nacheka tu
Yeye ameandika hicho alichoandika, amechagua baadhi ya maneno ya Fletcher aliyoongea kwenye hiyo hoja ya kocha wa mpitoKitu ulichokisema na alicho kiandika yeye nimebakia nacheka tu
MTU yuleyule ID tofauti ,Sasa ndio ana suggest aje Bruce au Hughes?