Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Zile goli mbili tumejichoma wenyewe

Sijamuelewa mourinho kabisa yani martial na mata wanakaake bench? Daaaa au anatafuta njia ya kufukizwa una valencia mechi ngumu anakaa benchi inanipa wasiwasi kuna litu anatafuta sio bure
Liongelee hata hilo.moja ulilopata mzee. Napo mnahatisho
 
Tunaharibu kabisa kiwango cha de gea hadi kaanza kushindanishwa na wakina alison daa so sad
 
Zile goli mbili tumejichoma wenyewe

Sijamuelewa mourinho kabisa yani martial na mata wanakaake bench? Daaaa au anatafuta njia ya kufukizwa una valencia mechi ngumu anakaa benchi inanipa wasiwasi kuna litu anatafuta sio bure
José ni kocha aliyepitwa na wakati mkuu,sijui umechelewa kuliona hili?

Anabaki kulaumu wachezaji ambao kocha mwenzake akiwapata atafanya maajabu,Mtu una Bailly na Rojo halafu unalialia huna CB,au hao ni wacheza golf?😀😀😀

Jose ameanza kushindwa mwanzo wa msimu baada ya kuwafanya walinzi wetu wa kati wasijiamini kutokana na malalamiko yake.

Tubaki na José tuendelee kubahatisha.
 
Unajaza mijitu kibao nyuma matokeo yake ni two deflection goals, yaani Morinho kajaza vyuma tupu hamna grisi hata kama Liverpool angemtoa Kipa still bado Man wasingekuwa na madhara, ila poleni sana majirani mchawi wenu Morinho.
 
Mata na martial sio wa kukaa bench hata kwa pogba kama yule fabinho anacheza hao wanashindwaje? Uje keita hana maajabu kabaki kuvuruga players tu
 
Msiba huu ni mkubwa sana ,daktari morinyo kasababosha yote haya poleni sana napenda kutoa rambirambi zangu
 
Kocha kocha kocha aondoke,Hajafundisha kitu.Timu gani inachezewa hivi?very Shit
 
Polepole ndugu Kushindwa kuipa matokeo man u hakuondoa ubora wa Jose ,kocha bora anapimwa kwa vikombe morihno ni world class ,mpe heshima yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…