Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mwana ana mambo ya kizamani kweli
Sana.

Ukimsikiliza Mou amekua akisema wachezaji wanatakiwa kuwa na commitment. Opponent players wanaingia na commitment ya 110% wewe unaingia na 60% or 70%.

Hata uwe bora vipi utachemka.

Kamuharibu na Martial pia. Hao wawili hawatufai ingawa Martial huwa anasaidia kufunga but most ni fluku tu.

Haiwezekani wenzio wanakimbia muda wote kusaka mpira, wanakupa badala ya kutoa pasi fasta unaanza mbwembwe na kupoteza mpira kizembe.......inawavunja nguvu wengine. Shida kubwa ndio iko hapo.
 
Manyumbu leo mnakenua ,mech ijayo mnazabuliwa

Mnarud tena Mou out

Siipend liver , ila siku hiyo nitakuwa liver ,wawasukumie mtaa wa 10 huko , mkacheze michuano mipya ya UEFA waliyoianzisha
Kila la kheri
 
Unajua Torreira kanunuliwa bei gani? Unajua guendouzi kanunuliwa bei gani? Au unajua kante alinunuliwa bei gani?? If yes then jibu unalo mkuu
Hv unajua soko la sasa lilivyochafuka??
Bei za kina kante kipindi hcho uzipate leo??
Kwa taarifa yako hata mahrez alinunuliwa paundi laki tano but umeona city kamnunua kwa shngap?
Msiongee tu ilimradi nyie
Contimho alikuja liver kwa paundi 8m aliondoka kwa shngap?
How about dembele kwenda dotmund hata 20 haikufika but kwenda barca?
Unanunua hao so called wachezaji wazuri wa bei rahisi waje kukuletea mafanikio lini?
If u think footbal as business hutafanya ujinga huo unaoufikiria?
Mbona pep kanunua wachezaji karibia 11 umejiuliza why?
Acha ushabiki wa yanga na simba ww
 
Ushindi wa siku moja usikufanye usahau mapungufu yaliyopo..kwanz tumechaza na timu yenye pointi 9 baada ya mechi 14
..fikiri kabla ya kutenda mzee
Kuna factor nyingi zinazopelekea kocha kufukuzwa umewahi kuona uwanjani mashabiki walionunua tiket wamebeba mabango ya mourinho out? Kwa nini jibu ni moja tu mchawi ni ed
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…