OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
Wewe Nina uhakika msimu huu hugusi kombe lolote. Achilia mbali top fourUnaongea pumba sana sana
Wewe hiyo heshima ya man u umeifikia?
Maana nijuavyo mimi hata top 5 ya mabingwa wa kihistoria wa EPL wewe haupo ,man u ana 20 makombe ya ligi
Arsenal ana 13 makombe ya ligi
Sasa wewe unazungumzia nini?
Unaombea et wachezaj wazur wa arsenal waondoke, aliyekwambia nani
Nitajie mchezaj unayeona ananyemelewa kwasasa , hata kama unawaita average,
Utagundua hakuna , na hata tetes hakuna,
Kabla ya kupayuka ,ungerud uangalie Nje ya uwanja arsenal ina project gani, ina watu gani ,wamejipanga vipi, kulinda wachezaji wao ,
Wewe kwasasa unatarajiwa kumpoteza hazard, huku willian na pedro wakielekea ukingoni
CHELSEA anarejea alipokuwepo fulham, ndio level ya chelsea tunayoijua
Emery kapewa bajet ya £70m kwanza , yupo sawa point na wewe ,
Uliyetumia hiyo 70 pekee kwa kipa
Emery anahitaj madirisha matatu tu ya usajir arudishe ile arsenal ya miaka ya 2000-2007
Usije kukaa ukategemea arsenal itapoteza wachezaji ovyo, tena
Kwasasa imeajiri maskauti na watu wa mikataba kutoka BARCELONA NA BVB
Ambao wao hawaangalii kununua michezaji kama morata au lukaku, wanaangalia vipaji tu,
WEWE CHELSEA unatakiwa upambane kushindana kupata heshima kama ya astonvilla kwanza, View attachment 961335
Uefa kwako utasikiaga tu kwa Chelsea Man u ..