Ningekuwa Pogba ningeomba kuondoka,Martial na De Gea wakiongeza mkataba chini ya José watakuwa hawapo serious na maisha yao,labda kama wanataka pesa tu!
Sijamuelewa mourinho kabisa yani martial na mata wanakaake bench? Daaaa au anatafuta njia ya kufukizwa una valencia mechi ngumu anakaa benchi inanipa wasiwasi kuna litu anatafuta sio bure