Aondoke huyu Jose,hana loloteJosé ni kocha aliyepitwa na wakati mkuu,sijui umechelewa kuliona hili?
Anabaki kulaumu wachezaji ambao kocha mwenzake akiwapata atafanya maajabu,Mtu una Bailly na Rojo halafu unalialia huna CB,au hao ni wacheza golf?😀😀😀
Jose ameanza kushindwa mwanzo wa msimu baada ya kuwafanya walinzi wetu wa kati wasijiamini kutokana na malalamiko yake.
Tubaki na José tuendelee kubahatisha.
Mjinga mjinga kabisa.Wanamsubirisha wa nn?Fukuza mpumbavu JoseMourhino ni mpuuzi! Hajui hata kusoma nyakati, hivi unafanyaje sub anaingia Felaini, anabaki Matta, Pobga na Martial nje.?
Huyu jamaa ni mpumbavu sana! Kani boa sana😡😡
Namchukia kuliko hata nichukiavyo Magufuli!!!
I hate Mourinho
Heshima mpe wewe, mimi siwezi kumhusudu hata awe na vikombe 30.Polepole ndugu Kushindwa kuipa matokeo man u hakuondoa ubora wa Jose ,kocha bora anapimwa kwa vikombe morihno ni world class ,mpe heshima yake
Yani nimeshangaa sana kuna timu tunazipa ujiko wa kijinga sana angalia hata magoli ya hovyo hovyo tu tunayofungwa fellain anapata namba mbele ya pogba na mata?Kiungo yupo Fellaini,Herrera Matic (Died legs) na unategemea ubreak ngome ya liverpool!!!..WTF
Katoka dalot kaingia Fellaini,,for what purpose??
Ed Woordward aache upuuzi atutolee huyu Mreno..
Aje nani?Aondoke huyu Jose,hana lolote
Alivyo tolewa Herela ndo nikashuru kabsaa pale ndo kanyonga tim yenu kabsaaYani nimeshangaa sana kuna timu tunazipa ujiko wa kijinga sana angalia hata magoli ya hovyo hovyo tu tunayofungwa fellain anapata namba mbele ya pogba na mata?
Valencia mzoefu wa mechi anakaa bench anaanza dalot? Ile sio fulham
Acha tuAlivyo tolewa Herela ndo nikashuru kabsaa pale ndo kanyonga tim yenu kabsaa
Ukiacha Pogba,Fred na Mata hakuna kiungo mwingine anayeweza kulink timu kutoka katikati kwenda mbele..Sasa kwa nini kocha asijaribu kupata ubora wa hawa wachezaji ambao wanaonekana wanapotential za kutosha..Yani nimeshangaa sana kuna timu tunazipa ujiko wa kijinga sana angalia hata magoli ya hovyo hovyo tu tunayofungwa fellain anapata namba mbele ya pogba na mata?
Valencia mzoefu wa mechi anakaa bench anaanza dalot? Ile sio fulham
Kiungo yupo Fellaini,Herrera Matic (Died legs) na unategemea ubreak ngome ya liverpool!!!..WTF
Katoka dalot kaingia Fellaini,,for what purpose??
Ed Woordward aache upuuzi atutolee huyu Mreno..
Sub ya Fella ilikuwa muhimu sana, alitakiwa angalao mtu mmoja mwenye nguvu awavuruge. Shida ilikuwa kumtoa HERRERA, kiungo imekufa bado unamtoa tena herera unaweka forward. Pambaf sana.Mourhino ni mpuuzi! Hajui hata kusoma nyakati, hivi unafanyaje sub anaingia Felaini, anabaki Matta, Pobga na Martial nje.?
Huyu jamaa ni mpumbavu sana! Kani boa sana😡😡
Namchukia kuliko hata nichukiavyo Magufuli!!!
I hate Mourinho
Mkuu watu nane mmejazana kwenye boksi, goli litafungwaje kama si deflection?Mourinho: “We felt we could win even a little bit undeserved. David is saying in the dressing room two easy balls for him but because of the rebounds no chance.” #mufc [Sky]
Dalot alilegea sana, halafu alikuwa na yellow.Kiungo yupo Fellaini,Herrera Matic (Died legs) na unategemea ubreak ngome ya liverpool!!!..WTF
Katoka dalot kaingia Fellaini,,for what purpose??
Ed Woordward aache upuuzi atutolee huyu Mreno..