Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ball control ya Dimitar ilikuwa ni zaidi ya Pogba. Jamaa alikuwa hodari sana wa kutuliza mpira sijapata ona
Ni sahihi sana %100000 jamaa kwa kuuchezea mpira alikuwa Fundi haswa. Ila kuhusu lukaku any way yeye ni professional player labda kuna anachokiona zaidi sisi hatukioni. Ila kwa upande wangu ninampinga aslimia karibia zote
 
Lukaku anasemwa sana mbona everton alikuwa vizur?
mkuu hapa duniani kuna baadhi ya mambo ukiyaendekeza sana kuyafuatilia yanaweza kukupunguzia siku za kuishi na hatimaye ukafariki kizembe na ukazikwa kizembe huku jamii nzima ikikudhihaki badala ya kukutakia kila la kheri huko uwendako kama unamini kuna kufufuliwa.
  1. leo hii dunia nzima inamuandama romelu lukaku kuanzia performance yake hadi asili yake, lukaku huyu tunayeambiwa ni mzito asiyekuwa na ball control, mwenye first touch mbovu kuliko chicharito ana magoli 6 kwenye mechi 15.
  2. upande wa pili timu bora ya manchester city inayotengeneza nafasi za magoli mpaka choo cha wanaume, mshambuliaji wake ambaye ni gabriel jesus mwenye ball control kuliko bergkamp na rui costa ana goli 1 kwenye mechi 13 lakini wenye dunia wapo kimya.
  3. marcus rashford amefunga magoli 3 kwenye mechi 13 lakini hakuna muingilishi yeyote anayenyanyua mdomo wake.
  4. alvaro moratta amefunga magoli 5 kwenye mechi 14 lakini dunia ipo kimya.
  5. lacazette amefunga magoli 6 kama lukaku kwenye mechi 15 lakini wenye ulimwengu hawamdhihaki.
  6. fundi eden hazard ana magoli 7 kwenye mechi 15 dunia haina shida na habari zake, mara ya mwisho kufunga goli ilikuwa ni siku mbili kabla haujaanza mwezi oktoba, ina maana eden hazard hajafunga goli mechi 8 mfululizo lakini habari zake kubwa ni kuhusu tetesi za real madrid.
hivi hii mizungu na michina tambi tunayoisifu kila siku kwamba imejaaliwa ubunifu na maarifa mengi bado tu hawajaweza kutengeneza kifaa kinachoweza kumrudisha kiumbe umri wake nyuma?

natamani koulibaly awe na miaka 25 tu ya ukweli na si 27 ya ukweli aliyonayo muda huu.
1544628629734.png
 
Attachments

  • 1544625251460.png
    1544625251460.png
    154.4 KB · Views: 28
Lukaku anasemwa sana mbona everton alikuwa vizur?
Demand ya matokeo ni tofauti alipokuwa Everton na sasa. Na kwa Everton mshambuliaji anaweza kuzingua sana na bado akawa na uhakika asilimia mia Wa nafasi yake. Habari inakuwa tofauti kwa mshambuliaji Wa Man U,kwa sababu demand ya matokeo ni kubwa sana ni vigumu mchezaji akawa anafanya vibaya na bado akaendelea kuwa na uhakika Wa namba yake 100%. Huku atasemwa kulingana na ukubwa Wa brand na fan base ya brand. Ila nakumbuka moja ya kitu kikuu negatively alichoongelewa lukaku na waandishi pamoja na wachambuzi wakati anajiunga na Man U ilikuwa ni 'First touch' hata alpojiunga na timu kwenye pre season akaonyesha wazi. Hadi sasa ameendelea kuwa na shida hiyo. Kiukweli kwa main striker tegemeo la timu kuwa na shida kwenye kumiliki mpira ni tatizo kubwa asee.
 
mkuu hapa duniani kuna baadhi ya mambo ukiyaendekeza sana kuyafuatilia yanaweza kukupunguzia siku za kuishi na hatimaye ukafariki kizembe na ukazikwa kizembe huku jamii nzima ikikudhihaki badala ya kukutakia kila la kheri huko uwendako kama unamini kuna kufufuliwa.
  1. leo hii dunia nzima inamuandama romelu lukaku kuanzia performance yake hadi asili yake, lukaku huyu tunayeambiwa ni mzito asiyekuwa na ball control, mwenye first touch mbovu kuliko chicharito ana magoli 6 kwenye mechi 15.
  2. upande wa pili timu bora ya manchester city inayotengeneza nafasi za magoli mpaka choo cha wanaume, mshambuliaji wake ambaye ni gabriel jesus mwenye ball control kuliko bergkamp na rui costa ana goli 1 kwenye mechi 13 lakini wenye dunia wapo kimya.
  3. marcus rashford amefunga magoli 3 kwenye mechi 13 lakini hakuna muingilishi yeyote anayenyanyua mdomo wake.
  4. alvaro moratta amefunga magoli 5 kwenye mechi 14 lakini dunia ipo kimya.
  5. lacazette amefunga magoli 6 kama lukaku kwenye mechi 15 lakini wenye ulimwengu hawamdhihaki.
  6. fundi eden hazard ana magoli 7 kwenye mechi 15 dunia haina shida na habari zake, mara ya mwisho kufunga goli ilikuwa ni siku mbili kabla haujaanza mwezi oktoba, ina maana eden hazard hajafunga goli mechi 8 mfululizo lakini habari zake kubwa ni kuhusu tetesi za real madrid.
hivi hii mizungu na michina tambi tunayoisifu kila siku kwamba imejaaliwa ubunifu na maarifa mengi bado tu hawajaweza kutengeneza kifaa kinachoweza kumrudisha kiumbe umri wake nyuma?

natamani koulibaly awe na miaka 25 tu ya ukweli na si 27 ya ukweli aliyonayo muda huu.
View attachment 966047
Hahahaha nimekupata mkuu shida ila hilo bek8 hatar sana hata mm natama awe na miaka 25
 
Nilikuwa najua masihara kumbe lukaku kanenepa duuuu

Ina maana mourinho kakubaliana nae???

Neville on Lukaku: “In the modern age when you have 55 staff supporting every team, nutritionists, strength & conditioning coaches, I struggle to understand how a player can be allowed to feel like he has too much muscle or is overweight. Particularly when he’s fit.” #mufc [Sky]

empire_mu-20181212-0001.jpeg
 
Unaongea pumba sana , sijawahi kushuhudia pumba kama hii
Aliyekwambia barca wakimtaka mchezaj arsenal anaondoka tu kwasasa nan?

Unadhan chelsea inayochukuliwa wachezaj na madrid,

Na kama hujui hazard kashamalizana na madrid

Unasema arsenal ni timu ndogo, As if chelsea anacha kumzid arsenal ,

Arsenal huwez kuchukua mchezaj tuulize tukuambie ,

Arsenal ipo kwenye project, ndio maaana imefumua mfumo mzima, wa timu,

Ina wasaka vipaji, hivo huwez kuchukua mchezaj kirahis ,

Chelsea ni kibonde wa arsenal , nakushangaa unaongea utadhan unatokaga kwa arsenal,

Ushukuru ulikutana na arsenal bado inatafuta mfumo,

Mm wewe nakuhesabia sawa na kina fulham, chelsea hii ni ya 2004 , it means ww mpira umeanza kuujua mwaka 2010 ,

mkipata uefa uje na kauli zako hizo za UPE. hata europa huna unatoka mapovu kila tundu
 
Man Utd kufungwa imekuwa kawaida hadi hatushtuki tena. masela wanajichapia tu wanasepa.
 
Back
Top Bottom