Nimekapenda sana haka kaneno haaa ha aa bila shaka ww ni muhenga "nyanda "Phil matatizo yake anaweza kupiga msuli wa maana sana game hii kisha game ijayo aidha akatoa boko la nguvu au akatoa penalty au akajifunga mwenyewe. Jana pana kosa alilifanya ana ziba njia na kuegemea de gea aje waqt nyanda alikuwa mbali.
DNA za Man U pale ni Herrera,Lingard,Rashford,Young japo simpendi,Mata, Smalling, Rojo, Valencia na De gea. Hao wengine bado wapo kwenye timu walizotokaHuyu jamaa hata akiwa bench timu ikifunga huwa anaenda kushangilia.
Sare ndiyo ushindi wa Man. Kama hawa akina Newcastle na westham ameshindwa kutoboa huko ndo ataweza .Sahau.Liverpool akijitahidi sana anapata sare
Ww umeongea kimchezoMimi sitaki kuisifu hii timu hadi tucheze na spirit ile tutapokutana na timu bora siyo hii iliyo mkiani. Hata Dalot nisimjaze kichwa sana ngoja tuendelee kumcheki japo dogo anaonekana ana potential kubwa siku za usoni. Pia naamini hii timu haitapata mafanikio makubwa kama itamtegemea lukaku kama main striker
Kwani ED Woodward washawahi mtolea hayo mabango? Hapa baadhi ya wachezaji wana shida na kocha ni shida pia. Arsenal nadhani wametupita pointi 8,Liverpool sijui ngapi huko je hizo timu mbili ni nzuri sana na zina world class players zaidi ya Man U!?Kuna factor nyingi zinazopelekea kocha kufukuzwa umewahi kuona uwanjani mashabiki walionunua tiket wamebeba mabango ya mourinho out? Kwa nini jibu ni moja tu mchawi ni ed
Umenena vemaDogo anajitahidi. Lakin diffensive skills zake bado haziko improved japokuwa ana attack sana
Kubeba ligi naona cha muhimu ni consistency tu,kwa sababu unaweza kuwa na wachezaji wakubwa duniani ila bado intensity ikawa inapotea kwenye baadhi ya gameSiku hizi mpira biashara wachezaji wanatafuta pesa ..mambo ya kufia timu moja mshahara kiduchu, kodi kibao, timu yenyewe haina future ipo ipo tu unategemea nini apo? Mshukuru Unai kidogo anarudisha heshima ya arsenal lakini kiukweli mpaka mufikie heshima ya timu kama Man united mutachukua muda sanà.
bado mna average players kubeba EPL nyinyi msahau kwa sasa ...
First touch za lukaku ni za hovyo sijawahi kuona..Mimi sitaki kuisifu hii timu hadi tucheze na spirit ile tutapokutana na timu bora siyo hii iliyo mkiani. Hata Dalot nisimjaze kichwa sana ngoja tuendelee kumcheki japo dogo anaonekana ana potential kubwa siku za usoni. Pia naamini hii timu haitapata mafanikio makubwa kama itamtegemea lukaku kama main striker
Acha kabisa asee. Yaani jamaa kumiliki vema mpira hadi akutane na lazy defendersFirst touch za lukaku ni za hovyo sijawahi kuona..
Tatizo la Mou ndo hilo mkuu..anasababisha timu ikose consistency..Mfano usajili wa Sanchez January nilitegemea sanchez apangwe kulia ili timu iwe na nguvu kila upande,badala yake akawa anampanga kushoto ambako Rashford na Martial walikuwa wanacompete na Sanchez mwenyewe on left flank ni kama pamesha mshinda kwani hakuna mashambulizi ya maana aliyoyasababisha akiwa nafasi hiyo..Game ijayo ya ligi utakuta katikati wanawekwa Fellaini,matic na pogba. Herrera nje. Mou anapoogopa mechi hupendelea hivyo. Sasa timu inapokuwa na fella + pogba timu inakuwa haitembei sana. Ukichanganya na matic ambaye kidogo anaonesha yuko na fatigue basi tabu inaongezeka
Mkuu samahan hivi ww ni ndugu yangu?Listi ya makocha bora kwa zaidi ya miaka 10 iliyopita hadi sasa hivi wa kwanza ni Anceloti na 2 ni Jose Mourinho "SPECIAL ONE"
Kilaza wako na baguzi la rangi liko nafasi ya 10.
