Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkuu hujanitaja na mimi lakini nasisitiza usishangilie matusi, maana kila mtu ana matusi ila tunajiheshimu tu, lakini tuna limits za uvumilivu
 
Mkuu hujanitaja na mimi lakini nasisitiza usishangilie matusi, maana kila mtu ana matusi ila tunajiheshimu tu, lakini tuna limits za uvumilivu
Kwani kumtetea kocha ni kosa? Ujue wengine huwa wanataka wazo lao ndio liwe msimamo ogopa sana kuingia kwenye hilo genge

Binafsi hata ukifukua post zangu nilikuwa wazi mimi ni mshabiki wa timu na kocha haijalishi tupo kwenye hatua ipi akifukuzwa poa akibaki poa

Hadi mourinho anafukuzwa umewahi kuona mashabiki wa manchester united kule Uk wamebeba mabango ya mourinho out?

Mchawi bado yupo ndani ya timu tutaanza kufurahia mpira hadi tuwe timu ya mpira wa miguu sio timu ya kibiashara leo tumemfukuza kocha hivi young anaweza kuwa mendy au walker tuwe wakweli tu
 
Niliona aisee, lakini bado siyo guarantee.

Maana hapo unasema Tottenham, Man City na Liverpool yaani asifungwe hata na moja kati ya hizo!
Mkuu nakwambia ni guarantee yule jamaa yupo hivyo ila kwa sasa nakwambia hata city na liverpool wanawenza kuja kushinda tena old trafford lakin chini ya mourinho ni ngumu sana tumetingwa sana ni suluhu sio kufungwa

Sisi ndo tumepoteza kocha nakwambia kaja kipindi kibaya sana
 

Jamaa namwelewa, ila nachoona ni jinsi kikosi kilishapoteza morali ya kufanya kazi na jamaa.

Sijui mpira kivile ila iliniuma sana kumwona Pogba anakaa nje ile game ya Liverpool, niliona kama jamaa kashaamua liwalo na liwe.

Halafu Fred hata benchi hakuwepo. Niliona jamaa kuna kitu anakitafuta, na amekipata.
 
Jose pole sana
Lakini timu yetu kuna virusi wengi sana ambao ni wachezaji ngoja tuone pogba kafurahi balaa
 
Nenda kwenye page ya Manchester uone shwangwe lake... Ulitaka mabango ndio ujue watu wamechoka....



Hakafu unaposema Manchester ndio iliyoharibu CV ya Jose Kwani kule Madrid alifanya kipi Cha maana ??? United Kaleta Europa na FA...



Hivi kule Madrid aliibikuka na nini ???
 
Some of you think the reason behind Manchester United's decline since SAF's retirement is ed Woodward, some of you think it's the players while others think it's the managers but deep down we all know that Man United have been in decline since Howard Webb left.
 
Kuna mtu humu nakumbuka by that time alimuita Scholes mjinga kutokana na strong criticism kwa mou. Nikamwambia kuwa na akiba ya maneno hao ndio English Caucasian wenye timu yao wewe unaishi malamba mawili huna cha kumzidi mzawa wa Pale viunga vya Great Manchester. Niliambulia kashifa.



Huyo huyo mtu Leo na siku za karibuni amekuwa ni mzalendo wa Yale aliyokuwa akiyapinga bila kupepesa macho na mchana kweupe. Hahahahaha



Jamani eeeeh haya tuyaache. Let's get back on main road ; GO East, Go West. United Is Best.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…