Google ulete mrejesho wako hapa na hicho kilaza chako kilichoikuta Man City ikiwa
1. Ilishawahi kubeba kombe la EPL
2. litoka kushiriki UEFA robo fainali alipotolewa na Real Madrid.
3. Alipewa pesa kwa kufumua kikosi chote kwa kununua wachezaji 11 msimu wa kwanza.
4. Alipoingia choo cha kike kuona kipa aliyemsajili katika wale wachezaji 11 ndani ya Man City akitokea Bayern Munich hafai ilimbidi amuuze tena na kusajili tena kipa mwingine.
5. Msimu wa pili alisajili tena wachezaji wengine 9 akiondoa akina Zaballeta, Mangala, Kolarov, Dzeko, na wengineo kibao ndipo akachukua EPL kikombe.
6. Kasajili tena wachezaji wa4 baada ya kuchukua kukombe cha EPL.
7. Jana tena kachezea kichapo na hafikagi popote katika UEFA ndiyomaana Bayern Munich ilimtimua sababu lengo la ile timu ni kunyakua kombe la Wanaume "UEFA" wala si vikombe vya ligi kuu ambavyo ameshachukua mfululizo sana hadi kachokwa navyo.
8. Kama anajiamini ni kocha bora asiende katika klabu kubwa zenye pesa za kutosha bali aanzie kufundisha timu ndogo zinazocheza ligi daraja la pill na azipandishe daraja la ligi kuu kisha atwae kombe kama alivyofanya Ranieri akiwa na Leicester City siyo kuzurura zurura tu katika timu ambazo tayari kashazikuta ziko "on fire " kama alivyoikutaga Barcelona ya akina Eto'o na Ronaldinho Gaucho ikiwa tayari imeshakuwa vizuri baada ya kunolewa na Rijkaard.
9. Akiacha ubaguzi wa rangi kama alivyokuwa akiwabagua akina Samwel Eto'o na Yaya Toure nitakuwa wa mwisho duniani kumuamini kuwa ni kocha bora.
10. Ukocha bora hupimwa na mafanikio tokana na mafanikio ya makombe mbali mbali ambayo Kocha kashatwaa akiwa na timu mbali mbali duniani au kuikuza kiuchumi kama Arsene Wenger alivyoikuza Arsenal ndiyomaana yuko namba 4 katika hiyo listi ya Makocha bora duniani kwa zaidi ya miaka 10 iliyopita hadi sasa hivi.
11. Mourinho tayari kashamchapa Gudiolar mbali sana maana kashajitwalia vikombe vya ligi kuu na vya wafalme kama "FA" mbali mbali zaidi ya14 akiwa Portal FC(Portugal), Chelsea(England), Intermillan(Italy), Real Madrid(Hispania), Chelsea tena(England) na Man U(Engaland) duniani akiongoza kuliko kocha yeyote yule.
Mbali na hayo anafungamana na Gudiolar katika kombe la UEFA kwa kuchukua mara mbili zote japo tena Mourinho CV yake ni bora zaidi sababu katwa katika nchi 2 tofauti sawa na Ancelot aliyetwaa mara 2 akiwa na AC Millan pa1 na Real Madrid huku Gudiolar akitwaa katika nchi 1 pekee(Barcelona - Hispania).
So Gudiolar bado ni mtoto sana kwa Mourinho ingawa sasa hivi anaonekana kapotea lakini tatizo la Man U ni kubwa ma si la Mourinho pekee, ndiyomaana kila Man U ichezapo Mashabiki huonesha bango kwa tajiri wa timu "Edwood Ward" badala ya kumzomea Mourinho kwa akili zako fupi zinavyoona.
Wapenzi wanamjia juu Ed, sababu anasuasua kumtimua MaureenKuna factor nyingi zinazopelekea kocha kufukuzwa umewahi kuona uwanjani mashabiki walionunua tiket wamebeba mabango ya mourinho out? Kwa nini jibu ni moja tu mchawi ni ed
Naam tumekula chumvi kiasi chakeNimekapenda sana haka kaneno haaa ha aa bila shaka ww ni muhenga "nyanda "